Jana mchana muandishi wetu wa Free Zanzibar People From Mkoloni Mweusi Tanganyika na watu wengine walipata kumtembelea Shahidi Ali Juma akiwa kitandani Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja na akamsimulia namna alivyovamiwa nyumbani kwake, kuteswa na kipigo ambacho ndicho kimekuwa ndio sababu ya kuondoka na uhai wake. Angalia vidio hii, na kisha mtakie dua shahidi huyu.Pia kaa ukijuwa kuwa Wauwaji wa Serekali Hii Ya Madhalimu bado hawaja maliza kuuwa watu na kufunga watu jela bila kosa wala sheria wamafanya hayo toka mapinduzi ya 1964 mpaka sasa ni muendelezo tu hakuna jipya ndugu yangu Mzanzibari zinduka toka katika usingizi kuwa ati Zanzibar ni nchi Zanzibar sio nchi bali ni Koloni La Mkoloni Mweusi Tanganyika na hakuna Mkoloni anaetaka kuliwachia Koloni Lake Kirahisi kwa hiyo lazima mambo mawili yafanyika tukubali kuliwa na kunyanyaswa na kuka kimya na Mkoloni Mweusi Tanganyika akiendelea kututawala kimabavu na kwa nguvu za jeshi walio wajaza hapa Unguja na Pemba au Mbwa hawa tupingane nao mpaka nchi hii waihame na kuiyona chungu kama shubili sisi ndio wa kuamuwa.
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Friday, September 29, 2017
HIVI NDIVYO SEREKALI YA MAADHALI YA DR SHEIN ILIVYO MUUWA SHAHIDI ALI JUMA NA WATAENDELEA KUUWA HAWA MAANA NI KAMA MASHETANI WASHAKUNYWA DAMU
Jana mchana muandishi wetu wa Free Zanzibar People From Mkoloni Mweusi Tanganyika na watu wengine walipata kumtembelea Shahidi Ali Juma akiwa kitandani Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja na akamsimulia namna alivyovamiwa nyumbani kwake, kuteswa na kipigo ambacho ndicho kimekuwa ndio sababu ya kuondoka na uhai wake. Angalia vidio hii, na kisha mtakie dua shahidi huyu.Pia kaa ukijuwa kuwa Wauwaji wa Serekali Hii Ya Madhalimu bado hawaja maliza kuuwa watu na kufunga watu jela bila kosa wala sheria wamafanya hayo toka mapinduzi ya 1964 mpaka sasa ni muendelezo tu hakuna jipya ndugu yangu Mzanzibari zinduka toka katika usingizi kuwa ati Zanzibar ni nchi Zanzibar sio nchi bali ni Koloni La Mkoloni Mweusi Tanganyika na hakuna Mkoloni anaetaka kuliwachia Koloni Lake Kirahisi kwa hiyo lazima mambo mawili yafanyika tukubali kuliwa na kunyanyaswa na kuka kimya na Mkoloni Mweusi Tanganyika akiendelea kututawala kimabavu na kwa nguvu za jeshi walio wajaza hapa Unguja na Pemba au Mbwa hawa tupingane nao mpaka nchi hii waihame na kuiyona chungu kama shubili sisi ndio wa kuamuwa.
Saturday, September 2, 2017
MAHAKAMA KUU NCHINI KENYA SUPREME COURT IMEBATILISHA USHINDI WA WA URAIS WA NCHI HIYO NCHINI ZANZIBAR JECHA KAJIFUNGIA PIKE YAKE KABADILISHA UCHAGUZI MZIMA KISHA HAKUONEKANA TENA ZANZIBAR NDIO INAJUWA SIASA SIO MCHEZO
MAHAKAMA Kuu nchini Kenya (Supreme Court), imebatilisha ushindi wa uRais wa Rais wa sasa Uhuru Kenyatta, dhidi ya mpinzani wake mkuu Raira Odinga, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe ndani ya siku 60 kuanzia leo Septemba 1, 2017.
Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo, kufuatia maombi ya Mgombea Urais wa Muungano wa upinzani wa NASA, Raila Odinga baada ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais, uliompa ushindi Rais Kenyatta.
Katika maombi yake, Odinga alisema, kura zake zilipunguzwa kwenye baadhi ya vituo na kuongezewa mpinzani wake, lakini kubwa zaidi ni kukiukwa kwa taratibu za uchaguzi ambapo baadhi ya fomu muhimu za matokeo ya uchaguzi kama vile fomu namba 34A,B na C, hazikupatikana siku ya kutangazwa kwa matoko.
Katika uamuzi wa mahakama hiyo, majaji wanne kati ya sita (6), wamekubaliana kuwa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, (IEBC), imeshindwa kusimamia vema uchaguzi huo na hivyo kusababisha kasoro kadhaa ambazo zinakwenda kinyume na katiba ya Kenya. Hata hivyo, Mahakama hiyo imesema, hakuna ushahidi wowote, ulioonyesha kuwa Rais Uhuru Kenyatta, alitenda makosa katika mchakato huo wa uchaguzi.
Subscribe to:
Posts (Atom)