HUU NDIO WAKATI WA UHAI WAKE
WALIOKUWA NI WALINZI WAKE AKISAFIRI NAO NCHI ZA NJEE
MUMMAR GADDAFI NA WALINZI WAKE WA KIKE TU YEYE HAHAHAH
IKISHUKA TOKA KWENYE NDEGE
MAUTI YAKIANZA KUMTEMBELEYA
VIJANA WA KILIBYA WAKIONYESHA BABA WAO WA TAIFA ALIPOJIAFICHA
HUKU WAKIMSIHI ATOKE MWENYE KABLA HAWAJAMLAZIMISHA KUTOKA
HAHAAHHAHA
OLE WENU VIONGOZI WOTE WA ZANZIBAR
HAPA NDIO ALIPO ISHIA KUJIFICHA RAISI MZIMA NA MWANAWE
RAISI MUMMAR GADDAFI ALIYEKUWA AKIONGOPEWA ULIMWENGU MZIMA
HAPA NDIO ALIPOISHIA KUJIFICHA KWENYE KARO LA KUPITIA MAJI MACHAFU
OLE WENU WABUNGE NA WAWAKILISHI NA MARAISI WA ZANZIBAR NA KILA ALIYE
KIDUDU MTU KUTOKA TANGANYIKA MWENYE KUWADIDIMIZA WAZANZIBAR MUKAE
MUKIJUWA MUNAKULA HALUWA YENU YA MWISHO ILA IKO SIKU NA NYINYI MUTAISHIA KAMA GADDAFI
HAWA NDIO VIJANA WA KILIBYA WALIOJITOLIYA KUFA AU KUPONA LAKINI LAZIMA GADDAFI ANGOLEWE TU ILI NCHI IWE NA MAISHA MAZURI NA MAENDELEYO SIO YALE YA GADDAFI NA WATOTO WAKE NA KABILA LAKE LAA BALI KWA WALIBYA WOTE BASI NA SISI ZANZIBAR VIJANA TUSHACHOSHWA NA WABUNGE NA WATOTONA WAKE ZAO,WAWAKILISHI NA WATOTO WAO NA WAKE ZAO,NA MARAISI NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO NDIO WENYE MAISHA MAZURI NA SISI WENGINE KAMA PANYA TUSHACHOSHO NA MAISHA HAYO OLE WENU AU NA NYINYI MUTAISHIA KAMA GADDAFI NA WAKE ZAKE NA WATOTO WAKE.
VIJANA WA KILIBYA WAKIONYESHANA GADDAFI ALIPOJIFICHA
ALIYEKUWA RAISI WAO LAKINI HAKUWASHUGHULIKIYA KWA CHOCHOTE
ZAIDI YA KUWATIYA UMASIKINI KAMA MARAISI WETU WA ZANZIBAR NA
WABUNGE WAKE NA WAWAKILISHI WAKE WANAVYOTUTIA UMASIKINI.
VIJANA WA LIBYA BAADA YA KUMSHIKA ALIYEKUWA RAISI WAO
NA KUMPA KIPINGO CHA HAPA NA PALE KABLA YA KUPINGWA
RISASI YA KICHWA
ALIPOSHIKWA NA KUENDELEYA KUPEWA KIPIGO CHA NGUVU
NA VIJANA WA KILIBYA OLE WENU MARAISI WA ZANZIBAR MUNAO TEGEMEYA JESHI LA WATU WABARA KUWALINDA NA KUKA MADARAKANI IPO SIKU NYINYI NA JESHI LENU LA WATU WA BARA ZANZIBAR MUTAIONA CHUNGU IKO SIKU NA HAIKO MBALI TENA
HUYU NDIYE GADDAFI AKICHARAZWA MAKOFI NA VIJANA WA KILIBYA KAMA MTOTO MDOGO VILE NA SOTE TUNAJUWA GADDAFI ALIVYOKUWA AKIOGOPEKA ULIMWENGU MZIMA LAKINI HEBU ANGALIYA HIZI PICHA HAPA NDIO UTAJUWA KUWA WATU WAKO WAKIKUKATA BASI HUNA LA KUFANYA HATA ULIMWENGU MZIMA UKUSAIDIYE BASI NA NYINYI MARAISI WA ZANZIBAR ENDELEANI TU NAKUJIDANGANYA KUWA MUNA ((JKT)) YA WABARA INAWALINDA GADDAFI ALIKUWA NA ZAIDI YA
((JKT)) NA HUYO HAPO LEO.
GADDAFI AKIWA KATIKA GARI LA KUBEBEYA WANGONJWA NA VIJANA WA KILIBYA WALIYO MTOWA MADARAKANI KWA NGUVU
HUYU NI MOJA WA WATOTO WA GADDAFI MUTASSIM ALIYE ULIWA NA VIJANA WA LIBYA WENYE HASIRA SANA YEYE NA BABA YAKE WAMESHIKWA MAHALI PAMOJA NA KUMALIZWA
MWILI WA GADDAFI BAADA YA KUFA KWA KUPINGWA
RISASI NA VIJANA WENYE HASIRI NA NCHI YAO LIBYA
KICHWA CHA GADDAFI
PICHA HII NI BAADA YA KUPINGWA RISASI YA KICHWA
MADAMU YA KICHWA YAKIMVUJA BAADA YA KUPINGWA RISASA YA KICHWA NA VIJANA WA KILIBYA WENYE MACHUNGU NAE KWA KUWABURUZA MIAKA 42 YA UTAWALA WAKE.
HUYU NDIYE MUMMAR GADDAFI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIZURI NA VIJANA WA KILIBYA WAKIJARIBU KUMUINGIZA KTK GARI ILI WAMUHARAKISHE HOSPITALI
KWA BAHATI MBAYA ALIKUFA NDANI YA GARI KABLA HAJAFIKA HOSPITALI VIONGOZI WA ZANZIBAR MUSIONE YALIYO MPATA GADDAFI HAYAWEZI KUWAFIKIYA NYINYI...........
VIJANA WA KILIBYA WENYE HASIRI NA BABA YAO WA TAIFA ALIYE WATESA KWA MIAKA 42 WAKIMPIGA PICHA BAADA YA KUMTENGEZA NA KUMALIZA HUKU WAKIFURAHIYA USHINDI WAO WA KUMTOWA BABA YAO WA TAIFA MADARAKANA HUMO ALIMOKUWA AKIJINAMESHA YEYE NA WAKE ZAKE NA WATOTO WAKE NA KABILA LAKE VIJANA WAMESHIKANA NA KUMGOWA KISHUJA KABISA OLE WENU NYINYI WAKOLONI WAUSI WATANGANYIKA NA VIBARAKA WENU MULIYOTUWEKEYA ZANZIBAR NA KUTUKANDAMIZA OLE WENU SIKU YENU INAKUJA NA MWISHO WENU UTAKUWA KAMA HUU MAANA ZANZIBAR MUMEINYANYASA TOKA 1964MPAKA LEO HII 2011 BASI MUKAE MUKIJUWA MWISHO WENU HAUKO MBALI TENA.