Thursday, November 13, 2014

MH KHATIB SAID HAJJ MBUNGE WA KONDE PEMBA AIPA DOZII BAKWATA NALO LAAZA KUPANDA MAPEPO



BAKWATA YACHAGAWA
BARAZA KUU ATII LA WAISLAMU NCHINI TANGANYIKA (BAKWATA)
Limekuwa Likimtumia MESSEGE na simu za VITISHO Mbunge wa Konde Pemba, Mh Said Hajj, Kufuatia shutma alioitowa Mbunge huyo Bungeni 11/10/2014, kwa BAKWATA na serikali kutokana na ukimya juu ya malalamiko ya udhalilishwaji wa vyombo vya dola kwa Masheikh waliotolewa nchini Zanzibar na kupelekwa nchini Tanganyika.

Atii kwa tuhuma za ugaidi

Moja ya ujumbe aliyotumiwa Mheshimiwa huyo ni huu

Tunasikitishwa Sana kwa kitendo chako ulichokifanya jana katika bunge la jamhuri ya muungano ya Tanzania
Wewe ukiwa mbunge muislam haikuwa sahihi kukisema chombo cha waislamu Bakwata kuwa ni chombo cha kinafiki na baya zaidi kuisema jumuiya hii kuwa ni moja kati ya taasisi ya za CCM kama ilivyo jumuiya ya vijana ya CCM.
Na baya zaidi wewe ukiwa ni muislam kuliomba baraza kuu la maaskofu kuwatetea masheikh eti wanaothalilishwa katika magereza ya Tanzania bara. Jambo ambalo Halina uthibitisho wowote Bali ni maneno ya mitaani uliyokubali kulishwa nawe ukayameza bila kujitambua. Sisi kama taasisi ya kiislam inayotambuliwa kisheria na serikali yetu tukufutunakulaani sana kwa kuikashifu Bakwata na tunaanda Taratibu za kisheria kupitia wanasheria wetu kuona hatua za kuchukua dhidi yako ili iwe fundisho kwako na wale wote wenye tabia za kuidhakilisha jumuiya hii ya waislamu Tanzania
Wabillahi tawfiq
Sisi vijana wa Bakwata
Kny sheikh wa mkoa wa Dsm shk Alhad Mussa Salim;
BAKWATA HAMNA INTERNETE KWENYE OFISI ZENU..??


Na Mh Khatib kwa ujasiri mkubwa akawajibu kwa kuwatumia ujumbe huu
Mukienda mahkamani mutanikuta nimeshafika nawasubiri
Nilisema bungeni kila mtu ameona na nyinyi kama taasisi inayojiamini semeni au jibuni hadharani waislamu watapima wataamua Nani mkweli au muongo Hii ya kunitumia sms kwangu nahisi ni ishara ya woga mumewatawala! Niwahakikishie tu mimi najiamini na Allah pekee Ndio tegemeo langu
Allah aalam!
DUA NA USHIRIKIANO WA WAISLAMU UNAHITAJIKA KATIKA HILI KWA NDUGU KHATIB SAID HAJJ
TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WAISLAMU WOTE

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

MANDELA,GANDI,JE WALIKUWA MAGAIDI..?? VIPI LEO UAMSHO NA WAZANZIBARI KWA UJUMLA KUTAKA MAMLAKA KAMILI YA NCHI YAO YA ZANZIBAR WAWE NI MAGAIDI.....????

