MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Mohamed Omar Mkwawa mmoja wa wanamapinduzi wa Zanzibar aliyekuwa na kazi ya kuvusha wakata mkonge kutoka mashamba ya mkonge ya Kipumbwi na Sakura kuingia Zanzibar kuiangusha serikali ya Mohamed Shamte akiwa amekishikilia kitabu, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''
Tundu Lissu aliposimama katika Bunge la Katiba na bila ya kutafuna maneno akataka serikali ieleze kifo cha Abdallah Kassim Hanga na wanamapinduzi wengine, ukumbi mzima ulizizima.
Ukumbi ulizizima si kwa kuwa haikuwa ikijulikana kuwa Kassim Hanga aliuawa. la hasha.
Ukumbi ulilizizima kwa kuwa siku zote watu wakimuona mfalme akitembea uchi lakini hakuna aliyekuwa na ujasiri wa kumueleza mfalme kuwa yuko uchi na arejee nyumbani kwake akavae.
Tundu Lissu alikuwa kayasema hayo ya kuuwawa kwa Hanga huku amekishika kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, '' kama ushahidi wa yale aliyolkuwa akiyaeleza pale Bungeni.
Baada ya Tundu Lissu kusema hayo wengi waliingiwa na hamu na shauku ya kutaka kujua khasa nini kilitokea katika historia ile hadi Hanga na wenzake wakakamatwa na kuuliwa.
Kwa bahati mbaya kitabu hakikuwa madukani.
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' sasa kinapatikana duka la vitabu Ibn Hazim Media Centre, Msikiti wa Mtoro, Kariakoo.
Ndugu msomaji kipate kitabu hicho usome historia ya kweli ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Siku Nyerere Alipomuadhiri Hanga Viwanja Vya Mnazi Mmoja Mbele ya Kibarua Bar Nyuma ya Ukumbi wa Arnatouglo Hanga Alitolewa Jela Ukonga Kuletwa Pale Makhsusi kwa Shughuli Hiyo Baada ya Siku Hii Hanga Hakuoenekana Tena
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
SHEIN UMEUFYATA ACHA UNAFIKI HII SI MOJA YA MASKANI YAKO INAENEZA UBAGUZI KILA KUKICHA MBONA HUIKEMEI...?
Rais wa Maskani ya Kisonge, Shein, ameitahadharisha jamii juu ya vitendo vya ubaguzi, bugudha na manyanyaso kwa misingi ya kisiasa na kueleza kuwa vinaiangamiza jamii.Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Maziwang’ombe, wilaya ya Micheweni, mkoa Kaskazini Pemba jana, Shein alisema wananchi ni lazima wazingatie sheria ya kuanzishwa vyama vingi, ambayo inaeleza wazi kuwa kila mwananchi ana haki na uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa na kushiriki siasa bila kubaguliwa.“Tusiwarithishe chuki wala ugomvi watoto wetu kwani tukiendelea kufanya hivyo tutakuwa tunaiangamiza jamii yetu ambayo tangu mapinduzi ya mwaka 1964 ilikuwa ikiishi kwa amani na upendo,” alisema Shein.
Aliwaeleza wananchi hao kuwa tofauti za itikadi za kisiasa isiwe kisingizio cha kufanyiana chuki, kubaguana na kubugudhiana au kutengana, kwani watu wote ni ndugu na wanahitaji kuishi pamoja kwa upendo na kusaidiana.“Mzazi atabaki kuwa mzazi, mtoto atabaki kuwa mtoto, ndugu atabaki kuwa ndugu; inakuwaje tunafanyiana visa na kuhasimiana kwa kuwa tu mwenzetu mmoja ametoka chama hiki kwenda chama kingine?” aliuliza Shein. Shein alifika kijijini hapo kukabidhi boti na mashine ya kisasa yenye injini ya uwezo wa nguvufarasi 40 kwa kikundi cha Heri ya Moyo Mmoja kinachoundwa na vijana waliohama chama cha CUF na kujiunga na CCM.Vijana hao walifanyiwa visa vya kunyimwa huduma muhimu na hata kuondolewa katika kazi za pamoja ikiwamo kutengwa katika shughuli za ushirika ndani ya kijiji hicho.Katika mkutano huo uliohudhuriwa na mamia ya wananchi wa kijiji hicho na vijiji vya jirani, Shein aliwakumbusha wananchi kuzingatia historia yao na kuwahimiza kudumisha amani na utulivu na kuwaonya kutoshiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kuwa vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama havitawavumilia. MIAKA MINNE MAENDELEO YAKO UNAWALETEA BOTI NA MASHINE AMA KWELI MFA MAJI HAWEZI KUACHA KUTAPATAPA MASHINE MOJA BOTI KIJIJI KIZIMA NYINYI MNAONA WATU WAPUMBAVU KWELI HEBU JIULIZE HUWO UMMA ULIO KUZUNGU BOTI MOJA MASHINE MOJA ITAWASAIDI VIPI....? YUPI ATAKWENDA BAHARI NA YUPI ATABAKI NYUMBA ...? WAPUMBAVU WAKUBWA VIONGOZI MUSIO JUWA NDEE WALA SHIKIO MUSIO JUWA MBELE WALA NYUMA MUPO MUPO TU NA MAENDELEO YA MDOMO MIAKA 50 NDIO MUNAWALETE MASHINE YA BOTI......???? AHAA KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
SIKU HII SHEIN HUTAISAHAU MAISHA YAKO YOTE UTAKAYO JALIWA KUISHI NI SIKU ULIO SHINDWA UCHAGUZI SIKU AMBAYO HUKUAMINI KAMA WAZANZIBARI HAWAKUTAKA UWE RAIS WAO SIKU WAZANZIBARI WALIO KUONYESHA KUWA WEWE HUFAI KUWA RAIS NA SIO RAIS LAKINI NIKOBE WEWE UKAPANDISHWA MTI
MAALIM SEIF NA MZEE MOYO WAZANZIBARI WANAWAHESHIMU ILA 2015 MUKIJIDAI TENA UPUMBAVU WA HEWALA BWANA MUJUWE MUMEKWISHA
MGOMBEA wa urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi cha Chama Cha (CCM) Mkoloni Mweusi Tanganyika Shein amesema ikiwa atapata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuongoza serikali atahakikisha huduma za jamii zinaiimarika zaidi hasa katika katika vijiji vya Unguja na Pemba. Shein alitoa ahadi hiyo jana wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano uliofanyika kwenye uwanjwa wa Shule ya Nungwi Mkoa Kaskazini Unguja.Mgombea huyo wa urais aliwaeleza wananchi kwamba ahadi ni deni na kwamba CCM imeamua kuanisha ahadi zake katika ilani yake ikiamini ina uhakika wa kuzitekeleza kwani CCM ndio chama chenye kuwaletea wananchi wake maendeleo kwa muda mrefu.(miaka 50 sasa nchi dogo imewashida inanuka)
Akitataja mambo ambayo wananchi watanufaika nayo iwapo wataichagua CCM kuingia ikulu ni pamoja na usambazaji wa maji safi na salama,(yagujuu miaka minne sasa uko uko tu namaji bado hayatoki) upelekaji wa umeme(umeme mawe labda jideni mulilo tubebesha la Wakoloni Weusi Tanganyika ili lituwe lakini umeme hatuna wakizima tumekwisha ndio umeme huo..?) na utengenezaji wa miundombinu ya bararabara.(hahahahaha bora nicheke barabara)Alisema mambo hayo ni masuala yatakayopewa kipaumbele ili kuinua uchumi imara kwa nchi na watu wake hasa katika vijiji vyenye kuhitaji huduma hiyo muhimu ambayo kila mwananchi analazimika kupata kwa wakati. Shein aliahidi kuwa chini ya serikali yake itaijenga bandari ya Mkokotoni ili kukuza uchumi wa watu na kuboresha vipato vyao ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji kuwekeza miradi mikubwa ya kimaendeleo.(tumeiona bandari ya mkokotoni pia umejenga daraja nungwi mpaka tubatu pia umejenga trani ze chini ya bahari mpaka mkoani pemba au sio shein...?)
Alisema wananchi wengi wa ukanda wa pwani wanategemea kilimo na uvuvi hivyo serikali yake itawatizama wananchi hao kwa kuwawezesha kupata masoko ya kuuzia samaki wao ambao kwa wakati huu hakuna kiwanda cha kuzindikizia samaki lakini chini ya uongozi wake watazingatia masuala hayo ya kuwawezesha wavuvi.(sihaba shein kiwanda cha kuzindikia samaki umekijenga kipo pale muembe makumbi na sasa nchi zote za ulaya na marekani na canada na ustralia wananunuwa samaki kwetu sihaba) Shein ambaye ni mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) amewaahidi wananchi wa kijiji hicho kwamba serikali itakayoundwa chini ya uongozi wake itafuata sheria na kuekeleza ilani ya chama hicho ambayo lengo ni kuwaletea wananchi wa Unguja na Pemba maendeleo.(miaka minne tu sasa Zanzibar imebadilika utafikiri uko dubai au hong kong) Alisema wananchi wategemee maendeleo ambayo ni endelevu kwa kuwa sera za chama chake ni kuleta maendeleo na maendeleo ikiwa pamoja na huduma za kijamii kwa wananchi wote bila ya kujali dini, kabila au rangi.(hahahahha bora nicheke hahahahaha)
Shein aliwataka wananchi kumpigia kura ifikapo Octoba 31(hawakukupigia mbona ukangangania na mpaka leo bado umo unajidanganya) chama cha mapinduzi kiendelee kuongoza na kusimamia misingi ya sheria ambapo alisema chini ya serikali yake itafuata kanuni na sheria za nchi(je sheria zenyewe ni kuwapiga Wazanzibari msikiti wa mchangani,msikiti wa mahonda,msikiti wa donge,kuwafunga Masheikh jela hapa Zanzibar ulipo ona haitoshi ukawakamata na Wazanzibari wengine na kuwapeleka nchi ya Tanganyika na kulawitiwa,kutiwa chupa na majiti na vitendo vinginevyo vya kinyama na wewe unakula tu uluwa wako kisha siku ya ijuma atii allah akbari weeeee.) na hatosita kuwachukulia hatua watu ambao watarejesha nyuma maendeleo yaliofikiwa ya maridhiano.(wangapi wamesema serekali ya SUK ivunjwe umewafanya nini...?ofisi yako ya kisonge inawabaguwa wapemba na maneno ya kuvunja amani umewafanya nini...? )Aidha aliwaahidi wananchi wa kijiji hicho kwamba ataheshimu misingi ya sheria na kuendesha serikali kwa kuzingatia sheria huku akisisitiza kuendesha kampeni akitaka kipindi hiki kwa amani na utulivu na kuwataka wananchi kufuata nyayo hizo.“Sitombughudhi mtu, sitomatukana mtu na nitaendesha siasa za kistaarabu mwanzo hadi mwisho wa kampeni hizi na ninakuombeni wana CCM nyote mfuate utaratibu huu mzuri tuliouanza wa kuendesha kampeni kwa njia ya amani na ustaarabu wa hali ya juu” alisisitiza Dk Shein.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
WANAMWITA WAZIRI MKUU KUMBE NI JAMBAZI KUU MR MASULTANI WEEE ZANZIBAR SI NCHI WEEE HATOKI OMAN SIKU HIZI.WATANGANYIKA HUYU LAZIMA AJIUZULU TU MIPESA ALIYO IBAA SIO MCHEZO
SITTA,SABA,NANE,TI.......AUUUUU WAZANZIBARI WAMETUSHTUKIA JUU YA WIZI WETU DUUUH HUYU NDIO MKUU WA WAKUU ALIO HAKIKISHA WANACHEZA NGOMA NDANI YA BUNGE LA NCHI YA TANGANYIKA BAADA YA KUTUNGA KATIBA YA MAJAMBAZI WA WIZI WA PESA NA SIO KATIBA YA WANANCHI WATANGANYIKA HUYU AJIUZULU TU
WANAMWITA MWANASHERIA MKUU WA NCHI YA TANGANYIKA KUMBE NI MWANASHERIA MKUU WA MAJAMBAZI JINSI GANI WATAWAIBIA WAVUJA JASHO WA NCHI YA TANGANYIKA LAZIMA AJIUZULU TU
WANAMWITA SOSPETER MUHONGO WAZIRI WA NISHATI NA MADINI NCHINI TANGANYIKA KUMBE NDIO JAMBAZI KUU LA NISHATI NA MADINI MAANA HAYAWAFAI WANANCHI MADINI YOTE NA NISHATI ZOTE HAZIWAFAI WANANCHI WA TANGANYIKA ZIKO WAPI..? MPAKA SASA LIMEGUNDULIKA KUWA NI MOJA KATIKA HAYO MAJAMBAZI YALIO IBA YEYE ANAKULA MAPESA YAWIZI ANAWALISHA WANANCHI WA TANGANYIKA MIHOGO TU KAMA LILIVYO JINA LAKE MUHONGO BASI NI MUWONGO KWELI NA ANAWALISHA TU MIHOGO WATANGANYIKA MPAKA MKOME AJAUZULU TU.
