Friday, May 9, 2014

MAJINA YA G55 YA WATANGANYIKA WALIO TAKA TANGANYIKA YAO WENGI WAO WALIHONGWA VYEO VIKUBWA VIKUBWA AU WALIFUKUZWA CCM AU WALIPOTEZWA KABISA


KIKWETE HAKUWEMO KATIKA G55 MAANA ALIKUWA ANAPIKWA NA NYERERE

KIKWETE AKIAMBIWA NA NYERERE KACHEZE BASKET BALL KWANZA NDIO MAANA HAKUWEMO KATIKA G55 ALIKUWA BADO ANAPIKWA
Wabunge 55 waliofahamika kama G55, wakiongozwa na mtoa hoja, Njelu Kasaka, waliiunga mkono hoja hiyo katika kikao cha Bunge cha Bajeti mwaka 1993. Baadaye wakaongezeka wengine kumi na kuifanya idadi yao kuwa 65 hadi kufikia Julai 22, 1994.
MKATABA aliulizia kuhusu majina ya G55 na kutaka kujua iwapo Kikwete alikuwemo. Kwa faida yake na wengine, yafuatayo ni majina ya G55 ambayo yanaonesha kuwa Kikwete hakuwemo katika G55:
1) Njelu Kasaka
Alikuwa mbunge wa Lupa mkoani Mbeya. Baada ya sakata lile mzee Ruksa alimpoza kwa kumzawadia unaibu waziri. Katika hatua fulani alikosana na wenye chama chao CCM walipomuengua kwenye kura za maoni, akakasirika akajiunga na CUF. Huko nako hazikuiva, njaa ilipomzidia akarudi “nyumbani” CCM. Msimamo wa CCM ni serikali mbili, kwa hiyo huyu kwenye wapigania Tanganyika keshapotezwa. Ni bahati mbaya sana kwani ndiye aliyekuwa kiongozi wa G55 mwaka ule wa 1993
2) Lumuli Alipili Kasyupa
Alikuwa mbunge wa Kyela kule kwa Mwakyembe. Yuko wapi..?
3) William Mpiluka
Wa Mufindi, Iringa wakati huo. Yuko wapi..? 
4) Mateo Tluway Qares
Alikuwa mbunge wa Babati ambayo wakati huo ilikuwa mkoa wa Arusha. Baadae alipewa uwaziri kwenye serikali iliyofuata ya Mkapa
5) Jared Gachocha
Alikuwa mbunge wa Ngara. Yuko wapi..?
6) Dr Mganga Titus ole Kipuyo
Alikuwa mbunge wa Arumeru Magharibi
7) Phillip Sanka Marmo
Alikuwa mbunge wa Mbulu mkoani Arusha (wakati huo). Alipokuwa anapigania Tanganyika alikuwa ‘benchi’, lakini katika serikali za awamu zilizofuata alipewa ulaji mfululizo wa uwaziri na sasa ni balozi nchini China. Hana sababu tena ya kudai Tanganyika maana ashaleweshwa na kuwa balozi wa china.
8) Arcado Ntagazwa
Wakati huo alikuwa mbunge wa jimbo la Kibondo, na alikuwa ‘benchi’ pia. Kabla ya sakata la kudai Tanganyika alikuwa waziri wa maliasili na utalii katika ile serikali ya mwanzo ya Mzee Ruksa. Baada ya ishu kuzimwa, alipozwa na posts za uwaziri ambazo aliendelea kula nchi hadi walipokuja kumtosa katika awamu ya JK, na kwa hasira akaamua kutimkia CHADEMA. Bado atakuwa anaitaka Tanganyika yake
9) Patrick Silvanus Qorro (marehemu)
Huyu alikuwa mbunge wa Karatu (Arusha) ndiye ambaye baadaye alikuja kuwa chanzo cha CCM kupoteza jimbo kwa CHADEMA hadi leo. Wakati wa kura za maoni ndani ya CCM mwaka 1995, marehemu Qorro alichuana na Dr Wilbrod Slaa ambaye ndiyo kwanza alikuwa ametoka kujiuzulu upadri na alikuwa amewekeza sana nguvu zake na mitandao yake katika miradi ya maendeleo Karatu, akitumia ushawishi alioujenga alipokuwa katibu mkuu wa TEC (Baraza la Maaskofu Katoliki). Wana-CCM walimchagua Dr Slaa awe mgombea, lakini makao makuu wakatengua na kumweka Qorro. Dr Slaa alitimkia CHADEMA ambao walimpa tiketi ya kugombea, jimbo likabakia CHADEMA hadi leo. Mzee Qorro alifariki mapema mwaka huu
10) Japhet Sichona
Wa Mbozi (Mbeya). Yuko wapi..?