pope-resigns-reax


Habari kubwa wiki hii imekuwa ni ile ya Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu kwa ufupi na kwa umaarufu zaidi UAMSHO. Viongozi wa Serikali ya nchi ya Zanzibar na wale wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika wamekuwa wakiitaja hadharani.
Makamo wa Rais wa nchi ya Tanganyika. Muhammed Gharib Bilali ameitaja kuwa ni hatari na kufika hata kuiweka kundi moja na Al Qaida, Al Shabab; Nae balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika anaishi nchini Zanzibar Balozi Seif Ali Idd ametoa agizo kuwa bendera zote zipachuliwe na Rais wa Maskani ya Kisonge Ali Muhammed Shein amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa kuchukuliwa viongozi wa UAMSHO kushtakiwa Dar es Salaam nchini Tanganyika kwa hoja kuwa hata viongozi wa Kiafrika hupelekwa The Hague kushtakiwa. ((SHEIN UMEFYATA))
Kwa wasiojua basi UAMSHO ni jumuia halali iliyosajiliwa hapa nchini Zanzibar na mpaka leo hivi kadri ninavyojua usajili wake bado upo na kwa hivyo wallahi inanishangaza mno kauli na vitendo dhidi yake vinavyofanywa na Serikali hizi mbili ya Tanganyika na ya Zanzibar, ilhali ikibakisha uhalali wake
.
UAMSHO ilipata kusikika zaidi baada ya kujitokeza kupinga muundo wa Muungano Feki wa (Tanzania,) kiongozi wake Farid Hadi kuichana Rasimu ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba mbele ya Samuel Sitta na Samia Suluhu na pia vurugu ya wiki moja iliyotokea mwezi Oktoba, 2012.
Jumuia hiyo imehusishwa na matukio kadhaa yanayotajwa kuwa ni ya ugaidi kama vile kuchomwa sehemu za kuabudia za Wakristo, miripuko ya mabomu, mashambulizi ya tindi kali dhidi ya wageni na viongozi wa Kiislamu na kushambuliwa viogozi wa Kikristo kwa tindi kali na risasi kama yule padre aliyeuliwa.
Hadi sasa kwa upande wa nchi ya Zanzibar hakuna hata kesi moja ya UAMSHO ilowatia hatiani washitakiwa wake na kwa kiasi kikubwa kwa kweli kesi hizo zipo zipo tu Mahakamani, yaani zimedorora. Kwa kuwa bado zimo mchakatoni tunajizuia kutoa maoni yoyote ili tusikhalif sheria.
Lakini kwa miezi minne iliyopita viongozi kadhaa wa UAMSHO wamekuwa wakichukuliwa kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi na inaelekea kwa vitendo vilivyotokea nchini Zanzibar na vile vya nchi ya Tanganyika  kwa kuunganishwa na washtakiwa wengine na wanasheria kadhaa wa nchi ya Zanzibar pamoja na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Othman Masoud wamesema ni kinyume cha sheria.
Pia kumekuwa na madai makubwa ya utesaji yanaendelea katika sehemu wanazoshikiliwa washtakiwa hao lakini si Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar, si taasisi za haki za binaadamu na wala si ofisi za kibalozi zilizotoa katazo au kemeo la vitendo hivyo vya utesaji, ambavyo vinakiuka haki za wafungwa au watu wanaozuiliwa rasmi.
