Thursday, February 25, 2016

MPAMBANAJI EDDY AL MUGHEIRY MARUFU EDDY RIYAMI AMETOKA KWA DHAMANA ALHAMDULILAHI


BADO MASHEIKH WETU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA KIBARAKA WAKO SULTANI MNKURUNZINZI SHEIN AMBIZANENI MUWATOWE MASHEIKH AU MJIANDAE NA ADHABU KUBWA YA M.MUNGU HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA PIA.
HAWA WALIKUWEPO NA WENGINE WENGI SANA WAKAFANYA WALIO YAFANYA MAMBO MABAYA MABAYA KWA WAZANZIBARI WASIO NA HATIA YOYOTE WALIUWA WAKANAJISI WANAUWE,WANAWAKE,WAKE ZA WATU,WATOTO WAWATU WAKIKI WADOGO WAKAFANYA WALIO FANYA WAKAIBA NA KUPORA MALI ZA WATU NA HATA WAKE ZA WATU PIA WAKAWA WEKA WATU VIZUIZINI NA MAJELA NA KUWATESA KILA AINA YA MATESO LAKINI SWALI LA KUJIULIZA LEO HII WAKO WAPI....? WAKO WAPI....? WAKO WAPI....? HAWA SIWALIKUWA NA MAGUVU YAO NA KIBRI CHAO NA MATESO YAO NA KUNAJISI WAKE ZA WATU NA WATOTO WAKIKE WADOGO NA HATA KUNAJISI WANAUME SASA LEO HII WAKO WAPI.....?  LEO HII HATA MNAWASIKI AU HATA MNAJUWA MAKABURI YAO YALIPO BASI NA WEWE MNKURUZINZI SHEIN NA MKOLONI MWEUSI POMBE MAGUVULI MJIJUWE MNAFANYA MNAYO YAFANYA ILA IPO SIKU MFALME WA KWELI ATAWATIA KATIKA MKONO WAKE NA HAPO NDIO UTAJUWA KAMA MAHARAGE SIO MBOGA NI KIUNGIO TU CHA UGALI KATIKA MBOGA. NYERERE YUKO WAPI....? HITLER YUKO WAPI....? GADDAFI YUKO WAPI..? ITAKUWA WEWE POMBE NA MNKURUZINZI SHEIN MNAJIDAGANYA NA PUMZI MSIZO WEZA KUZIKONTROLI BI ASHA BAKARI YUKO WAPI...? DR OMAR ALI JUMA YUKO WAPI.....?

 KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment