Thursday, August 4, 2016

POMBE MAGUFULI ALISEMA HAJARIBIWAGI NA SASA TUNDU LISSU A.K.A. RONALDO ANAMJARIBUGA


Dikteta uchwara kanuna....??
Serikali inatumia saa 6 kumkamata na kumsafirisha Tundulissu from Singida to Dar. Polisi wanatumia saa 5 kujadiliana na kurushiana mpira nani amuhoji. Anayeteuliwa anatumia saa 6 kuhoji huku akitamani Lissu amdeseshe maswali. Serikali na Polisi wanatumia saa 3 kumfikisha mahakamani. Wanasheria wa Lissu wanatumia dakika 60 kuipangua kesi. "Mahakama inatoa dhamana ya Shs laki moja" (nawaza tu) na Lissu anarudi mtaani kupambana na "dikteta uchwara". Dikteta uchwara ananuna hadi anatamani kupasuka maana hajaribiwagi na sasa Tundulisu "anamjaribuga". @Hii ndiyo Tanzania ya Viwanda.
Mtatiro J
Source FB

No comments:

Post a Comment