RAISI WA MASKANI YA KISONGE NAYE PIA KAIPIGIA DEBE SANA KATIBA YA MAJAMBAZI NA KUTAKA KUIYUAWA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR MUSISAHAU KASABABISHA KIFO ALIYE ULIWA KATIKA UCHAGUZI WA BUBUBU,KISHA AKAWACHIA POLISI WAPIGE WATU MSIKITI WA MCHANGANI WAKATI WATU WALIKUWA WAKIOMBA DUWA BAADA YA DUNGU ZETU KUZAMA NA MELI ANASHEREHEKEA MASHEIKH KUFUNGWA JELA KATIKA NCHI YA TANGANYIKA KISHA ANASEMA MARAISI WA AFRIKA PIA HUPELEKWA JELA YA UHOLANZI WALE WALIUWA WATU JE MASHEIKH WAMEMUWA NANI..? WAZANZIBARI WALIOKUWEKO KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA WAMELAWITIWA,KUTIWA CHUPA NA MAJITI HUYU KIBUSHUTI HASEMI KITU KIMYA MWISHO KATULETEA KATIBA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANASEMA NI KATIBA NZURI MAANA TUMEPEWA MAFUTA MZEE MOYO ASHAMULIZA KWANI TULIUNGANA MAFUTA SISI..? HANA JIBU WAZANZIBARI NYOTE MUKAE MIKIJUWA KUWA HUYU NI DHALIM YOYOTE ATAKAE MPIGIA KURA HUYU AJUWE NA YEYE NI MOJA KATIKA WATAO ULIZWA SIKU YA KIYAMA ULIJUWA KUWA HUYU NI DHALIM KWANINI UKAMPIGIA KURA AZIDI KUKA MADARAKANI NA KUAENDELEZA UDHALIM WAKE TAFUTA JIBU KABISA LA KUMJIBU M.MUNGU SIKU HIYO.
M.MUNGU ATAWALIPIA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA NDIO KABISA
MASULTANI WEE MASULTANI WEE WATAKUJA KUICHUKUWA ZANZIBAR WEE MASULTANI WEE MINAFKI MKUBWA HAO HAO MUNAO WAITA MASULTANI HAMWISHI KUWAOMBA KISHA KWENYE MIKITANO YA CCM MASULTANI KINYOKO KINYOKOKE MASULTANI WATUTEKENYA WAKITUNYUKUWA.HUYU NDIO MOJA KATIKA HAO MADALALI WALOLETA KATIBA LA NCHI YA TANGANYIKA IJE KUIYUWA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPIGIA DEBE NA KUJIDAI INAFA UTAFIKIRI ZANZIBAR HAKUNA KATIBA ANAJUWA KAMA WAZANZIBARI WAKO KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA NA WAMENAJISIWA NA KUFANYIWA MAMBO YA KINYAMA ILA YEYE ANASHEREHEKEA NA KUFANYA MIZAHA KUWA WAZANZIBARI NA MASHEIKH TUMEWASHUHULIKIA NA SASA WAMEUFYATA HUYU NI AJIUZULU TU.
SAMIA SULUBU YUMO MBIONI KUTAKA TUSULUBIWE ZAIDI NA WATANGANYIKA HUYU NDIO MOJA KATIKA HAO MADALALI WALOLETA KATIBA LA NCHI YA TANGANYIKA IJE KUIYUWA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPIGIA DEBE NA KUJIDAI INAFA UTAFIKIRI ZANZIBAR HAKUNA KATIBA SI ANA WADHIFA KATIKA SEREKALI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANAJUWA KAMA WAZANZIBARI WAKO KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA NA WAMENAJISIWA NA KUFANYIWA MAMBO YA KINYAMA NI NINI KASEMA KUHUSU WAZANZIBARI WALIO NAJISIWA....? AJIUZULU TU.
