- SAMUEL SITTA NA WEWE PIA UNAKARIBISHWA OMAN MAANA INAONYESHA WIVU UMEKUSHIKA BAADA YA KIKWETE, MEMBE,LUKUVI,MAKINDA MR ZANZIBAR SIO NCHI PINDA KWENDA OMAN BASI NA WEWE WAKARIBISHWA USILIE SITTA BASI NYAMAZA NJO UJE UTEMBE NA WEWE.
- Muomani mwenye asili ya Zanzibar amjibu Samuel Sitta
- Huyu ni samuel sitta and he talks shit and nonesense. Muomani aliekuja Oman hana shida ya kuwa mbunge wa zanzibar na hana shida ya kushiriki ya kuchagua rais wazanzibar. Muomani aliepo Oman anafanya kazi ya kulijenga taifa la oman. Uwaziri muomani anaupata hapahapa oman na ubunge hapahapa oman. Mimi namfahamisha kwani naona hajui. Sheria ya Oman haimruhusu muoman kuwa na uraia wa zaidi ya nchi moja. Muomani alietokea zanzibar hatarudi zanzibar kununua ardhi bali ikiwa atarudi basi atarudi kwa kurudishiwa ardhi zao walizoporwa na marehem karume.
- KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Ciao.