Wananchi mbali mbali waliohamsika baada ya kiongozi wa jumuiya ya maimamu zanzibar Sheikh Farid Hadi Ahmed kutamka kwamba mswaada huo haufai na unapaswa kuchanwa ambapo yeye alizna kuuchana na wengine kufuatia kuuchana chana na kutupa chini katika ukumbi wa skuli ya Haile Sellaise leo mchana
No comments:
Post a Comment