VUAI ALI VUAI HUYU NDIO MOJA KATIKA HAO MADALALI WALOLETA KATIBA LA NCHI YA TANGANYIKA IJE KUIYUWA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPIGIA DEBE NA KUJIDAI INAFA UTAFIKIRI ZANZIBAR HAKUNA KATIBA ANAJUWA KAMA WAZANZIBARI WAKO KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA NA WAMENAJISIWA NA KUFANYIWA MAMBO YA KINYAMA NI NINI KASEMA KUHUSU WAZANZIBARI WALIO NAJISIWA....? AJIUZULU TU.
SHAMSI VUAI NAHODHA HUYU NDIO MOJA KATIKA HAO MADALALI WALOLETA KATIBA LA NCHI YA TANGANYIKA IJE KUIYUWA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIPIGIA DEBE NA KUJIDAI INAFA UTAFIKIRI ZANZIBAR HAKUNA KATIBA ANAJUWA KAMA WAZANZIBARI WAKO KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA NA WAMENAJISIWA NA KUFANYIWA MAMBO YA KINYAMA NI NINI KASEMA KUHUSU WAZANZIBARI WALIO NAJISIWA....? AJIUZULU TU.
SOTE TUNAJUWA KUWA NI KATIBA YA MAJAMBAZI KWA NINI TUPOTEZE MDA ATI KUPIGA KURA HAKUNA KUPIGA KURA WALA NINI NIKUWAMBIA WAZI HATUTAKI BASI NA HATA IKIWA NDIO ITAPIGIWA KURA BASI YOYOTE ATAKAE IPIGIA KURA YA YES KATIBA HII YA MAJAMBAZI BASI NA YEYE NI JAMBAZI AU ASHAZOWEA KUTAWALIWA NA MAJAMBAZI KAZI KWENU WATANGANYIKA NA WAZANZIBARI KWA UJUMLA MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Nchini Tanganyika Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtakasa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanaanyika, Sheikh Issa Ponda dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomtia hatiani katika kesi ya jinai iliyotokana na mgogoro wa ardhi wa Chang’ombe Markazi. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Agustine Shangwa baada ya kuridhika na hoja za rufani za Sheikh Ponda kupitia kwa Wakili wake, Juma Nassoro kupinga hukumu na hatia ya Mahakama ya Kisutu. Mbali na kumfutia hatia hiyo, pia Jaji Shangwa alimshauri Sheikh Ponda kufungua kesi ya madai dhidi ya Baraza Kuu la Waislamu Tanganyika (Bakwata), pamoja na Kampuni ya Agritanza Ltd iliyonunua eneo la Chang’ombe Markazi. Ponda alikata rufani mahakamani hapo akipinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomtia hatiani katika kesi ya jinai namba 245 ya mwaka 2012, iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake 49. Katika rufaa hiyo, Sheikh Ponda kupitia kwa wakili wake, Nassoro aliwasilisha jumla ya hoja sita za kupinga hukumu hiyo. Hoja hizo zilikuwa ni pamoja na ya kudai kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ilikosea kumtia hatiani kwa kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani kwa kosa hilo la kuingia kwa nguvu katika eneo hilo la mgogoro. Pia alidai kuwa mahakama ilikosea kumtia hatiani na kuwaachia huru washtakiwa wenzake. kwa kutumia ushahidhi huohuo, na kwamba kesi hiyo ilikuwa ikihusu mgogoro wa ardhi hivyo Polisi walipaswa kumshauri mlalamikaji akafungue kesi ya madai katika Mahakama ya Ardhi. Hata hivyo katika hukumu yake Jaji Shangwa alijikita katika hoja moja tu kama kulikuwa na ushahidi wa kutosho kumtia hatiani mrufani.
