Thursday, September 11, 2014

SCOTLAND,KATALONIA,SOUTH SUDAN NA NYENGINE NYINGI WAMEWEZA KWA NINI ZANZIBAR ISIWEZE...?


SCOTLAND INATAKA KUJITENGA NA UENGEREZE KISA NINI NA WAO WAMEUNGANA TAKRIBAN MIAKA 300 LAKINI SASA WASHACHOKA WANATAKA KUJITENGA NI KWA NINI JIBU UNALO WEWE MSOMAJI NA HAWA NDIO WAZUNGU TUNAO AMBIWA KUWA WAO WANAKILI SANA JE IMEKUWAJE TENE PIA KUMBUKA KUWA SCOTLAND NA ENGLAND SIO KAMA NCHI ZAO HAZIKUNGANA KII ARDHI ANGALIA MAPU HAPO CHINI LAKINI PIA WANATAKA KUJITENGA KILICHO BAKI SASA  SCOTLAND INATAKA KUJITENGA NA KUONANA NA UENGEREZA KATIKA MUUNGANO WA E.U.TU  BASI UMOJA WA NCHI ZA ULAYA


CATALONIA NAYO INATAKA KUJITENGA NA SPAIN KUNANI NA KUMBUKA SIO KISIWA BALI NI BARA LAKINI INATAKA KUJITENGA NA HAITAKI TENA KUWA PAMOJA NA SPAIN KWA NINI JIBU UNALO WEWE MSOMAJI


SOUTH SUDAN NAYO PIA WAMEJITENGA NA WAO SIO KUWA WALIKUWA NCHI TAFAUTI KISHA WAKAUNGANA LAA HASHA NI NCHI MOJA TOKA TANGU NA TANGU MGEREZA NA WEZAKA WALIPO LIGAWA BARA LA FRIKA KAMA MKATE WA KUMIMINA NAO PIA WAMEJITENGA NA KUWA NA NCHI YAO NAO PIA SIO KISIWA NI BARA


HII NDIO BENDARA YA NCHI YA ZANZIBAR BAADA YA KUPATA UHURU KUTOKA KWA MKOLONI MGEREZA NA NDIO BENDERA ILIYO PEPEA UMOJA WA MATAIFA TULIPO JIUNGA NA U.N.


KISHA MAPINDUZI YA KHARAMU YAKAJA YALIYO PANGWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WAKAIPINDUWA NCHI YA ZANZIBAR WAUWAJI WAKAWAU WAZANZIBARI KINA OKELLO NA WENZAKE WAKATULETEA HILI BENDERA BAADA YA KUTIMIZA KAZI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YA KUUWAUWA WAZANZIBARI

KISHA MKOLONI MEUSI AKATULETEA HII YENYE KITOTO CHAKE JUU YA KIKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAKUNA LOLOTE ILA NI KUTAKA KUIYUWA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPOTEZA HISTORIA YA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA KUIPOTEZA NCHI YA ZANZIBAR KABISA KATIKA RAMANI YA DUNIA WAMESAHAU KUWA NCHI YA ZANZIBAR IMEUBWA TANGU NA TANGU JE NI KWA NINI SISI TUSIWEZE KUJITENGA...?
KUBUKA SISI SIO BARA KAMA HIZO NCHI ZILIZO TANGULIA BALI  SISI NI VISIWA TUMEUNGANA NA BARA NA WALA WANANCHI HAWAKULIZWA NI MUUNGANO WA HIYARI SASA UMEGEUKA WAKULAZIMISHANA NA KUTISHANA IKIJESHI UBABE MNA NINI WATANGANYIKA HEBU ANGALIENI HIYO PIC HAPO CHINI MTAJUWA KUWA NYINYI WENYEWE SIO WOTE WATANGANYIKA.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

HAWALITAKI JINA LA TANGANYIKA KWA SABUBU SIO JINA LA NCHI YAO NI LAKUBATIZWA NA WAKOLONI WAO WAJERUMANI

HICHI NDICHO KINACHO WATISHA WATANGANYIKA WANAJUWA KUWA WAZANZIBARI TUKICHUKUWA NCHI YETU YA ZANZIBAR BASI WAO HAWATABAKI SALAMA UHEHE WATADAI NCHI YAO RUVUMA WATADAI NCHI YAO UNAYAMWEZI WATADAI NCHI YAO MASAILAND WATADAI NCHI YAO KAGERA WATADAI NCHI YAO WALIO BAKI NDIO TANGANYIKA MNAJIFANYA WAJUWAJI WAKATI HAMUNA LOLOTE WACHOVU.

