Saturday, February 22, 2020

VIDEO-NCHINI ZANZIBAR FORODHANI MAKACHU TIME HAHAHA B

VIDEO-NCHINI ZANZIBAR FORODHANI MAKACHU TIME HAHAHA A

VIDEO-NCHINI ZANZIBAR FORODHANI JUMP AND FLIP HAHAHA B

VIDEO-NCHINI ZANZIBAR FORODHANI JUMP AND FLIP HAHAHA A

VIDEO-UKIKOSOA SERIKALI YA TANGNYIKA,UNATEKWA AU UNAULIWA,UNAPOTEZWA,UNAFUNGWA JELA BILA KOSA,WAMEPOKONYWA PASSPORT JE HIYO NDIO DIMOKRASIA AU UDIKTETA


"UKIKOSOA Serikali, UNATEKWA AU UNAULIWA, Wengine WAMEPOKONYWA PASSPORT ZAO ASKOFU KANYANGANYWA PASSPORT JE MASHEIKH WALIO FUNGWA BILA YA HATIA...?? ZANZIBAR NDIO WANA MFUMO MZURI UKIWA UPELELEZI HAUJAKAMILIKA UNACHIWA HURU NA NDIO MAANA WAKALETA MASHEIKH HUKO NCHINI TANGANYIKA KWENYE SERIKALI YA DHULMA NA KUWAFUNGA JELA BILA YA HATIA MASHEIKH" - MOLLEY

VIDEO-ZITTO KABWE AKOSOA MIRADI YA MAGUFULI HUYU NDIE KIBOKO YAO

VIDEO-MAALIM SEIF AJIANDIKISHA TAYARI KWA KUPIGA KURA TUJITAHIDINI SOTE KUJIANDIKISHA MWAKA2020

Sunday, February 16, 2020

VIDEO-WAZEE WA UJIJI HAWATAKI GEUST WALA BAR HEBU WAZANZIBARI TUIGE MFANO HUU

WAZEE UJIJI ''Hatutaki Guest wala bar, zilikuwepo zikabomoka kama Uarabuni"

VIDEO-MIZIMU YA WAZEE KIGOMA UJIJI-YAMSHUKIA SPIKA WA BUNGE NDUGAI UTAKIONA CHA MTEMA KUNI ACHANA NA MWANETU ZITTO

VIDEO-WANAWAKE WAJA JUU KWA JINSI HALI YA KIMAISHA ILIVYO KUWA MBAYA MLO MOJA KWA SIKU NCHINI JE NDIO MAENDELEO HAYO.....???

Ngome Ya Wanawake ACT Wazalendo Yashindwa Kujizuia, Yatoa kauli nzito 'Serikali Inatuadhibu Wanawake"

VIDEO-MZEE ALIYEAMUA KUFANYA KAZI YA BODABODA KUKATAA KUBWETEKA MOLA MZIDISHIE BARAKA MZEE WETU

VIDEO-MAZUMBII WA DR SHEIN BABUALI NA JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA LAAZA KAZI YAKE YA VITISHO YA KUWAPIGA WAZANZIBARI NA KUWAIBIA PESA NA MALI ZAO

VIDEO-TUNAWAOMBA SANA SANA KWENDA KUCHUKUWA VITAMBULISHO VYENU VIPYA TAFADHALINI SANA SANA

Kwa nini Wazanzibari wasuasua kuchukuwa ZAN-IDs?

VIDEO-HOJA YA KUBADILI SHERIA YA DHAMANA INAPINGANA NA KATIBA

Bunge lalalia hoja ya kubadili sheria ya dhamana

VIDEO-MAALIM SEIF ZAIDI YA WATU HAMSINI ELFU PEMBA HAWAKUPEWA VITAMBULISHO HIVI KWA MAKUSUDI ILI WASIPIGE KURA MWAKA HUU

Maalim Seif azidi kuwaweka konani viongozi wa CCM Zanzibar,awaambia wasahau kutawala tena Zanzibar.

VIDEO-MAALIM SEIF AWAMBIA CCM MLIDHANI MIAKA MITANO MINGIIIIII HAAHAHAA

"CCM wamechukiwa na wananchi, wao wanatunga sheria kunizuwia mimi!" - Maalim Seif

VIDEO-WAZEE WA JIJINI DAR ES SALAAM WAJA JUU KWA AJILI YA KIONGOZI WAO ZITTO KABWE KWA VIONGOZI CCM KUTAKA AULIWE KIONGOZI HUYO.

Wazee wa Dar Wachachamaa kwa Ajili ya Zitto Kabwe