Wednesday, August 17, 2016

RAIS WA NYOYO ZA WATU KAUKATA MKONO WA BABUALI KATAKATA


13934693_1422159237810536_6365789940294090635_n

BAADA YA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD RAIS WA NYOYO ZA WAZANZUBARI KUMNYIMA MKONO HUYU KIBARAKA WA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA ANAE TUMIWA KUIMALIZA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI MUUNGALIE USO WAKE ULIVYO POROMOKA HIYO NI DUNIA TU MZEE KARUME KENDA MZEE JUMBE HUYO ASHAKWENDA NA WEWE SHEIN NA SISI PIA TUTAKWENDA JIANDAE UTAMJIBU NINI MWANYEZI MUNGU HUKO HAKUNA MAZOMBI WALA JESHI WALA POLISI UMEBEBA DHIMA KUBWA SANA UMEDHULUMU NCHI NZIMA KWA RAHA YA SEKUNDE TU.


Salamu hizi zikufikie wewe Naibu Waziri wa Fedha wa zamani wa Serikali ya Muungano Abdulsalam Isssa Khatibu Mzee Jumbe M.Mungu amsamehe na ampe malazi mema peponi Ameen, alikuwa na Baraza la Mapinduzi, Baraza la Mawaziri na Baraza la Wawakilishi, alikuwa na wanasheria mahiri akina Daurado, kwa nini alijifungia peke yake kupanga mpango wa kudai nchi ya Zanzibar yenye mamlaka kamili peke yake....?? Mulisikia wapi au ulimwengu gani mtu moja ati akadai nchi....?? Mfano hai huwo hapo Maalim Seif anadai nchi ya Zanzibar anaidai peke yake.....??
Lengo lake halikuwa na manufaa kwa nchi ya Zanzibar. Tayari alishaanza mikakati ya kibaguzi dhidi ya Wapemba. Alikuwa anaandaa sera za “Revolutionary Justice”. Yaani sharia za kimapinduzi kama ilivyokuwa wakati wa Karume baada ya mapinduzi ya 1964. Najuwa tayari kuna Watu bado Wanasema Kwamba Maalim Sefu ndie aliemsaliti Mzee Jumbe, kinachonishangaza hawa wanaosema hivo Kwanini Hawataki kukisoma Kitabu kilichoandikwa ” The Memour Of Sef Sharif Hamad & Ali Sultan Issa”?
Kitabu kilitoka zamani sana tokea Mzee Jumbe yuko hai na anafahamu zake, kama yale alioeleza maalim Sefu Sharifu Hamadi mule ndani ya Kitabu hicho Kuhusu Mzee Aboud Jumbe na Mpango wake Wakujivua ktk Muungano Ili Awameze Wanasiasa Vijana wenye asili ya Pemba. Yeye Mzee Jumbe ana copy ya hicho kitabu na mbona hajajitokeza kwenye Media na Kukanusha kama aliosema maalim Sefu ni Uwongo…?? Nashangaa inakuja MIHAFIDHINA , Midgalimu Leo hii na tokea hapo Nyuma na kufumbua Midomo yao inayo nuka nakusema ..Oooooh maalim Kamsaliti Mzee Jumbe.. Thut is “NON SENS”
Ukweli nikwamba katika baraza la Mapinduzi Kulikuwa na Members kama hao Kina Mzee Moyo,Generel Yussuf Himid, Kisasi, na wengine . Walichukizwa na kuona Mzee Jumbe ametowa nafasi za kusomesha Vijana Wapya wa Kizanzibari hasa wenye asili ya Kipemba kwa wakati ulee. Na Argument yao ilikuwa nikwamba Wapemba Hawakupinduwa.. Well is better said the truth, kwamba yaliofanywa 12-1.1964 hayakuwa Mapinduzi bali ni Mauwaji ya Waislamu dhidi ya Waislamu wenye asili mbali mbali.
Hivo hizo Serikali 3 za Mzee Abudu Jumbe hazikuwa na maana yoyote kwa wakati huo dhidi ya jamii fulani , ila kuzidisha vugu vugu la maonevu na mauwaji ya kinyama kama waliofanyiwa Akina. Abdallah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Othman Sharif na wengine wengi sana sana walio uliwa na kufanywa kila aina ya machafu. Hizo ndizo Serikali 3 zilizokuwa zikitafutwa na Mzee Abudu Jumbe pamoja na kundi lake la Yusuf Himid na Hassan Nassor Moyo..enzi zileeee.
Na maalim Sefu hakuwa katika Member wa baraza la Mapinduzi wala hakuwa Close na Rais Mzee Abudu Jumbe. Hivo ilikuwa taabu kuona nyaraka zake za Siri. Nyaraka zilitolewa na Wahafidhuna Wa Kiunguja ambao ndio waliokuwa karibu na Raisi. Vyereje Mpemba awekwe Close na Raisi wakati Mikono yake haina Damu ( so call Mapinduzi) ? Sasa mbona kama muna mashaka na ukweli huo hamwendi mukauliza kwa hao wanamapinduzi waliobakia?..Au Ndio munawaona hawana akili..??
Sasa huyo Abdulsalami Issa naache Unafiki Wake na chuki zake dhidi ya Maalim Sefu. Naaseme Ukweli uliokuwepo. kama hajuwi Kusoma naamini ana watoto wake kawasomesha nje na wengine wako Nje wanaishi.. na wamnunulie kitabu wamsomee ukweli........

No comments:

Post a Comment