TUONYESHENI HIYO NCHI INAYO ITWA TANZANIA A.K.A ,TANZANIA BARA,TZ BONGO LAND IKO WAPI ...??

TUONYESHENI HIYO NCHI INAYO ITWA TANZANIA A.K.A.,TANZANIA BARA,TZ BONGO LAND IKO WAPI ...??

Saturday, September 6, 2014

MWANASHERIA MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR AJIUZULU (KATIBA IANDIKENI KISHA TANGANYIKA HAINA KATIBA TUMIYENI NYINYI HIYO KATIBA MUWE NA NCHI YENU TANGANYIKA NA HIYO ITAKUWA NDIO KATIBA YENU TANGANYIKA)


Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Zanzibar ajiuzulu Kamati ya Uandishi, asema sababu aulizwe Mwenyekiti wa Bunge, Sitta,Saba,Nane,Tisa, akataa kuzungumzia kwa hikma alizo nazo.Giningi inayo wauwa Wazanzibari Dodoma. Kuna dalili ya hali halisi si shwari ndani ya Bunge Maalumu la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya nchi ya Zanzibar  Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi wa Katiba inayopendekezwa.
Habari za uhakika zilizopatikana jana bungeni mjini Giningi Dodoma, zinaeleza kuwa kigogo huyo wa nchi ya Zanzibar amemwandikia barua Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta akimwarifu juu ya uamuzi wake huo wa kujiuzulu.Kamati hiyo ndiyo moyo wa Bunge hilo katika kuandika vifungu, ibara na sura za rasimu kulingana na mapendekezo ya kila kamati na baada ya majadiliano na mwisho inawajibika kuandika Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni.
Kujiengua kwake ni pigo kwa Bunge Maalumu, kwani kunapunguza uhalali wa Katiba itakayopendekezwa kwani Othman akiwa Mwanasheria Mkuu wa upande huo wa Muungano feki ndiye anayepaswa kuwa kinara wa kulinda masilahi ya nchi ya Zanzibar wakati wa uandishi wa Katiba inayopendekezwa.Jana Mwanasheria huyo Othman alilithibitishia Muandishi wetu wa siri wa Free Zanzibar People From Mkoloni Mweusi Tanganyika aliyepo Giningi Dodoma kuhusu kujiuzulu kutoka kwenye kamati hiyo, lakini akakataa kueleza zaidi sababu zilizomsukuma kuchukua uamuzi huo akitaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu atafutwe kwani barua yake ya kujiuzulu ameikabidhi kwake.
Mwanasheria huyo wa nchi ya Zanzibar alisema “Ni sahihi kwamba nimejiuzulu…hizo sababu ndiyo siwezi kukutajia maana kwa mujibu wa taratibu za Bunge Maalumu zinapaswa kuzungumzwa na Mwenyekiti maana barua yangu ya kujiuzulu anayo yeye,”alisema Othman alipozungumza na muandishi wetu.Hata hivyo, Sitta,Saba,Nane,Tisa alipotafutwa jana, alikataa kuzungumza lolote juu ya taarifa hizo akisema hawezi kufanya mahojiano na mwandishi asiyemfahamu kwa njia ya simu. ilibidi mwandishi wetu acheke kwanza hahahaahah
Sita akiendelea kusema kwenye simu “Kwanza sikujui halafu unataka nifanye mahojiano kwenye simu...?? Mimi sipo (Dodoma), nipo Dar es Salaam ninarudi Jumatatu niliondoka huko (Dodoma) mara tu baada ya kipindi cha asubuhi,” alisema Sitta.Kwa upande wake, Katibu wa Bunge Maalumu, Yahya Khamis Hamad, alipotafutwa alisema hajaiona barua hiyo ya Othman, lakini kwa utaratibu, mjumbe anayetaka kuchukua uamuzi kama huo humwandikia barua mwenyekiti ndipo ishuke chini.“Mimi bado sijapata taarifa hiyo, labda atakuwa amewasilisha kwa mwenyekiti akishaipata ndiyo inaletwa huku kwangu,”alisema Hamad.Alisema kwa sababu nafasi hizo ni uteuzi unaofanywa na mwenyekiti na kanuni ziko kimya kuhusiana na idadi ya wajumbe katika kamati, mwenyekiti ndiye mwenye uamuzi wa kuteua mtu mwingine ama kuacha.
