WATANGANYIKA HATUTAKI TENA WAZANZIBARI TUNATAKA KIKOMBE CHETU CHA KAHAWA HATUOGOPI UJIRAANI.
WANYAMWEZI WAKITOKA IKULU KWA MNYAMWEZI MWENZAO.
Hii ndio CCM mwarabu anakua mwarabu anapotaka kuisaidia nchi ya Zanzibar lakini mwarabu huyo huyo anakua mzungu anapotaka kuisaidia nchi ya Tanganyika. Wanasema Maalim Seif asipewe nchi ataleta Waarabu lakini wao kuchwa wako nao Ikulu.
Wazanziabari tuzindukeni wenzetu hawatutakii mema hata kidogo.