Sunday, December 4, 2016

WAZANZIBARI WATAKA KURA YA MAONI ZIDI YA MUUNGANO FEKI

Afbeeldingsresultaat voor mapinduzi ya zanzibar 1964
Afbeeldingsresultaat voor mapinduzi ya zanzibar 1964
Afbeeldingsresultaat voor muungano wa tanganyika na zanzibar 1964
Gerelateerde afbeelding
Muungano Feki wa Wakoloni Weusi Tanganyika na nchi ya Zanzibar sasa kuvunjika,kesi iliyofunguliwa na Wazanzibari 40,000 yawagawa wanasheria wa SMZ na SMT hadi hii Leo wote washindwa kujibu Madai yaliyowasilishwa mahakamani dhidi ya Muungano Feki,baadhi ya wahafidhina wa CCM nchini Zanzibar wataka Muungano uwe mwisho Rais achanganyikiwa na upande wa CCM kwa Wakoloni Weusi Tanganyika wamuachia mzigo mwenyekiti baadhi ya mawaziri waropoka ovyo kuwa hali ya kisiasa kuhusu Muungano Feki ni mbaya sana haijawahi kutokea wakati wowote Tanganyika (Tanzania) Zanzibar kusarambatika kama URUSI Serikali Zanzisha maombi nchi nzima,taarifa hii ni kutoka Ndani ya idara nyeti ya Serikali Feki iliomadarakani kwa mabavu.

No comments:

Post a Comment