ZANZIBA KWANZA ZANZIBA KWANZA ZANZIBAR KWANZA
Baada ya Muandishi wetu kufuatilia zaidi habari hizi tulingundua kuwa mara ya mwisho,Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Zanzibar Othman aliingia katika kikao cha Kamati ya Uandishi Jumanne na tangu siku hiyo hakuhudhuria vikao na hata jana wajumbe walikutana Ukumbi wa Pius Msekwa bila ya kigogo huyo kuhudhuria.Vyanzo hivyo vilimdokeza Mwanandishi wetu  kuwa sababu kubwa ya kujiondoa katika kamati hiyo ni kutokana na kutoridhishwa na hali ya mambo katika uandishi wa ibara za katiba kama zilivyopendekezwa na kamati 12 za Bunge Maalumu.
Habari hizo zinadai, Othman alisikika akiwatahadharisha baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo, nje ya vikao juu ya athari za wajumbe wa kamati za Bunge, kuamua kuifumua rasimu iliyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.“Alitahadharisha juu ya kubadili maudhui ya Rasimu ya Katiba iliyoandikwa kwa misingi ya serikali tatu na kuiandika kwa misingi ya serikali mbili kuwa itakuwa na athari huko baadaye,” alidokeza mmoja wa watoa habari.Kujiuzulu kwa Othman kumekuja wakati Bunge hilo likiwa limegawanyika vipande vipande baada ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuamua kususia vikao vya Bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.
Sababu inayotajwa na Ukawa ya kususia vikao hivyo, ni hatua ya Bunge hilo kuamua kuacha kujikita katika kujadili na kuboresha Rasimu ya Katiba na badala yake kuifumua upya ili kuingiza masilahi ya CCM wasio jali maaslahi ya Wananchi wao ni Matumbo yao na wake zao na hawara wao basi mlio baki kufani na nja miaka sasa zaidi ya 50.Hata hivyo, pamoja na wajumbe wa Ukawa kususia, Bunge hilo limeendelea na vikao vyake vya haramu huku jitihada za kutafuta maridhiano zikielekea kukwama kutokana na kila upande kushikilia msimamo wake.
Kadhalika baadhi ya wajumbe ambao pia ni makada wa CCM wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Nchini Tanganyika), Mwigulu Nchemba wamekuwa wakipinga kuendelea kwa Bunge hilo kwa maelezo kwamba litakosa uhalali wa kisiasa, huku kukiwa na hofu ya kutopatikana kwa idadi ya theluthi mbili ya wajumbe kutoka Nchini Zanzibar.Sitta,Saba,NaneTisa mara zote amenukuliwa akijitetea kuwa Bunge hilo halijatoka nje ya msitari na kwamba kinachojadiliwa ndani ya Bunge hilo ni Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na siyo vinginevyo.Kamati ya Uandishi inajumuisha wajumbe 24 wakiwamo watu wazito na inaongozwa na Mwanasheria Mkuu mstaafu, Andrew Chenge na mjumbe mwingine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Fredrick Werema na wanasheria mbalimbali waliobobea katika taaluma ya sheria.DSC_2138
ZANZIBA KWANZA ZANZIBA KWANZA ZANZIBAR KWANZA
HATUTAKI KITU MWANASHERIA WETU ASHATOKA BASI TUPENI HAO NDUGU ZETU MULIO WAFUNGA HUKO JELA BILA YA SABABU KISHA NYINYI MUBAKI NA TANGANYIKA YENU MUANDIKE HIYO KATIBA IWE NDIO KATIKA YA NCHI YENU YA TANGANYIKA  BASI MUNA NCHI YENU NA HIYO NDIO ITAKUWA KATIBA YENU NA SISI TUNA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA KATIBA YETU HAKUNA KUINGILIANA TUISHI KWA AMANI KAMA TUNAVYO ISHI NA WAKENYA,WAGANDA N.K.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAKUNA GAIDI NCHINI KWETU ZANZIBAR KUNA WATAKA NCHI YAO YA ZANZIBAR. MAGAIDI,WAUWAJI,WALAWITI,MADHALIM,WAVUNJA SHERIA NI NYINYI TANGANYIKA