Makala hii haikusudii kuhoji nafasi ya Serikali kulinda raia wake na kuhakikisha kuwa usalama upo kwa raia, wageni na mali zao, lakini hatujizuwii wala tusizuiliwe kuhoji juu ya namna hatua hizo zinavyochukuliwa, migongano katika kauli za viongozi na pia maamuzi yanayofanywa ambayo hayana tija.
Kauli ya  Bilal kwa kweli inatisha na inatufanya wengine tuamini kuwa yeye kama kiongozi wa kitaifa ana taarifa za kutosha za kuweza kufananisha UAMSHO na makudi makubwa na sugu yajulikanayo kuwa ni ya kigaidi. Na ndipo ninapojiuliza iwapo hali imefikia hivyo ni kwa nini usajili wa UAMSHO usifutwe tukaelewa kuwa haipo tena kisheria...?? Na kama hali haipo hivyo jee huku si kuiweka nchi ya Tanganyika na nchi ya pabaya kwenye macho ya dunia.....??
Viongozi wa nchi ya Zanzibar hivi karibuni walitoa amri ya kupachua bendera za UAMSHO huko Mkoa wa Kaskazini, Unguja ambako ndiko zilikotanda na kukubalika sana. Siku chache baada ya kauli ya Balozi Seif Ali Idd ndipo Mkuu wa Mkoa Juma Kassim Tindwa akaendesha operesheni ya kuzipachua bendera za UAMSHO, tabaan kwa kutumia vyombo vya ulinzi.
Ingawa hilo si ajabu kwa nchi ya Zanzibar, baada bendera za CUF zilikuwa zikipachuliwa kwa staili hiyo hiyo, lakini mtu aweza kujiuliza uhalali wa hatua ya SMZ dhidi ya taasisi ambayo bado ina usajili halali wa kufanya kazi ikiwa ni pamoja na kueneza fikra zake na kutumia nembo na alama zake na UAMSHO ikiwa pia huko nyuma kupatiwa hata kibali cha kuwa Muangalizi wa Uchaguzi.
Kuna busara yoyote kuzipachua bendera hizo kwa nguvu....?? SMZ inadhani kuzipachua bendera hizo kutazuia kuungwa mkono UAMSHO....?? Jee kupachua bendera hizo kutazuia kazi ya kuhamasisha watu kuujuburi muundo wa Muungano ambao wanaona haona faida yoyote kwa nchi ya  Zanzibar....?? Na jee kutawafanya wananchi waichukukie na kuitosa jumuia hiyo?
Na kauli ya  Shein Raisi wa maskani ya Kisonge huko Pemba kuwa yeye asilaumiwe kwa kunyakuliwa viongozi wa UAMSHO na kushtakiwa nchi ya Tanganyika itasaidiaje katika suala hili....?? Itawasaidia kuwatoa watu kwenye mahaba ya UAMSHO na kuwakurubisha kwa Serikali...?? Itawaondosha imani yao kwa viongozi wao wa kidini...?? Itamfutia lawama  Shein hasa kwa jinsi watu wanavyosikia viongozi wao wakiteswa na kukashifiwa....??
Jee kauli na vitendo vya kuitenga UAMSHO havitakuwa na athari ya kuisukuma kwenda mafichoni na kufanya kazi chini kwa chini.....?? Bila ya kutoa maoni kuhusu mashtaka yalio mahakamani, ni imani ya watu wengi kuwa viongozi wa UAMSHO wako mashitakani zaidi kwa sababu ya misimamo yao ya kuukataa Muungano Feki, na wanaoamini hivyo huna vya kuwabadilisha.
Fikra zangu suala hili linataka umakini zaidi maana binaadamu husukumwa kuenda katika mawazo hasi kadri anavyotendewa visivyo, kukosa haki, kukosa nafasi na kukosa sauti. Bado tuna wakati wa kutafakari kwa sababu ukweli ni kuwa UAMSHO iko katika nyoyo za Wazanzibari wengi.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Wednesday, November 12, 2014