11) Jenerali Twaha Khalfan Ulimwengu
Alikuwa mbunge wa Taifa (ndivyo walivyoitwa enzi hizo wale ambao hawakutokea majimboni). Kabla ya hapo aliwahi kuwa mkuu wa wilaya kule Hai, Kilimanjaro. Awamu iliyofuata ya Mzee Mkapa ilimnyanyasa sana huyu Ulimwengu kutokana na tabia yake ya “kushindana na serikali”, tena kuna wakati walitangaza kuwa siyo raia na akalazimishwa kuomba upya uraia au kuondoka nchini (nakumbuka sakata lilimhusu pia Mzee Anatoly Amani yule anayegombana na Kagasheki kule Bukoba, na bi Maudline Castico aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM Zanzibar ). Mzee Ulimwengu ameendelea kuwa critical wa serikali lakini sasa hivi anafanya kwa upole si kama wakati ule walipomtishia kumtimua nchini. Bado ana guts za kudai Tanganyika au ndio ashachia ngazii...?
12) Abel K. Mwanga (marehemu)
Alikuwa mbunge wa Musoma mjini, na pia alikuwa mwandishi mahiri wa vitabu vya kiada vya somo la kiingereza vilivyotumika katika shule za sekondari. Anatajwa pia kuwa ndiye aliyekuwa akimpa aliyekuwa waziri mkuu marehemu Edward Sokoine tuition ya lugha ya kiingereza. Mzee Mwanga alifariki mwaka 2009.
13) Prof Aaron Eben Japhet Massawe
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, na kabla ya hapo alikuwa akifundisha katika chuo kikuu cha tiba Muhimbili. Ni mtaalamu bingwa wa magonjwa ya ngozi. Kwa sasa ni mstaafu anayetoa huduma za tiba katika hosptali yake binafsi. Ndoto za utanganyika hata kama bado anazo, hana nguvu nazo tena.
14) Shashu Lugeye
Alikuwa mbunge wa Solwa. Yuko wapi..?
15) Sebastian Rweikiza Kinyondo (marehemu)
Almaarufu “bwana mitemba”, alivuta sana kiko huyu jamaa, na alikuwa na sharubu fulani ambazo akiweka mtemba wake mdomoni zilimpa mwonekano wa kipekee sana. Alikuwa mbunge wa Bukoba vijijini. Baada ya sakata lile huyu naye alipozwa kwa kupewa uwaziri wa Kazi ambao alidumu nao hadi kifo chake.
16) Phares Kashemeza Kabuye (marehemu)
Huyu babu alikuwa mbunge wa Biharamulo ambaye alihangaikia sana misimamo yake hadi kifo. Baada ya sakata lile, uchaguzi uliofuata wa 1995 alijiunga na chama cha NCCR Mageuzi enzi hizo kikiwika sana kuliko CHADEMA ya leo, chini ya ‘Mangi’ Augustino Lyatonga Mrema na Katibu Mkuu wake Mabere Nyaucho Marando. Ulipotokea mtafaruku wa Marando na Mrema, Mzee Kabuye aliamua kuelekeza utiifu wake kwa Mrema, na akamfuata kwenye TLP yake ambako pia alishinda ubunge dhidi ya jamaa wa CCM aliyeitwa Anatoly Choya ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya mojawapo. Mzee Kabuye alifariki kwa ajali ya basi alipokuwa safarini kufuatilia rufaa ya kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa na Choya.
17) Mbwete Polile Hombee
Alikuwa mbunge wa Rungwe (Mbeya). Yuko wapi..?
18) Kisyeri Werema Chambiri
Alikuwa mbunge wa Tarime. Yuko wapi..?
19) John Byeitima
Alikuwa mbunge wa Karagwe. Yuko wapi..?
20) Abdallah Saidi Nakuwa
Alikuwa wa Lindi. Yuko wapi..?
21) Dr Ndembwela Ngunangwa
Alikuwa mbunge wa Njombe Kusini, mkoani Iringa (wakati huo Anna Makinda alikuwa mkuu wa Mkoa). Yuko wapi au tumulize Anna Makinda atuambiye yuko wapi..?
22) Mathias Michael Kihaule (marehemu)
Huyu alikuwa mbunge wa Ludewa (mkoa wa Iringa) wakati huo ambapo Horace Kolimba alikuwa Katibu mkuu wa CCM. Interestingly, Mzee Kihaule wakati anapigania Tanganyika alikuwa pia Naibu Spika wa Bunge. Baada ya sakata lile hakupata tena ubunge, CCM ilimtema na kumpa marehemu Horace Kolimba nafasi hiyo, huku Mzee Kihaule akiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Mbarali, nafsi aliyodumu nayo hadi alipostaafu 2004. Mzee Kihaule alifariki mwaka 2012.