MMOJA wa watuhumiwa atii wa ugaidi lakini sote tunajuwa kuwa sio magaidi ni wakombozi wa nchi ya Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ila wanapakwa mavi kuwa ni magaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) nchi Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyorowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na kuingizwa miti na polisi hao wa MKoloni Mweusi Tanganyika nchini huko Tanganyika.
Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo jana ili kuithibitishia mahakama kile walichodai ni unyama waliotendewa na polisi hao Makaburu Weusi wa nchi hiyo ya Tanganyika wakati wakihojiwa.“Mheshimiwa hakimu, angalia (anageuka na kuinua suruali katika eneo la makalio), haya ndiyo madhara niliyopata kwa kuingiliwa nyuma na kuingizwa jiti,” alisema Mzanzibari akiwa katika Mahakama hiyo ya Mkoloni Mweusi Tanganyika.
Baada ya mshtakiwa huyo kuzungumza, Hakimu Hellen Riwa alimshauri kutoa taarifa kwa uongozi wa Magereza ili aweze kupata matibabu ya haraka kwani akiendelea kukaa hivyo anaweza kupata madhara makubwa.Kwa upande wake, Sheikh Farid, alimuomba Rais wa nchi ya Tanganyika JM Kikwete kuunda tume huru ya kuchunguza vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa.
Sheikh Farid aliieleza mahakama kuwa Tanganyika ((a.k.a.Tanzania)) hakuna ugaidi, na kwamba balaa hilo lisiombwe kutokea hapa nchini.Alisema kuwa yanayowakuta hivi sasa ni kutokana na kudai mamlaka ya nchi yao ya Zanzibar kwani kuna mgogoro mkubwa unaoendelea.
Sheikh Farid alisema hayo jana katika Mahakama ya Mkoloni Mweusi Tanganyika Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa, wakati kesi yake na wenzake 19 ilipokuwa ikitajwa na kuunganishwa na washtakiwa wengine wawili, Sheikh Mselem Ali Mselem na Abdallah Said Ali.
“Mheshimiwa Hakimu, naomba mahakama ikunjue kifua itusikilize tunayotaka kusema, tunataka ufafanuzi kutoka kwako, kwanza nathibitisha kwamba madhila, unyanyasaji, ukatili tulifanyiwa na polisi wakati wa mahojiano.“Tatizo letu mheshimiwa ni matibabu, gerezani hakuna matibabu, kuna wenzetu tangu tulipoingia humo miezi miwili sasa, wanalala hospitali, dawa hakuna, inafikia hatua tunaagiza kutoka nje.
“Mheshimiwa hali ni mbaya, watu wanatokwa hadi na usaha, yote hayo ni kwa sababu ya ukatili waliotufanyia polisi, tutakapokwenda katika Mahakama Kuu ya Tanganyika iliyovaa koti la Tanzania tutazungumza mengi.
“Tunahitaji iundwe Tume Huru ya Uchunguzi, tunaomba Rais Kikwete aunde tume yenye haki, tume ndiyo itatoa ukweli, hiki ndicho kilio chetu.
“Niliuliza hapa mahakamani Zanzibar ni nchi.....???? Yule rais ni rais wa timu ya mpira.......???” alihoji Sheikh Farid.
Aliendelea kusema sheria ya ugaidi ni sheria ya dhuluma ambayo ipo kwa ajili ya kuwanyonga Waislamu na kwamba kuna mgogoro mkubwa wa Utanganyika.
“Tanzania hakuna ugaidi hapa, tusiombe balaa hilo, sisi kosa letu ni kudai mamlaka ya nchi yetu,” alisema Sheikh Farid.Hakimu Riwa akijibu hoja ya Sheikh Farid, alisema mahakama imewaruhusu kuandika barua kuomba kuundwa kwa tume huru kisha mahakama itajua pa kuipeleka.
Kabla ya kuwasilisha hoja hizo za malalamiko, washtakiwa walibadilishiwa mashtaka na kusomewa upya mashtaka manne na mawakili wa Serikali, Peter Njike na George Barasa.Inadaiwa katika shtaka la kwanza, washtakiwa wote kwa pamoja kati ya Januari 2013 na Juni 2014 maaeneo mbalimbali ndani ya Jamhuri ya Muungano feki ya a.k.a. Tanzania,Tanzania Bara,TZ,Bongo Land walikua njama na kuingiza watu nchini kushiriki vitendo atii vya kigaidi.
Katika shtaka la pili, washtakiwa wote wanadaiwa kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi huku wakijua ni kosa.“Mheshimiwa, shtaka la tatu linamkabili mshtakiwa Farid na Mselem, mnadaiwa kati ya Januari 2013 na Juni 2014, maeneo ya Jamhuri ya Muungano feki wa Tanzania, mliwaajiri Sadick Absaloum na Farah Omary kushiriki kutenda vitendo vya kigaidi.
“Shtaka la nne linamkabili Farid, unadaiwa kuhifadhi watu waliotenda vitendo vya kigaidi, huku ukijua ni kosa. Ulimuhifadhi Sadick Absaloum na Farah Omary huku ukijua kwamba walitenda ugaidi,” alidai Balasa.Washtakiwa hawakutakiwa kujibu lolote, upelelezi wa kesi haujakamilika. Mahakama iliahirisha kesi hiyo hadi Septemba 17, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa.
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Jamal Swalehe, Nassoro Abdallah, Hassan Suleiman, Anthari Ahmed, Mohammed Yusuph, Abdallah Hassani, Hussein Ally, Juma Juma.Wengine ni Saidi Ally, Hamisi Salum, Saidi Amour Salum, Abubakar Mngodo, Salum Ali Salum, Salum Amour Salum, Alawi Amir, Rashid Nyange, Amir Hamis Juma, Kassim Nassoro, Said Sharifu, Sheikh Mselem Ali Mselem na Abdallah Said Ali.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-SHEIKH HUSSEIN HASSAN A.K.A. ((SHEIKH NYUNDO)) DAWAA MPAKA KIYAMAA