Akijibu hoja hiyo katika hukumu yake, Jaji Shangwa alikubaliana na Wakili wa mrufani kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani mrufani bila kuacha mashaka. Jaji Shangwa alisema kuwa hakuna ushahidi kuwa mrufani aliwashinda mkono au kuwahamaisha wale watu aliokuwa akishitakiwa nao kwenda katika eneo hilo, bali wale watu walikwenda pale wenyewe baada ya kutangaziwa katika misikiti yao kuwa kuna ujenzi wa msikiti wa muda katika eneo hilo. “Kama hakufanya hivyo utasema kuwa aliingia kwa nguvu..???? Nakubaliana na hoza za wakili wa mrufani, Nassoro kuwa hakuna ushahidi wa kutosha mahakama kumtia hatiani mrufani bila kuacha mashaka.”, alisema Jaji Shangwa. Alisema kuwa hata katika maelezo ya Onyo, ya baadhi ya waliokuwa wakishtakiwa pamoja, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa alipelekwa katika eneo hilo na Sheikh Ponda na kwamba walikwenda kwa utashi wao baada ya kutangaziwa kuwa kuna ujenzi wa msikiti. “Hivyo ninatengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilioyomtia hatiani kwa kosa la kuingia kwa nguvu katika eneo la Chang’ombe Markazi na kumwachia kwa masharti.”, alisema Jaji Shangwa. Hata hivyo licha ya kumfutia hatia hiyo Jaji Shangwa alimshauri Sheikh Ponda asiende kudai hilo eneo kwa njia nyingine isipokuwa kwa njia ya mahakama. Alisema kuwa hadi sasa kuna mkataba kuwa Bakwata waliiuzia Agritanza kwa Sh150 milioni pamoja na eneo lingine la hekari 40 Kisarawe.
Alisema kwa kuwa wanadai kuwa eneo hilo ni mali ya Waislam lililowekwa wakfu na hivyo halikustahili kuuzwa, basi washauriane na wakili wao ili wafungue kesi ya madai dhidi ya Agritanza na kuliunganisha Bakwata, kupinga kuuzwa kwa eneo hilo. Katika kesi ya msingi, Ponda na wenzake walikuwa wakikabiliwa atii mashtaka ya kula njama, wizi wa mali yenye thamani ya Sh 59.6 milioni na kuingia kijinai kwa nia ya kujimilikisha isivyo halali eneo la ardhi inayomilikiwa na Kampuni ya Agritanza Ltd. Ponda na mwenzake Mukadamu Swaleh kwa pamoja walikuwa wakikabiliwa na shtaka linguine zaidi, la uchochezi. Mahakama ya Kisutu katika hukumu yake iliyotolewa na Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, Mei 9, 2013, ilimtia hatiani Ponda peke yake kwa kosa la kuingia kijinai katika eneo la ardhi ya Agritanza Ltd, lakini ikawaachia huru washtakiwa wengine wote. Hata hivyo licha ya kumtia hatiani Ponda, mahakama hiyo ilimwachia huru kwa masharti ya kutokutenda kosa lolote katika kipindi cha miezi 12 (mwaka mmoja), chini ya kifungu ncha 25 (g) cha Sheria ya Kanuni za Adhabu (Penal Code- PC). Hata hivyo licha ya kushinda rufaa hiyo Sheikh Ponda alirudishwa mahabusu kutokana na kesi nyingine ya jinai inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, ambapo dhamana yake imefungwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Katika kesi hiyo jinai namba 128 ya mwaka 2013 Morogoro, Ponda anakabiliwa na mashtaka ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali mjini Morogoro na kukaidi amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kumtaka asifanye kosa lolote katika kipindi cha miezi 12. Kutokana na hukumu hiyo Wakili wake, Nassoro alisema sasa watawasilisha nakala ya hukumu hiyo katika Mahakama ya Morogoro na kuomba afutiwe shtaka hilo la kukaidi amri ya Mahakama ya Kisutu. KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
SIKU ZA MWIZI KWELI NI ARBAINI ATI WAZIRI MKUU YAGUJUUU JAMBAZI KUBWA WATANGANYIKA MPOOO AU BADO MELALA FOFOFO BURKI NA FASO WAMEFANYA KWELI KWA MIJITU YA AINA HII NYINYI MUNAWACHEKELEA TU
