Saturday, February 13, 2016

ALIKUWEPO OKELLO NA KUNDI LAKE LA WATANGANYIKA WAKAPITA BASI NA NYINYI MAZOMBI MTAPITA TU KAMA ALIVYO PITA OKELLO NA KUNDI LAKE LA WATANGANYIKA

OKELLO NA KUNDI LAKE LA WATANGANYIKA WALIO KUJA KUUWA WAZANZIBARI KWA CHUKI ZAO BINAFSI,NA KUPINGA WATU,KUTESA WATU,KUNAJISI WANAWAKE,KUWAOWA KWA LAZIMA BILA YA KUFUNGA NDOWA,KUVUNJA NYUMBA ZA WATU NA KUIBA N.K. LAKINI TUJIULIZE WAKO WAPI LEO.....??

ALIKUWEPO OKELLO NA KUNDI LA WAHUNI WAKITANGANYIKA WALIO KUJA KUUWA HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR SASA WAKO WAPI....?? SASA TUNA KAMISHNA NA KUNDI LAKE LA WAFICHA NYUSO MARUFU ((ATI MAZOMBI)) MTAPITA TU KAMA ALIVYO PITA OKELLO NA KUNDI LAKE LA WAHUNI WA KITANGANYIKA WENYE CHUKI BINAFSI BASI NA NYINYI MTAPITA TU MJIANDAE NA AKHERA KUJIBU.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment