KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Thursday, October 8, 2015
Wednesday, October 7, 2015
NCHINI ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ATAVIUNDA UPYA VIKOSI VYA SMZ NA VITENDA KAZI NA KUIMARISHA MASLAHI YAO ENDAPO ATAPATA RIDHA YA WANANCHI KUWA RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR
Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimkabidhi kadi ya CUF mmoja kati ya wanachama wapya waliojiunga na Chama hicho wakitokea CCM kutoka majimbo ya Kwahani na Shaurimoyo.
Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama cha CUF katika viwanja vya Mkele unguja nchini Zanzibar.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Timu ya Ushindi chama cha CUF Ismail Jussa Ladhu akiwahutubia wafuasi wa chama cha CUF katika viwanja vya Mkele nchini Zanzibar.
Bi. Fat-hiya Salim akitoa salamu za wanawake katika mkutano wa kampeni za CUF uliofanyika viwanja vya Mkele.
Wafuasi wa chama cha CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais Mhe Maalim Seif Shariff Hamad katika viwanja vya Mkele nchini Zanzibar
Wafuasi wa chama cha CUF wakimsikiliza mgombea wao wa Urais Mhe Maalim Seif Shariff Hamad katika viwanja vya Mkele nchini Zanzibar.
Wafuasi wachama cha CUF wakiwa makini kusikiliza kampeni za mgombea Urais Mhe Maalim Seif Shariff Hamad katika viwanja vya Mkele nchini Zanzibar.
Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa nchi ya Zanzibar ataviunda upya vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuvipatia vitendea kazi na kuimarisha maslahi yao. Amesema vikosi hivyo viliundwa kwa malengo maalum lakini bado havijatimiza malengo yake kutokana na mazingira duni ya kazi zao, jambo ambalo amesema katika uongozi wake atavijengea mazingira bora ili vifanye kazi kwa ufanisi. Maalim Seif Shariff Hamad ameeleza hayo katika viwanja vya Mkele mjini nchini Zanzibar, wakati akihutubia mkutano wa kampeni kwa ajili ya majimbo ya Kwahani na Shaurimoyo.
Amesema vikosi vyote vikiwemo KMKM, JKU, KVZ, Zimamoto na Chuo Cha Mafunzo, vitapatiwa vitendea kazi vya kisasa pamoja na kurekebisha mishahara na maposho zao, ili viweze kulingana na vikosi vya Muungano. Akizungumzia kikosi cha KMKM, Maalim Seif Shariff Hamad amesema atakibadilisha jina na kukiita kikosi cha ulinzi wa bahari, na kukipatia zana zote zinazohitajika katika utendaji wao, ili kiweze kufuatilia pia usalama wa wananchi wanapokuwa baharini. Kuhusu Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), Maalim Seif amesema mbali ya kuliwekea maslahi bora na vitendea kazi vya kisasa, pia ataliwekea mazingira ya kutoa utaalamu wa fani mbali mbali kwa vijana, ili watakapomaliza mafunzo yao waweze kujiajiri.
Amefahamisha kuwa kikosi cha zimamoto na uokozi kwa upande wake kitapatiwa zana za kutosha za uokozi pamoja na magari ya kuzimia moto ili kuweza kukabiliana vyema na majanga yanapotokea. Mapema akitoa salamu za wanawake wa majimbo hayo, Bi Fat-hiya Salim, amewashauri wanawake kumchagua Maalim Seif Shariff Hamad ili aweze kutatua changamoto zinazowakabili zikiwemo huduma za afya.Amesema kwa muda mrefu wanawake wamekuwa wakihangaikia huduma hizo huku wakikabiliwa na mazingira magumu ya kimaisha, na kwamba iwapo watamchagua Maalim Seif Shariff Hamad ataweza kutatua changamoto hizo kwa kupatiwa huduma hizo bila ya malipo.Nae kijana Othmani Haji amesema bado vijana wengi wanashindwa kujitokeza hadharani kutokana na kuwaogopa wazazi wao ambao hawajataka kubadilika, lakini watakipigia kura chama cha CUF.
Ameelezea kufurahishwa na jinsi vijana wa majimbo hayo walivyohamasika kukiunga mkono Chama hicho na kutetea maslahi ya nchi yao, baada ya kutembelea barza saba za chama hicho katika majimbo hayo. Katika mkutano huo Maalim Seif Shariff Hamad amekabidhi kadi kwa wanachama wapya 26 kutoka majimbo ya Kwahani na Shaurimoyo ambao wamekihama Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na chama cha CUF. Chama cha CUF kimesimamisha kampeni zake kupisha sherehe za sikukuu ya Eid El-Hajj zinazoanza tarehe 24/09/2015, ambapo amesema baada ya hapo kitatangaza maslahi kamili ya wafanyakazi na vikosi vya SMZ. ni habari iliyo toka kabla ya eid el hajji ila nimeiona nimuhimu sana.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA WAWI,CHAKECHAKE PEMBA
MGOMBEA urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad akivishwa koja, kabla ya kuzungumza na mamia ya wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, uliofanyika Ditia Jimbo la Wawi wilaya ya Chake chake Pemba.
MJUMBE wa baraza kuu taifa la chama cha CHADEMA Janeth Madadi Fussi, akitoa salamu zake kwa mamia ya wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA na chama cha CUF, kwenye mkutano uliofanyika Ditia, Jimbo la Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, na kuhutubiwa na mgombea urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF maalim Seif Sharif Hamad.
KADA wa chama cha wananchi CUF bwana Sanya akizungumza kwenye mkutano wa kuwanadi wagombea wa Majimbo ya Chake chake na Wawi na wadi zake, uliofanyika uwanja wa Ditia Jimbo la Wawi na kuhutubiwa na mgombea urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, maalim Seif Sharif Hamad.
MGOMBEA urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimnadi mgombea Udiwani wa wadi ya Tibirinzi Mohamed Hafidh Ngwidi, kabla ya kuzungumza na wanachama wa chama hicho, kwenye mkutano uliofanyika Ditia Jimbo la Wawi.
MGOMBEA urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF maalims Seif Sharif Hamad, akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Chake chake Yussuf Kaiza Makame, kabla ya kuzungumza na wanachama wa chama hicho, kwenye mkutano uliofanyika Ditia Jimbo la Wawi.
MGOMBEA urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha wananchi CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachamawa chama cha CUF na vyama vinavyounga umoja wa UKAWA, kwenye mkutano wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali wa majimbo ya Wawi na Chake chake, mkutano huo ulifanyika Ditia Jimbo la Wawi.
WANACHAMA wa chama cha CUF na wengine wanaounda UKAWA, wakifuatilia hutuba ya mgombea urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CUF maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza kwenye mkutano wa kuwanadi wagombea wa majimbo ya Chake chake na Wawi pamoja na wadi zake
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
NCHINI ZANZIBAR MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA CCM SHEIN AKIENDELEA NA KAMPENI NA KUHUTUBIA WANANCHI WA BUMBWINI MAKOBA WILAYA YA KASKAZINI B
Mama Fatma Karume akishuka jukwaani baada ya kuwahutubia Wananchi na Wana CCM katika viwanja vya mpira bumbwini makoba wakati wa mkutano wa Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar Shein, mkutano uliofanyika katika Jimbo la Bumbwini Unguja.

Mgombea wa Urais wa nchi ya Zanzibar Shein, akimpongeza Mama Fatma Karume baada ya kuwahutubia Wananchi na kumuombea Kura kwa Wananchi wakati wa Mkutano huo wa Kampeni katika Wilaya ya Kaskazini B uliofanyika viwanja vya mpira bumbwini makoba.

Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe Salim Turky (Mr White) akiwa katika mkutano wa mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar Shein, uliofanyika katika viwanja vya bumbwini makoba wakimsikiliza Mgombea.
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu kwa kulazimisha kwa kutumia vikosi vya smz Mhe Haji Omar Kheri akiwahutubia Wananchi katika mkutano wa kampeni ya Mgombea wa CCM Shein, katika viwanja vya bumbwini makomba na kumuombea Kura Shein, ili kuendeleza atii amani na utilivu na Maendeleo ya Wazanzibar miaka 50 na ushaiya maendeleo yako wapi labda ya mdomo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika kwa Masultani Weusi Tanganyika aliepo hapa nchini Zanzibar Balozi Iddi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini na kueleza mafanikio yaliotekelezwa na Shein, katika kipindi chake cha miaka mitano inayomalizika na kuelezea Ilani ya CCM kwa miaka mitano ijayo.hahahahahahahaha bora nicheke.

Viongozi wa CCM na Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar Shein, wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Mzee wa Kijiji cha Bumbwini Makoba baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kampeni ya Urais wa nchi ya Zanzibar katika viwanja vya Mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
NCHINI ZANZIBAR MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA CCM SHEIN AKIENDELEA NA KAMPENI NA KUHUTUBIA WANANCHI WA NUNGWI.

Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Shein akihutubia mkutano kampeni katika mji mdogo wa Nungwi katika mkoa wa Kaskazini Unguja nchini Zanzibar na kuwataka wananchi kukichagua chama hicho kwa kuwa ndicho kinachothamini na kinachotekeleza malengo ya Mapinduzi ya mwaka 1964.
Aliwaambia wananchi waliohudhuria mkutano huo kuwa wanapaswa kuichagua CCM kwani ndicho chama chenye uwezo na kimeonesha mfano wa utekelezaji wa malengo ya Mapinduzi na ahadi za Rais wa kwanza wa Zanzibar hayati Mzee Abeid Amani Karume.(( mzee karume kajenga majumba ya michezani wewe umejenga mnara ndio umetekeleza sasa watu wanaishi kwenye minara...?))
“Mapinduzi ndiyo yaliyoweka msingi wa usawa na kuondosha ubaguzi ambao uliwanyima haki na kuwakandamiza wananchi walio wengi wa Zanzibar” Shein alieleza.((wabaguzi wakubwa wanafunzi wangapi mumewafelisha kisa wapemba,wafanyakazi wangape wamefukuzwa kazi kisa wapemba,vitambulisha zanzibar ID ni kwa kila mwananchi mapaka leo kama sio mkereketwa hupewi,paspoti ni haki ya kila rai hamuwapi mpaka mtu awe mwana maskani n.k ))
Katika mnasaba huo alisema kuwa Mapinduzi yalileta usawa na kujenga mazingira ya kuijenga nchi yetu kwa ushirikiano na kwa umoja wetu na kwa maslahi yetu wote. Mgombea huyo wa CCM alisema Zanzibar ni maarufu ulimwenguni kote tokea karme nyingi zilizopita lakini umaarufu huo hautakuwa na manufaa kwetu endapo hatutaweza kulinda na kuienzi amani na utulivu uliopo.Katika kipindi kijacho aliahidi kuimarisha huduma za jamii ikiwemo elimu, afya, umeme na maji pamoja na miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji makubwa ya huduma hizo kutokana na mji huo kupanuka sana kutokana na shughuli za biashara ya utalii.
(( Hivi wewe umesoma kweli au unaupumbavu katika elimu yako umekuwa mpumbavu badala ya kuwa mwerevu miaka mitano imemalizika ulikuwa ukiuza majengo ya serekali na kusema wewe ni mwenyewe unauza chako kisha ukajenga mnara wako kisonge sasa ati watu wakupe miaka mengine mitani ndio uwape.......kuimarisha huduma za jamii ikiwemo elimu, afya, umeme na maji pamoja na miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji makubwa ya huduma hizo kutokana na mji huo kupanuka sana kutokana na shughuli za biashara ya utalii.inaonyesha wazi huna nia jemaa ila nia yako iko kwa sababu ya watali na sio wananchi Mzanzibari atakae kupigia kura wewe atakuwa amerengwa.))
“Tutaimarisha huduma za umeme kwa kuweka transfoma kubwa yenye KVA 200 katika mji mpya ulioko Ras Nungwi itakayoweza kuhudumia wateja wengi na kwa uhakika zaidi” Dk. Shein alisema na kuongeza kuwa mji huo mdogo utawekewa taa za barabarani hadi Kivunge.((kasome historia watu walikuwa na umeme barabarani kabla ya london U.K.nchi hii sio ya kutiwa umeme wabarabarani leo na wewe kujifanya kama umefanya jambo kubwa wakati hayo yote yalikuwa yawe tayari yashafanywa na sasa tuko mbali lakini wapi CCM mafisadi na kujaza matumbo yenu na mahawara wenu na watoto wenu wa kharamu ndio munalolijuwa mda mtaupata wapi wakuleta maendeleo na nyinyi mko bizi kuiba na kujitajirisha na familia zenu...?))
Shein aliwaeleza wananchi hao kuwa biashara ya utalii ndio inayoipatia Zanzibar fedha nyingi za kigeni hivyo lengo la Serikali katika miaka mitano ijayo ni kuongeza idadi ya watalii wanoitembelea Zanzibar ifikie 500,000 ifikapo 2020 kutoka 300,000 hivi sasa huku jitihada zikielekezwa katika kuimarisha uwezo wa wananchi kitaaluma wa kuweza kuhudumia sekta hiyo.

Aliwaeleza wananchi hao kuwa kupanua haraka kwa mji Nungwi ni uthibitisho kuwa Nungwi inaendelea kusonga mbele kwa kujenga majengo mengi na hoteli nyingi za kitalii.
Shein aliahidi atakapochaguliwa tena Serikali yake itawajengea uwezo wavuvi nchini kwa kuwapatia boti zenye ukubwa wa kati na kubwa ili waweze kuvua kwa uhakika na kupata mapato makubwa zaidi.Kwa upande wa kilimo cha mwani, Shein alisema ataiamarisha masoko la mwani kwa kutafuta masoko mapya ya zao hilo ili wakulima waweze kupata bei nzuri na kufaidi jasho lao.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Tuesday, October 6, 2015
VIDEO-NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA CHAMA CHA CUF 17,09,2015 MGOGONI 1/5 /2015
PART 1
PART 2
PART 3
PART 4
PART 5
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-NCHINI ZANZIBAR KAMATI YA MARIDHIANO SIX: MKUTANO WA HADHARA, MGOMBEA UWAKILISHI CUF MTOPEPO
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Subscribe to:
Posts (Atom)