MAANDAMANO YA KUITAKA SMZ IWARUDISHE VIONGOZI WA KIISLAMU ZANZIBAR


Ndugu Wazanzibari kwa heshima kubwa na taadhima tunapenda kutumia fursa tulionayo kikatiba kuwasilisha malalamiko yetu kwa Viongozi wa SMZ kwa njia ya Maandamano.
Maandamano hayo yatafanyika mara tu baada ya sala ya Ijumaa. Maandamano yatakuwa kwa njia ya amani na tusingelipenda kumuona mtu yeyote yule kuchukua silaha ya aina yoyote au hata bakora.
Tunatumia fursa hio ikiwa ni haki yetu kikatiba na pia tunaumwa na matendo wanayofanyiwa Binaadamu wenzetu Wazanzibar wenzetu bila ya kujali dini zao.
Ikumbukwe pia kukaa kimya ni udhaifu na nikuonesha tunaridhia hayo wanayofanyiwa na njia pekee ya kuonesha tunakerwa na hilo ni kuilazimisha serikali iwarudishe haraka Zanzibar na wawashitaki Zanzibar kama vile wanavyoshatakiwa watuhumiwa wa ugaidi waliokamatwa Arusha ambao na wao wanashtakiwa hukohuko Arusha na sio Zanzibar au Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia misikitini na kuongozwa na masheikh baada ya sala ya Ijumaa na kumalizikia Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha malalamiko hayo. Maandamano hayatamilizika hadi pale ambapo viongozi husika waliobeba dhima ya kuilinda na kuwalinda Wazanzibar watakapotoa jibu ni lini Viongozi hao waliokamatwa watarudishwa Zanzibar.
Hili ni wajibu wetu sote Kwa kusimama mbele ya muonevu(dhaalimu) kadri ya uwezo wetu na kumsapoti(ALIYEONEWA) iwe kwa uhai,pesa au dua mpaka arudishiwe haki yake . Kuna malipo makubwa katika hili. Mtume(saw) amesema :”Allah humsaidia mja wake madamu tu mja (huyu) humsaidia ndugu yake muislamu”.(MUSLIM).
Pia Mtume(saw) amesema, “Muislamu ni ndugu wa muislamu mwenzake, hivyo asimuonee(asimdhulumu), wala asimkamatishe(asimkabizishe) kwa muonevu(dhaalimu).Yeyote mwenye kumtimizia (kumtatulia) mahitaji ya ndugu yake (muislamu), Allah atamtimizia (atamtatulia) mahitaji yake.
Na yeyote mwenye kumuondolea yasiyomridhisha(matatizo,ugumu,shida nk) ndugu yake (muislamu), Allah atamuondolea yasiyomridhisha(adhabu nk) siku ya kufufuliwa,na yeyote mwenye kumsitiri muislamu,Allah atamsitiri siku ya kufufuliwa.”. Hivyo tuwasaidie na ndugu zetu waislamu waliodhulumiwa kwa kuwalinda wao,haki zao na heshima zao.
Tunashauriana na Wanasheria kama kuna ulazima wa kupata kibali.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Monday, November 10, 2014