SHEIKH NYUNDO VIGARI VIDOGO VINA VIOO VYA KIZA
TAFUTA MKE UTAKAE INGIA NAYE PEPONI SIO ANA VAA JAZI NA YEYE ANA KWENDA MAZOEZINI AU ANATIA HIRINI ZA VITOVUNI NA KATIKA TUMBO
DAWA MPAKA KIYAMA
NANI ALIYE SWALI RAKA MBILI ALIPOSIKIYA MUMEWE KAOWA..?
SUBUTUU
WANAUME MASHOGA NA WANAWAKE WANA MASHOGA ZAO
HATARI HII VIJANA WAKIZANZIBARI WANAHARIBIWA KWA MAKUSUDI
LEO HII HAKUNA HATA KIJANA MOJA WA KIZANZIBARI ATAKAE JIKAZA NA
KUOWA WAKE WANNE HAKUNA SUBUTU
WATU HAWANA HONI,TAA WALA BRAKII
MWANAMKE ANATAKIWA AJIHADHARI NA MAMBO
MATATU YASIJE YAKAMTIA MOTONI

 DHULUMA WANAZOFANYIWA WANAWAKE

Friday, September 5, 2014

CCM MUUTAMJUWA MANSOUR YUSSUF HIMID NI NANI SASA MMERAMBA MOTO KWA ULIMI WACHAA UWANGUZE SASA


Nchini Zanzibar. Siku chache baada ya kujiunga na CUF, Waziri wa zamani wa Serikali ya Zanzibar (SZ), Mansour Yussuf Himid (46), ameteuliwa kuwa mkuu wa mikakati wa kufanikisha kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi(CCM) kupitia Uchaguzi Mkuu mwakani.
Mansour alijiunga na CUF baada ya kuvuliwa uanachama wa CCM, Agosti mwaka jana kwa tuhuma za atii usaliti na kwenda kinyume na sera za chama hicho cha Mkoloni Mweusi Tanganyika kilichokuja kukiua chama cha ASP na kujipenyeza na kuwatawala Wazanzibari kwa Ukoloni wasio ujuwa kuwa ni UKOLONI, hivyo kupoteza nafasi yake ya uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki.
Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Salum Abdallah Bimani alisema Mansour ameteuliwa kushika wadhifa huo kuanzia Agosti 27, mwaka huu hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu mwingine wa Taifa wa CUF mwaka 2019.
Bimani alisema majukumu ya Mansour ni kuratibu mipango na mikakati ya kisiasa na kuhakikisha CUF inafikia malengo yake ya kushika madaraka kwa njia za kidemokrasia.
Alitaja sifa za mwanasiasa huyo kuwa ni mwanaharakati, mchapakazi na mpenda mabadiliko na kwamba hivyo amekabidhiwa jukumu hilo akiaminiwa kuwa ni kiranja atakayefanikisha malengo hayo kwa weledi na ushupavu.
“Siku zote (Mansour) hufanya jambo analoliamini bila ya kusukumwa, analolisimamia basi huzaa matunda bila ya kusukumwasukumwa, ni jasiri na hodari,” alisema Bimani.
Alisema kikao cha Kamati ya Uongozi cha CUF kilichokaa hivi karibuni na kuwakutanisha wajumbe 300 wa wilaya sita za Unguja, kilitambulishwa nafasi mpya ya Mansour.
Alisema madhumuni ya mkutano huo ilikuwa ni kuwatambulisha viongozi wapya wa Kamati ya Utendaji Taifa ya CUF ambayo itafanya kazi kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Mansour alithibitisha uteuzi huo lakini hakuwa tayari kuzungumza chochote.
Mwanasiasa huyo ameshiriki katika mikakati ya kampeni za uchaguzi za vipindi vitatu akiwa CCM wakati wa Rais mstaafu, Amani Abeid Karume na kushiriki kikamilifu katika kampeni za  Shein.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA A.K.A (TANZANIA,TANZANIA BARA,TZ,BONGO LAND) AENDELEA KUWATESA WAKOMBOZI WA NCHI YA ZANZIBAR NA KUWAPAKA MAVI ATII NI MAGAIDI


Nchini Tanganyika Dar es Salaam. Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu nchini Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed amemuomba Rais kuunda tume itakayowahusisha watu kutoka Tanganyika, nchi ya Zanzibar, wanasheria na madaktari ili waweze kuchunguza afya zao.
