Tuesday, February 9, 2016

NI NANI ALIYE FANYA MAPINDUZI YA ZANZIBAR OKELLO NA KUNDI LAKE LA WATANGANYIKA AU MACHOTARA WA CCM...???

OKELLO NA KUNDI LAKE LA WATANGANYIKA WALIO KUJA KUUWA WAZANZIBARI NA KUIGEUZA NCHI YA ZANZIBAR KUWA KOLONI LA TANGANYIKA MPAKA LEO HII HAWA NDIO WAUWAJI LEO HII CCM INASEMA MAPINDUZI MATUKUFU NA KUFURAHI MAUWAJI YA WATU WASIO NA HATIA.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment:

  1. Karume alikuwa na nia ya Zanzibar huru ingawa pia nae alitawaliwa na Tamaa na vilevile alizidiwa kete saaana na Nyerere lakini Nyerere tokea asili alikuwa na uovu na uhasidi na Zanzibar juu ya Uchumi, dini na ustaarabu wa Zanzibar. Ndio maana pale Serikali ilipopatikana kwa njia ya Kura na wananchi halisia wa Zanzibar waliposhinda uchaguzi Nyerere halikumpendeza jambo hili na ndio maana akavinjari na kouna kwamba wafuasi wake wa Africa association lazima awasaidie kwa njia ya mauwaji. Nyerere alikuwa bega kwa bega na muengereza kupindua wananchi . Ingawa wanasema kapinduliwa sultani lakini huo ni uwongo kabisa. Chini ya serikali ya wananchi usultani ungeondolewa kwa njia ya sheria ndani ya bunge na sultani mwenyewe angeridhia. Nia ya Julius ni kuifilisi Zanzibar na sasa system yake inawatumia vikaragosi wasio na mapenzi na Zanzibar ili kuidhibiti Zanzibar. Hawa ikiwachunguza hawana asili kamwe na Zanzibar wengi wao ni wapita njia na wasaka tonge na BT.

    ReplyDelete