SHEIN KIDAMPA AENDELE KULIPIGIA DEBE BOOK LA UBATIZO LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NCHINI ZANZIBAR MARA HII PEMBE


Rais wa Maskani ya Kisong, Ali Mohamed Shein amesema ndoto za wapinzani kutaka kuvunja Muungano kwa kutumia visingizio vya Zanzibar kuwa na mamlaka kamili, hazitofanikiwa na kuwataka kusahau mpango huo. Akizungumza na wananchi wa mikoa miwili katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba jana, alisema Serikali anayoiongoza yeye inafuata makubaliano ya Hati za Muungano ya mwaka 1964.
Katika mkutano huo alijaribu kutumia kufafanua atii mafanikio ya miaka minne ya kuwepo madarakani na Katiba Inayopendekeza aliyopewa na wa Wakoloni Weusi Tanganyika, Shein alisema makubaliano hayo yanahusu muundo wa Muungano wa serikali mbili. “Wapo watu wanadai Zanzibar kuwa na mamlaka kamili…huwezi kuwa na mamlaka kamili kwa mujibu wa Hati ya Muungano ya mwaka 1964…kufanya hivyo ni kuvunja Muungano,” alisema. huku akiendelea Kusema, kwa bahati mbaya, wapinzani wamekuwa wakitumia nafasi ya kupotosha wananchi wa Pemba, hata kwa mambo yenye maslahi ambayo yamelenga kuimarisha uchumi na kukuza maendeleo.((wewe acha upumbavu maendeleo maendeleo gani miaka 50 nchi inanuka nani anawpotosha wanachi kama sio wewe kibushuti..?? ))
Akiendelea kusema Shein “Mimi nashangaa sana hawa wapinzani, walikimbia katika mchakato wa Katiba na sasa wapo vichochoroni wakifanya kazi ya kupotosha ukweli uliopo,” alisema.Kwa mfano alisema kwa bahati mbaya, anasikitika kuwa baadhi ya mawaziri wake, wamekuwa wakiongoza kwa upotoshaji wa hali ya juu kwa mambo ambayo wanafahamu ukweli wake.((Tuambeye basi mambo gani...?? naona unajiuma uma tuu kila mkutano )) “Nasikitika sana wananchi… wapo baadhi ya viongozi katika Serikali ninayoiongoza ni vigeugeu wa hali ya juu, sijui kwa nini jamani,” alisema  Shein kwa masikitiko. Akifafanua, alisema wapo waliotaka muundo wa Muungano wa Mkataba, ambao umekataliwa kwa sababu hauna maslahi na unaweza kuvunja Muungano wa serikali mbili.((umekataliwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika wanao kutuma wewe kibaraka wao sio Wazanzibari))
Alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwa mujibu wa sheria ikiwa na mihimili yake yote mitatu, ikiwemo Rais, Mahakama na Baraza la kutunga Sheria. “Sasa huyu anayesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haina mamlaka nani....?? Utakuwaje Rais wa Zanzibar kama huna mamlaka ya nchi....?” alihoji.(( kama unayo mbona Wazanzibari wamekuja kuchukuliwa usiku wa manane na kupelekwa kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika na wewe hata kwii kwii hujasema UMEUFYATA. )) Aliwataka wananchi wa Pemba, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani katiba hiyo ndiyo mkombozi kwa wananchi wa Zanzibar, itakayoimarisha umoja na utulivu na kuleta maendeleo ya wananchi wote. ((labda maendeleo ya kufungwa jela))
Dk Shein alisema kisiwa cha Pemba sasa kimebadilika kwa kiwango kikubwa, kutokana na mabadiliko yanayoletwa siku hadisiku, ikiwemo kuimarishwa kwa miundo mbinu na nishati ya umeme. “CCM ndiyo chama kinachozingatia maendeleo na kuleta mabadiliko ya wananchi wa Unguja na Pemba ambapo hata washiriki wa maendeleo wanatupongeza kila siku,” alisema. ((Miaka 50 mpaka leo maji tabu umeme tabu unasema nini wewe Miaka 50) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba, Hamad Bakari Mshindo, alisema wananchi wa Pemba wapo tayari kupigia kura Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika. “Nawaomba Wapemba wenzangu, msikubali kupotoshwa na kudanganywa na wapinzani wanaosema kwamba Katiba Inayopendekezwa haina maslahi kwa wananchi wa Zanziba…si kweli,” alisema. Alisema Katiba Inayopendekezwa imetoa fursa kubwa kwa wananchi wa Zanzibar na kufaidika katika maeneo mbali mbali ikiwemo ardhi, elimu na mambo ya uchumi.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