Giningi Dodoma. Hatimaye mtikisiko wa tano umetimia na nchi Tanganyika kutikiswa; ripoti ya Kamati ya Hesabu za Serikali ya Tanganyika (PAC) imependekeza kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mr Zanzibar si Nchi, Mwanasheria Mkuu, Waziri wa Nishati na Madini, naibu wake na katibu mkuu wa wizara hiyo wawajibishwe kutokana na kuhusika kwao kwenye sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow. Akaunti hiyo ilifunguliwa kwa ajili ya kutunza fedha za gharama za uwekezaji (capacity charge) baada ya kuibuka mzozo wa kimkataba baina ya Shirika la Umeme Tanganyika (Tanesco) na kampuni binafsi ya IPTL ambayo iliingia mkataba wa kufua umeme na kuliuzia nishati hiyo shirika hilo la umma. Ripoti hiyo ilisomwa jana Giningi Dodoma bungeni kwa kupokezana kati ya Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe na Makamu mwenyekiti, Deo Filikunjombe baada ya majadiliano marefu kwenye vikao vya ndani vya CCM na Kamati ya Uongozi wa Bunge na jitihada kubwa za kutaka isisomwe na kujadiliwa. Ripoti hiyo ilitokana na ukaguzi uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambayo ilianika ukiukwaji mkubwa wa taratibu wakati wa uchotaji wa fedha hizo pia mahojiano na mkurugenzi mkuu wa Takukuru na Mamlaka ya Mapato Tanganyika (TRA).
Waziri Pinda ametiwa hatiani na kamati hiyo kutokana na kujua kuwapo kwa ufisadi huo na kauli zake kuwa fedha hizo hazikuwa mali ya umma, wakati Mwanasheria Mkuu Jaji Frederick Werema ameonekana kutoishauri vizuri Serikali na pia kuagiza fedha hizo zitolewe kwenye akaunti hiyo, wakati Waziri Sospeter Muhongo hakuchukua hatua wakati akijua kuwapo kwa sakata hilo, huku naibu wake, Stephen Masele akitiwa hatiani kwa kulidanganya Bunge. Kamati pia imependekeza uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakimu Maswi utenguliwe kutokana na kuingia makubaliano ya kutoa fedha bila ya kujiridhisha kikamilifu kuhusu uamuzi wa hukumu ya mahakama ya Kituo cha Kimataifa cha Utatuzi wa Migogoro ya Kiuwekezaji (ICSID). Iwapo mjadala huo, unaotazamiwa kuendelea leo, utaafiki hatua hizo zichukuliwe, Rais atalazimika kuunda Serikali upya kwa mara ya pili tangu alipofanya hivyo mwaka 2008 wakati wa sakata la Richmond, ambalo lilihusu umeme. Pia atakuwa akifanya mabadiliko ya mawaziri kwa mara ya tano kutokana na wasaidizi hao kujikuta kwenye kashfa Je Kikwete Raisi wa nchi ya Tanganyika atawawajibisha majambazi hawa wanao wafisidi na kuwangamiza mamillioni ya watanganyika wakilala na jaa wao wakizifisidi pesa za wananchi wavuja jasho au atawabadilisha wizara wafunike kombe mwanaharamu apate upenyu wa kupita....???
Jambazi Kuu Pinda Mr Zanzibar si Nchi.
MASULTANI WEEE MASULTANI WEEE ZANZIBAR SI NCHI WEE ZANZIBAR SI NCHI WEE
Akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo, Makamu Mwenyekiti wa PAC, Filikunjombe alisema katika suala hilo, Pinda anahusika kwa kuwa katika Katiba Ibara ya 52(1) inaeleza kuwa waziri mkuu atakuwa na madaraka ya juu ya udhibiti, usimamiaji, utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika. Pia ibara ya 52(2) inasema waziri mkuu atakuwa kiongozi wa shughuli za Serikali bungeni. Kutokana na ibara hizo, Filikunjombe alisema baada ya kupitia vielelezo vilivyomo kwenye ripoti ya CAG, kamati imejiridhisha pasipo shaka kwamba Waziri Mkuu alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha katika Akaunti ya Escrow. “Ushahidi uliotolewa na CAG kwenye kamati unaonyesha kuwa waziri mkuu alikuwa akipata taarifa za jambo hili na kamati imesikitishwa kuona kuwa Waziri Mkuu hakuchukua hatua zozote kuzuia muamala huu usifanyike,” alisema Filikunjombe. KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.