Monday, August 8, 2016

TAFADHALI TAFADHALI YOYOTE ANAE MJUWA HUYU DADA AWAPE HABARI JAMAA ZAKE KUWA AMEFARIKI HUKO OMAN


Inallilah waina lilahi rajiuni ,mungu ailaze roho yake mahala pema peponi,uyu dada alikufa Omani leo ni siku ya tatu yuko mochari na dhani kuwa familia yake ina habari , tusaidianeni kusambaza picha hii ndugu waislam na hata wasio waislam ,ama kama kuna mtu anae mfahamu vzr atambulishe familia yake, baada ya ayo, Asalam alaikum warahtullah wabarakatus — feeling sad at Al Qassim.

No comments:

Post a Comment