WAZANZIBARI WAZIDI KUJUWA NA KUFAHAMU KUWA CCM SIO CHAMA CHA WAZANZIBARI BALI NI CHAMA CHA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KIPO KWA JILI YA KUUWANGAMIZA WAZANZIBARI

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama wa Baraza za CUF katika kijiji cha Kinyasini Kaskazini Unguja jana.
Makamo wa Raisi wa nchi ya Zanzibar na Katibu Mkuu wa chama cha  CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama wa Baraza za CUF katika kijiji cha Kinyasini Kaskazini Unguja jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad amesema amesikitishwa na hali ngumu inayowakabili wananchi wa kijiji cha Kiomba Mvua katika jimbo la Kitope kushindwa kufanya shughuli zao za kujiletea maendeleo kikamilifu, baada ya sehemu kubwa ya eneo lao kupewa mwekezaji ambaye amewawekea masharti magumu wananchi hao. Maalim Seif Shariff amesema hayo jana wakati alipotembelea Shehia hiyo, iliyopo katika jimbo la Kitope, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja nchini Zanzibar na kupokea malalamiko mengi ya wananchi wa eneo hilo wanayofanyiwa na mwekezaji.
Wana kijiji wamemweleza Makamu wa Kwanza wa Rais kuwa hivi sasa wanashindwa kufanya shughuli zao za uvuvi, kilimo na uanikaji wa madagaa kutokana na vikwazo vya mwekezaji anayeshirikiana na baadhi ya viongozi Serikalini ya SMZ. Makamu wa Kwanza wa Rais amesema kwa nchi inayofuata Utawala Bora kama Zanzibar, migogoro ya aina hiyo ingeweza kuepukwa iwapo busara zingetumika kwa kuwakutanisha wawekezaji na wananchi, kabla ya eneo hilo kutolewa kwa uwekezaji Maalim Seif amesema azma ya kukaribishwa wawekezaji vitegauchumi hapa Zanzibar haikuwa kuleta vilio na masikitiko kwa wananchi, bali ni kuwawezesha wananchi hao pamoja na Serikali wanufaike na ajira ili waweze kupiga hatua kubwa zaidi katika kujikwamua na umasikini.
Amesema wananchi ndio wenye haki na matumizi ya maliasili na rasilimali katika maeneo yao, ikiwemo ardhi na bahari , hivyo ni lazima washirikishwe kikamilifu katika maamuzi yoyote yale yanayohusu matumizi yake. Awali katika risala yao kwa Makamu wa Kwanza wa Rais, wanakijiji hao walisema mwekezaji aliyepewa eneo hilo ambaye wanadhani anataka kufanya shughuli za Utalii, amewazuia wana kijiji kutumia bandari yao ya asili eneo la Nyanjale na sasa wanalazimika kuzunguuka hadi kijiji jirani cha Fujoni wanapotaka kwenda baharini. Sheha Mstaafu wa Shehia ya Kiomba Mvua, Mwinyishaa Sheha Abdallah amesema hivi sasa wana kijiji hao wanaishi katika hali ngumu katika nchi yao, baada ya mwekezaji huyo kuweka uzio na vizuizi na kuwapiga marufuku wasitumie eneo la bahari na ardhi kwa kilimo.
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Sheha mstaafu wa Kiomba Mvua, Mwinshaa Sheha Abdallah kabla ya kumkabidhi rasmi kadi ya CUF.Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Sheha mstaafu wa Kiomba Mvua, Mwinshaa Sheha Abdallah kabla ya kumkabidhi rasmi kadi ya CUF.
“Tumelalamika sana kwa viongozi wetu, lakini kubwa lililofanyika walituletea askari na wananchi wengine waliwekwa ndani”, alisema Sheha huyo Mstaafu.Amesema kuwa kitendo hicho kimewavunja moyo sana wananchi wa Kiomba Mvua na kimewafanya wengi wao wahisi kuwa hawathaminiki na hivyo kuchukua maamuzi ya kujiunga na chama cha upinzani cha CUF, ambacho alisema wana matumaini kuwa viongozi wake wamedhamiria kuwatetea wananchi wa Zanzibar na kuwaondoa katika manyanyaso.Naye, Bi Rabani Ali Hassan akizungumza kwa uchungu alisema akinamama wa kijiji hicho ambao ndio wanaotoa mchango mkubwa wa kuendesha familia zao, ikiwemo kuwasomesha watoto, hivi sasa hawana la kufanya baada ya kuzuwiwa kwenda katika eneo la baharini ambako walikuwa wakifanya shughuli za upishi na uanikaji wa madagaa.
Alisema hata vijana wengi ambao zamani walikuwa wakijishughulisha na kazi hizo hawana kazi tena na kuna hatari kubwa kwa vijana hao kujiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya kutokana na kukosa shughuli za kujipatia rizki walizokuwa wakizifanya. Katika hafla hiyo, Maalim Seif ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF aliwapokea wanachama 155 waliojiunga na CUF wengi wao kutoka chama cha  CCM cha Mkoloni Mweusi Tanganyika kilicho letwa ndani ya nchi yao ya Zanzibar ili kiwanyonyo na kuwangamiza wazaliwa wa nchi hii ya Zanzibar,pia akiwemo Sheha Mstaafu, Mwinshaa Sheha Abdallah ambaye amejiunga na CUF pamoja na familia zake.Shehia ya Kiomba Mvua ipo katika jimbo la Kitope, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja nchini Zanzibar, jimbo ambalo Mbunge wake ni Balozi ndogo wa nchi ya Tanganyika kwa Mkoloni mweusi, Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wake ni Mhe. Makame Mshimba Mbarouk.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Friday, November 7, 2014

SHEIN KAMA WEWE KWELI NI MSEMAJI WA WANANCHI WA ZANZIBAR WOTE BASI WASEME WAZANZIBARI WALIO CHUKULIWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA USIKU NA KUFUNGWA JELA YA NCHI YA TANGANYIKA WAREJESHWA HARA NCHINI ZANZIBAR UKIUFYATA BASI WEWE NI KIDAMPA TU WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.

tapatalk_1415268423908
Raisi wa Maskani ya Kisonge, Dk Ali Mohamed Shein amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuacha kutumia vibaya mchakato wa Katiba Inayopendekezwa kwa lengo ya kuwagawa wananchi na kutishia amani na utulivu uliopo nchini.Lakini pia ameelezea kukerwa na kuchoshwa na atii na matusi yanayojitokeza katika kipindi hiki kutoka kwa baadhi ya viongozi, huku akisema atawachukulia hatua za kisheria na za kinidhamu bila kujali wana nyadhifa gani. Aliyasema hayo jana katika ukumbi wa Grand Palace,nchini Zanzibar wakati akizungumza na wananchi na viongozi wa CCM katika maadhimisho ya miaka minne ya kuwepo madarakani tangu aliposhindwa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 na kupewa kwa mabavu ya guvu za Mkoloni Mweusi Tanganyika.


“Nitawachukulia hatua za kisheria na kinidhamu viongozi wanaotumia vibaya mchakato wa kupata Katiba mpya kwa kutoa kauli za chuki na kutukanana katika majukwaa… nitatumia Katiba na Sheria na sio ubabe kwa sababu sio kawaida yangu kufanya hivyo,”((ngoja tukulize Shein hivi ni katiba ipi inayo sema Wazanzibari washikwe usiku wa manane nakupelekwa jela za nchi ya Tanganyika kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika..? ni katiba ipi inayosema kuwa wewe ndiye msamaji wa Wazanzibari na sio Maalim Seif Sharrif Hamad..? ni katiba ipi iliyo sema muwalazimishe wazanzibari kubaki katika utumwa,utwana na kuwa nchi yao ni Koloni la Mkoloni Mweusi Tanganyika..? ni katiba ipi iliyosema wananchi wa Zanzibar wasiwe na uwezo wakujisemea wenyewe na wakijesemea basi waishiye jela za nchi ya Tanganyika kwa Mkoloni Mweusi..? ni katiba ipi iliyosema kila jambo la nchi ya watu wa Zanzibar liamuliwe Giningi Dodoma..? ni katiba ipi ilosema kuwa raisi hata kama hakuchanguliwa na wananchi basi apige magoto kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika ili apewa uraisi kwa nguvu za Kijeshi..? ni katiba ipi ilosema kuwa wazanzibari walazimishwe kuikubali katiba ya Mkoloni Mweusi Tanganyika na wakati huo huo katiba ya nchi yao imezwe na kubadilishwa na kufanyiwa ukiritibwa..? Shein ni katiba ipi ilosema wazanzibari washikwa na kupelekwa nchi ya Tanganyika wakalawitiwe na kupigwa mpaka wengine imebidi wakatwa miguu..? N.K.))   Alisema kumeanza kujitokeza viashiria vya kuanza kuvuruga amani na utulivu iliyopo sasa kwa kisingizio cha mchakato wa rasimu ya Katiba Inayopendekezwa hivi sasa.

