Sunday, August 7, 2016

TUNDU LISSU A.K.A RONALDO HAJAWAHI KUJARIBIWA KATIKA SHERIA NA HATOJARIBIWA NA MKIMJARIBU ATAWAUBUWA


Lissu hajawahi kujaribiwa katika Sheria. Na hatojaribiwa. Hata refarii utoe macho vp jamhuri ndo ishapigwa hivyo. Usimjaribu tena. Utaambulia aibu nyingine. Nasema Lissu hajaribiwi na hatajaribiwa.!


DUBAI YA SHEIN HIYOOOOOO

DUBAI YA SHEIN HIYOOOOOO

No comments:

Post a Comment