Sheikh Farid aliyaeleza hayo jana muda mfupi baada ya mawakili wa Serikali Peter Njike na George Barasa kuiomba mahakama kubadilisha hati ya mashtaka atii ya ugaidi iliyokuwa ikiwakabili na kumuunganisha Sheikh Mselem Ali Mselem na mwenzake Abdallah Said Ali na kufanya idadi ya washtakiwa hao wa ugaidi kufikia 22.
Farid alimueleza hakimu kuwa anacho cha kusema na akapewa nafasi, kisha akasema kuwa Agosti 6 na 21, 2014 walifika mahakamani hapo na kueleza matatizo, madhila na unyama waliofanyiwa na polisi na siyo magereza.
Alisema kuwa gerezani wanaishi vizuri kwa kufuata sheria isipokuwa suala la matibabu ambapo aliongeza kuwa uwezo wa bajeti yake ni mdogo hivyo wanashindwa kuwatibia jambo ambalo linasababisha waagize dawa nje wakati ugonjwa huwa hausubiri.
“Watu wameingia gerezani wanaumwa wanavuja hadi usaha kutokana na kipigo walichopewa na polisi hivyo tunamuomba Rais aunde tume kutufanyia uchunguzi wa afya zetu,”alisema na kuongeza;
“Sisi tunachodai siyo uchochezi ninayoeleza polisi wapo wameyasikia tumekamatwa na kushtakiwa Tanganyika kwani Zanzibar siyo nchi.....????????????” aliuliza Sheikh Farid.
Hakimu Hellen Liwa na akamjibu Sheikh Farid  kuwa yeye anachojua wote ni Watanzania na suala la Muungano wengine wanauamini na wengine wanataka ukazikwe Butiama.
Hakimu alimtaka aandike kwa maandishi malalamiko yake ili waweze kuyapeleka sehemu husika na kuiahirisha kesi hiyo hadi Septemba 17, 2014.
Baada ya kutolewa kwa ombi hilo, Hakimu Hellen Liwa alikubaliana na ombi hilo na mawakili hao waliwaunganisha washtakiwa hao na kuwasomea mashtaka manne mapya.
Mawakili wa Serikali, Njike na Barasa jana walidai mbele ya Hakimu Liwa kuwa washtakiwa hao walijihusisha na mashtaka yakiwamo ya kula njama na kuwaingiza watu kushiriki vitendo vya ugaidi kinyume na kifungu cha 27(c) cha Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya mwaka 2002.
Njike alidai mahakamani hapo kuwa washtakiwa hao kwa pamoja waliwaingiza nchini Sadick Absaloum na Farah Omary ili kutenda makosa ya ugaidi.
Sheikh Farid na Mselem kwa makusudi wanadaiwa kutoa msaada kwa Absaloum na Omary ili waweze kushiriki katika vitendo vya kigaidi.
Mbali na shtaka hilo, Sheikh Farid anadaiwa kuwa kwa makusudi aliwahifadhi Absaloum na Omary wakati akijua fika walikuwa wakishiri katika kutenda vitendo vya ugaidi.
Baada ya kusomwa kwa mashtaka hayo ya ugaidi, Sheikh Faridi na wenzake walitakiwa wasiongee kitu chochote kwa sababu mahakama ya hakimu mkazi Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza shauri hilo hadi mahakama Kuu.
CHAJABU NI KUWA MAHAKAMA HII HAINA UWEZO WA KUSIKILIZA KESI HII KWA NINI BASI MUNAWAPELEKA KILA WAKATI KATIKA MAHAMA HIYO HIYO AMBAYO HAINA UWEZO WA KUSIKILIZA KESI HIYO.....? WAKOLONI WEUSI NYIEEE ANGALIENI SANA MUNAJIONA MUNA DOLA BASI MUNAONA MTAONEA WATU MUTAKAVYO MUTATESA WATU MUTAKAVYO SAWA NYERERE BABU YENU YUKO WAPI,HITLER N.K.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Monday, September 1, 2014