Alisema Katiba Inayopendekezwa ni mkombozi kwa wananchi wa Zanzibar kwa sababu imejibu hoja za malalamiko na kero za Muungano ambazo awali zilikuwa zikilalamikiwa na wananchi ikiwemo wanasiasa.(hahahahahaahhaha bora nicheke maana huyu anaonyesha hata hajuwi Wazanzibari wanataka nini)
Akifafanua, alisema kwa muda mrefu wananchi wa Zanzibar walikuwa na malalamiko mengi katika Muungano ambayo kwa bahati nzuri katika Katiba Inayopendekezwa yamepatiwa jawabu sahihi.
Kwa mfano alisema si kweli kwamba Muungano uliopo sasa umeimeza Zanzibar na haitambuliwi katika jumuiya za kimataifa.((swali tunakuliza kama tunatabuliwa mbona hatuombi misaada wenyewe..?mbona bendera yetu haipepei U.N. mbona hatuna paspoti zetu zinazo onyesha kuwa sisi ni Wazanzibari,Mbona hatuna sarafu yetu N.K). Ameelezea kushangazwa na tabia ya vyama vya upinzani kususia mchakato wa Katiba wakati ndio waliokuwa mstari wa mbele kulilia uwepo wa Katiba mpya. Aidha, ameelezea kushangazwa na msimamo wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya  Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuikataa Katiba Inayopendekezwa, ilhali mambo anayoyalilia yamo katika katiba hiyo.((hebu shein tuambia ni mambo yapi anayo yalilia Maalim Seif Sharrif Hamad ambayo yapo katika katiba hii ya CCM..??))
Alisema Katiba Inayopendekezwa imetoa fursa kubwa kwa Zanzibar kufanya mambo yao kwa mapana zaidi ikiwa katika Jamhuri ya Muungano wa (Tanzania) au wa Mkoloni Mweusi Tanganyika...?? ((kama yapi mbona huyasema basi hayo mambo wananchi wakakusikia..?)) Alisema Katiba Inayopendekezwa ni kwa maslahi ya (Watanzania) au (wana CCM na Wake zao na Mahawara wao na Watoto wao..?) ambayo imezingatia mambo yote muhimu ikiwemo kwa upande wa Zanzibar. Alisema: “Nimesikitishwa sana mwenzangu, Makamu wangu wa Kwanza wa Rais amekuwa akisisitiza kutungwa kwa sera za nishati na mafuta kwa ajili ya kujitayarisha kuchimba mafuta, lakini yeye Katiba Inayopendekezwa haikubali.” Akifafanua zaidi alisema Baraza la Wawakilishi ndiyo lililopitisha azimio la kutaka nishati ya mafuta na gesi kuondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano. Aidha, alimtaka Maalim Seif kuacha kuwashawishi wananchi wa Zanzibar kuikataa Katiba Inayopendekezwa akisema yeye sio msemaji wa wananchi wa Zanzibar.
NAMNUKU SHEIN...alimtaka Maalim Seif kuacha kuwashawishi wananchi wa Zanzibar kuikataa Katiba Inayopendekezwa akisema yeye sio msemaji wa wananchi wa Zanzibar.NAENDELEA KUMNUKU SHEIN....“Msemaji wa wananchi wa Zanzibar wote ni mimi na sio yeye MWISHO WA KUMNUKU SHEIN.  JE SHEIN HAWA KWENYE HIZI PICH MBILI HAPA CHINI SIO WAZANZIBARI HAWA.....??? MBONA HUWASEMEI......???
Msemaji wa wananchi wa Zanzibar wote ni mimi na sio yeye…nawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya kuipitisha Katiba mpya Inayopendekezwa,” alisema. Alisema Katiba Inayopendekezwa imezingatia mambo yote ambayo wananchi wa Zanzibar wametaka kuzingatiwa na kusisitizwa ikiwemo mafuta na gesi. Alisisitiza na kusema Katiba Inayopendekezwa imezingatia na kuuenzi Muungano wa Tanganyika wa Zanzibar pamoja na Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 ambayo yameasisiwa na viongozi wakuu wa nchi mbili hizo. Aidha, Dk Shein amesema amekubaliana na kuridhishwa na Katiba Inayopendekezwa ambayo imetoa kipaumbele kwa Zanzibar kupiga hatua kubwa ya maendeleo.Alisema mambo yaliyobakia katika Muungano ni muhimu sana ikiwemo ulinzi na mambo ya elimu ya juu ambayo yatasaidia kuwawezesha vijana kupata elimu ya juu kwa kutumia bodi mbili za elimu.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Saturday, November 1, 2014

WAZANZIBARI NI TUAMUWE ILI TUWAPE SOMO WAHAFIDHINA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HATUTAKI KATIBA WALA KURA YA MAONI WAZANZIBARI TUNATA NCHI YETU TU


MAGARI YA MAWAZIRI NA WABUNGE PIGA MOTO NAWAO WATEMBE KWA MIGUU KAMA RAI  BURKINA FASO

MPAKA KIELEWEKE

HOTELI WANAYO STAREHE MAWAZIRI NA WABUNGE NA WAKE ZAO NA KUKARIBISHA WAZUNGU ILI WATAJIRIKE ZAIDI VIJANA WA  BURKINA FASO WAMECHUKUWA IKO CHINI YA AMRI YAO SIO WABUNGE WALA MAWAZIRI
HAKUNA SILAHA NZURI KAMA SILAHA ZA M.MUNGU MAWE

HAKUNA SILAHA NZURI KAMA SILAHA ZA M.MUNGU MAWE

NCHI KWANZA  BURKINA FASO KWANZA NCHI KWANZA BURKINA FASO KWANZA

PIGA MOTO

PIGA MOTO NYUMBA ZOTE ZA WABUNGE NA WAWAKILISHI ILI NAWAO WAONE NA KUJUWA UBAYA WA KUTO KUWA NACHO SIO MASIHARA

HATA MIKO NA UPAWA PIA NI SILAHA TOSHA KINA MAMA WA  BURKINA FASO WANAWAFUNDISHA

MOJA KATIKA MAGARI YA SEREKALI VIJANA WAKITANAU NALO DANI YA TOWN HUKO NCHINI   BURKINA FASO

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.