Tuesday, November 22, 2016

SHUKRAN JUU YA MICHANGO YA UJENZI WA SKULI YA KISLAMU KENGEJA PEMBA

kengeja-school
Tunawashukuru wale wote waliochangia michango yao,lakini hata hivyo bado twahitaji michango yenu.Ili kujua hatua tuliofikia katika ujenzi tumia whatsaap namba 0776 563977 au 0777 8419 21.Ili uombe kuungwa na group ya ujenzi upate maendeleo ya kila hatua na kujua nini kimebakia na nini kinahitajika changia ujenzi huu,kwani hii ni sehemu ya Swadaqatul Jariyyah
Unaweza kuchangia kwa ezzy pesa 0776 56 39 77 (jina hamza Yussuf Hamza) na tigo pesa 0719 685964 (jina asya salum) na kwa walioko nje ya nchi wanaweza kutuma kwa western union,money gram ,bakaal au dahabshil jina la mpokeaji ni Hamza Yussuf Hamza.
Au unaweza kufika Kengeja Pemba kwa maelezo zaidi na kujionea sehemu husika ,chochote kinapokelewa ikiwemo ushauri,vifaa vya ujenzi nk
kumbuka chochote utakacho kitanguliza utakikuta kwa allah kikiwa na ujira mara mbili zaidi changia ili kizazi kipate elimu yenye misingi imara kwa maendeleo ya baadae.

No comments:

Post a Comment