Sunday, February 1, 2015

MBUNGE ALLY KEISSY WA NCHI YA TANGANYIKA AWAPA KWELI WABUNGE KUWA UBUNGE UKISHA TU BASI WATAPANDA BAJAJI NA MABASI.

Nchini Tanganyika/Giningi Dodoma. Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy (CCM) jana alisababisha tena vicheko bungeni wakati anasema kweli ila wabunge wanachukulia kuwa ni vichekesho wakati aliposema kuwa wabunge wanaomba viwanja vya ndege vijengwe katika maeneo wanayotoka yani mikoa yao wanayotoka, wanafanya hivyo kujifurahisha kwa kuwa baada ya ubunge hawatakuwa na uwezo wa kupanda ndege badala yake watapanda mabasi na bajaji. Akizungumza wakati wa kuchangia hoja ya Kamati ya Miundombinu jana, Keissy, ambaye amekuwa akitumia mifano inayokera kwa wabunge wasaka tonge matumbo makubwa wasio shiba na kufurahisha kwa wabunge wanaotaka kweli maendeleo kwa rai wa nchi ya Tanganyika, alisema wananchi wanataka kusikia habari za barabara na reli kwa kuwa ndiyo usafiri wanaoutegemea.
“Nani anapanda ndege...?? Mh Ally Keissy alihoji Ni baadhi ya wabunge ndiyo wanapanda ndege hapa, baada ya ubunge hata fedha ya kupanda ndege hawatakuwa nayo. Reli ndiyo kitu muhimu na barabara. Kila mtu anaomba kiwanja cha ndege kwenye mkoa wake kujifurahisha, baada ya ubunge anapanda mabasi na bajaji. Lazima muwafikirie wananchi kwanza,” alisema Keissy. Hata hivyo, kauli hiyo ilipingwaa na Spika Anne Makinda aliyemtaka Keissy kuendelea kuomba fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara na kuwaacha wanaotaka ndege waendelee kufanya hivyo inaonyesha kuwa Spika Anne Makinda yeye ni moja katika hao wanaomba viwanja vya ndege vijingwe kwenye mikoa yao wakati mpaka leo hii wananchi hawana hata maji ya kunywa safi wala umeme wao ndio kwanza wanafikiria kujengewa viwanja vya ndege CCM Oyeeee.
Akizungumzia hali ya ubovu wa barabara jimboni kwake, Keissy alisema wiki iliyopita alitembea kilomita 35 kwa miguu wakati akifanya ziara kwa wananchi wake kutokana na ukosefu wa barabara. “Nimetembea kwa mguu na mtu anayepinga hapa, ushahidi ninao… Nimetoka Chongo mpaka Kolongwe kwa mguu kupitia Isaba kupitia Kazobu kupitia Bumanda… Hawana barabara. Nchi ina miaka 55 ya uhuru lakini wananchi hawana barabara,” alisema.Mbunge huyo alisema kwa mara ya kwanza alimuunga mkono mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali aliyelieleza Bunge kuwa Serikali katika baadhi ya sehemu nchini inabandua lami na kuweka nyingine wakati wapo wananchi ambao hawajawahi kuliona hata gari.
Alitoa mfano Barabara ya Sumbawanga kwenda Mpanda ambayo alisema ilianza kujengwa miaka mitano iliyopita, lakini bado haijakamilika, makandarasi wameamua kuanza kuuza kokoto kwa sababu hawajalipwa fedha wanazodai. Pia, mbunge, alizua kioja tena wakati akizungumzia hali mbaya ya usafiri Ziwa Tanganyika, akisema inawezekana Serikali haitoi fedha za kutosha kwa kuwa ziwa hilo bado linatumia jina la Tanganyika na siyo Tanzania ambalo baadhi ya viongozi wanapenda kulisikia.“Kinawauma sana kusikia bado kuna Ziwa Tanganyika katika nchi hii. Nipo hapa kwenye Bunge wiki moja boti mbili zimezama, hakuna mzigo uliookolewa na baadhi ya watu wamefariki kwa sababu hakuna miundombinu. Liemba (MV) imebaki Liemba,” alisema.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

WAZANZIBARI MSIDANGANYIKE NA VIJIBASKELI WALA MAKOMPYUTA MABOVU WALA UPANDE WA KANGA JAZI NA MIPIRA.

ANGALIA SEYCHELLES AIRPORT HIYO KISHA ANGALIA YA PEMBA HAPO CHINI

MIAKA 50 NA USHEYA AIR PORT YA PEMBA IMEKA KAMA ILIYO TAPIKWA CCM IMESHINDWA KUJENGA AIR PORT LAKINI PESA ZA WATALI WANATIA TU KATIKA MATUMBO YAO

MZANZIBARI AMKA AMKA WACHA KUKUBALI KUFANYWA MJINGA KWA TV MOJA KIJIJI KIZIMA AU MJI MZIMA ZANZIBAR ILIKUWA NCHI YA KWANZA KATIKA AFRIKA MASHARIKI KUWA NA TV MIAKA 50 NA USHEYA BADO TU MNAKUBALI KUDANGANYWA NA TV MOJA YA MASKANI KAMA WANAPENDA KWELI NA WAWAPE KILA MOJA ANGALAU TV YAKE ANGALIE NYUMBANI KWAKE NA MKEWE NA WATOTO WAKE MZANZIBARI ANGALIA PIC HAPO JUU MTOTO MDOGO ANA TV YAKE MWENYEWE CHUMBANI KWAKE WEWE MTU MZIMA UNAWEKWA MASKANI UANGALIYE TV KAMA SIO KUFANYWA WAJINGA NI NINI BASI...??

MZANZIBARI AMKA AMKA BADO TU UPO USINGIZINI DUNIA INAKWISHA WEWE NDIO KWANZA UNAKENUWA MENO KWA TV YA MASKANI....? MZANZIBARI ANGALIA PIC HIYO HAPO CHINI MTOTO MDOGO ANACHUMBA CHAKE NA TV YAKE NA LAPTOP YAKE HAYA NDIO MAISHA YANAYOTAKIWA KWA KILA MZANZIBARI AWEE ANAISHI HIVI SIO TV MOJA MASKANI MNAJAMBIANA TU BASI NA KUNUKISHANA MASHUZI MNAPEWA TV MOJA MNAONA NYINYI MUMEPATA KUMBE MUMEPATWA KAMA HAMUAMINI WAMBEYENI HAO VIONGOZI WA CCM WAWAONYESHE NYUMBA ZAO WANAZO ISHI KISHA MUONE KAMA WAO WANAKA NA TV MOJA NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO AU WATOTO WAO WANA TV KWENYE VYUMBA VYAO LAKINI NYINYI MNAKUSANYWA MASKANI MKIFUSIANA NA KUNUKISHANA HARUFU ZA MASHUZI.

BADALA YA KUWAPA BASKILI ZA MAANA MKANUFAIKA NYINYI NA WATOTOT WENU WANAWAPA HAYO MAGORONGO KAMA YA KUUZI POMBE YA MNAZI AU CHIBUKU

BADALA YA KUWAPA BASKILI ZA MAANA MKANUFAIKA NYINYI NA WATOTOT WENU WANAWAPA HAYO MAGORONGO KAMA YA KUUZI POMBE YA MNAZI AU CHIBUKU

Mmoja wa Mabalozi akifurahi mara baada ya kukabidhiwa baiskeli yake na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana kwa shughuli mbalimbali za kichama,baiskeli hizo ilikuwa ni moja ya ahadi alizoahidi kutoa Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,Mh Masauni,

NIONYESHENI MOJA TU KATIKA HAWA AMBAYE KAKA NA MWENZAKE KATIKA KOMPYUTA MOJA NYINYI MNAFUSIANA TU KWENYE CHUMBA KIMOJA CCM ANAKUDANGANYENI MIAKA 50 NA USHEYA ATI MNAPEWA CHUMBA KIMOJA CHA KOMPYUTA KAMA KWELI WAWAPE KILA MOJA KWENYE NYUMBA YAKE KOMPYUTA SIO CHUMBA KIMOJA MNAFUSIANA TU.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo mafupi ndani ya chumba cha kufundishia Kompyuta katika kituo cha Vijana (Tanzania Youth Icon),cha kuwaendeleza na kuwawezesha katika masuala mbalimbali ikiwemo elimu,Ajira na Michezo kilichopo Shehia ya Miembeni,Mwembemadema katika jimbo la Kikwajuni.

WATU WAZIMA MNADANGANYWA KAMA WATOTO WADOGO HIVI KWELI KAMA CCM IMEKUSUDIA KUFUNGUWA KITUO CHA KUJIFUNDISHIA KOMPYUTA BASI KIWE HIVYO KOMPYUTA MOJA WATU WAWILI MUMEJAZANA KWENYE CHUMBA KUJAMBIANA TU BASI ANGALIA KOMPYUTA SIO DILI MTOTO MWAKA NA NUSU ANAKOMPYUTA NYINYI MNADANGANYWA TU.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-MUUNGANO NI JINA TU LA KUPAMBA UKOLONI WA TANGANYIKA KWA NCHI YA ZANZIBAR NA KUTAKA KUIMALIZA.

VIDEO-CUF ALABAMA 25TH JANUARY 2015 MANSOOR NA JUSSA

PART 1
PART 2
PART 3
PART 4
PART 5

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-1/5 JUMA DUNI MAGOMENI 24TH JANUARY 2015

PART 1
PART 2
PART 3
PART 4
PART 5

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-TUNDU LISSU A.K.A. RONALDO

KAMA HUMJUWI RONALDO WA SIASA BASI NDIO HUYO FUNGU UJUWE UKWELI WA SIASA SIO SIASA ZA CCM KUDAGANYA WATU KUUWA WATU KUWAPA WATU MAISHA YA DHIKI NA KUWAFUNGA WATU JELA KWA KESI ZA KUBAMBIKIA POLISI WOTE WA NCHI YA ZANZIBAR NA TANGANYIKA SIO POLISI NI WAHUNI TU.
MSIKILIZE LISSU ANAVYO WASHA MOTO BUNGENI HUKO GININGI DODOMA KUHUSU KUDHALILISHWA KWA PROF LIPUMBA