SWALI KWA SHEIN , DPP MASHUZI IBRAHIM NA HUYU ALIYETWIKWA UMUFTI HALI ANJUWA KUWA YEYE SIO MUFTI MAHMOUD

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kulia) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,baada ya kuwaapisha kushika nafazi alizowateuwa
 Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Shein,akiwa katika picha na Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kulia DPP MASHUZI) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,MUFTI UMESIKIA KAMA WAISLAMU WENZIO WA ZANZIBAR WAKO KWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WANATESWA WEWE UMEBANA KIMYA UNAKULA MPUNGA TU AU SIO MUFTI SUBIRI SIKU YA KIYAMA NA KABURINI MWAKO UTAKULA MABEMBE MPAKA UKOME UMUFTI UTAKUTOKEA MASHKIONI. baada ya kuwaapisha kushika nafazi alizowateuwa

Hivi karibuni,kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu ya Zanzibar, kumeibuka mtindo unaoendeshwa na Jeshi la Polisi la Mkoloni Mweusi Tanganyika liliopo hapa nchini kwetu Zanzibar kwa kuwakamata atii watuhumiwa wa makosa ya jinai ambao ni Wazanzibari na baadae kuwasafirisha na kuwapeleka nchini kwao huko Tanganyika kwa makaburu weusi ambako kwa kupitia Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai wa Mkoloni Mweusi Tanganyika huwafungulia mashtaka katika Mahakama za Mkoloni Mweusi Tanganyika.
HUU NI UJUMBE NAKUPA WEWE SHEIN,DPP MASHUZI IBRAHIM NA WEWE MNAFIKI MKUBWA ATII MUFTI YAGUJUUUU
Al Muminun aya 4 za mwisho zinasema Je mlidhani ya kwamba tumekuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa...?

Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa haki, hakuna aabudiwaye kwa haki ila yeye, Mola wa Arshi yenye hishima (kubwa kabisa)

Na anayemuabudu-pamoja na Mwenyezi Mungu-   mungu mwingine, yeye hana dalili ya (jambo) hili ,basi bila shaka hisabu yake iko kwa Mola wake. Kwa hakika makafiri hawafanikiwi.

Nawe sema;   Mola wangu! Samehe na rehemu , Nawe ndiye Mbora wa wanaorehemu. 

Je shein Je DPP IBRAHIM Je Mahmoud Mnathani na nyinyi mume umbwa bure na wala hamtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu......?????

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO HAITAKUFA SIKU HIYO.