23) Alhaji Mussa Nkhangaa
Alikuwa mbunge wa Iramba mkoani Singida. Baadaye katika serikali zilizofuata alipewa nyadhifa za uwaziri (ikiwemo ile ya waziri wa maji), na baadae akawa mkuu wa mkoa wa Dodoma.
24) Edward Oyombe Ayila
Alikuwa mbunge wa Rorya. Yuko wapi..?
25) Adam Karumbeta
Wa Mbeya huyu. Yuko wapi..?
26) Halimeshi Mayonga
Alikuwa mbunge wa Kigoma vijijini. Yuko wapi..?
27) Dr John Katunzi
Wa Geita. Yuko wapi..?
28) Ismail Ivwata
Alikuwa Mbunge wa Manyoni Singida. Yuko wapi..?
29) Tobi Tajiri Mweri
Alikuwa mbunge wa Pangani. Yuko wapi..?
30) Aidan Livigha
alikuwa mbunge wa jimbo la Ruangwa (Lindi). Yuko wapi..?
31) Tabitha Ijumba Siwale (mama)
Huyu alikuwa mbunge wa taifa, na kabla ya hapo aliwahi kuwa waziri katika wizara za elimu na baadaye ardhi. Kwa sasa ni mkurugenzi wa NGO iitwayo WAT (Women Advancement Trust), na pia ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Efatha Bank (ya nabii Mwingira).je bado anaitaka Tanganyika..?
32) Obel Mwamfupe
Wa Mbeya. Yuko wapi..?
33) Othman Ahmed Mpakani
Wa Iringa magharibi. Yuko wapi..?
34) Evarist Mwanansao
Wa Nkasi. Yuko wapi..?
35) Paschal Degera
Wa Kondoa kaskazini. Yuko wapi..?
36) Erasto Losioki
Wa Simanjiro. Yuko wapi..?
37) Nassoro Malocho
Alikuwa mbunge wa Mtwara. Katika serikali iliyofuata ya Mhe Mkapa, aliteuliwa kuwa waziri wa ofisi ya rais, Mipango.
38) Charles Kagonji
Huyu alikuwa mbunge wa Mlalo Lushoto. Alikuwa mwandishi wa habari ikulu enzi za Mwalimu Nyerere. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Mzee Kagonji alikasirishwa na uchakachuaji aliofanyiwa na CCM kwenye kura za maoni akaamua kutimkia CHADEMA. Tofauti na wenzie waliotimkia CHADEMA kipindi hicho (akiwemo Hezekiah Wenje aliyekimbia CCM baada ya kuburuzana na Lawrence Masha kule Nyamagana) Mzee Kagonji alishindwa uchaguzi ule.
39) Venance Francis Ngula
Alikuwa mbunge wa Taifa. Katika uchaguzi uliofuata alichaguliwa kuwa mbunge wa Ubungo Dar na kuteuliwa kuwa naibu waziri wa fedha.
40) Benedict Kiroya Losurutia (marehemu)
Alikuwa mbunge wa Kiteto. Alifariki mwaka 2007.
41) Dr Deogratias Mwita
Wa Serengeti.Yuko wapi..?
42) Phineas Nnko
Wa Arumeru Mashariki. Yuko wapi..?
43) John Peter Mwanga
Alikuwa mbunge wa Moshi mjini na alikuwa miongoni mwa wabunge vijana wakati ule kwani alishinda ubunge akiwa anasubiria graduation yake pale Mzumbe. Ushindi wake mwaka ule wa 1990 dhidi ya Brigedia Muhiddin Kimario (ambaye alikuwa waziri wa mambo ya ndani) zaidi ulitokana na kura alizopigiwa na wanafunzi wa sekondari na vyuo ambako ndiko alikowekeza zaidi nguvu kutokana na ushawishi wake kwenye UVCCM (ambao ulikuwa na matawi mashuleni na vyuoni) na MUWATA (Muungano wa wanavyuo Tanzania). Hata hivyo hakufanya lolote katika kipindi chake cha uongozi, kwahiyo alipotea kwenye ramani baada ya kipindi kimoja tu.
44) Chediel Yohana Mgonja (marehemu)
Huyu alikuwa mbunge wa Same kwa miaka mingi, na enzi ya Nyerere aliwahi kuwa waziri wa wizara mbalimbali ikiwemo Elimu. Anakumbukwa pia kwa ile kesi maarufu sana ya uchaguzi Same ya mwaka 1980-1982 ambako alishinda katika mahakama kuu lakini akaja kushindwa katika mahakama ya rufaa na kuvuliwa ubunge. Katika hukumu ya rufaa, aliadhibiwa kutogombea ubunge kwa miaka 10, lakini baadaye adhabu hiyo ilitenguliwa akaruhusiwa kugombea tena 1985 ambako alishinda na kushika vipindi viwili hadi 1995. Mzee Mgonja (ambaye wapare walimpa jina la utani “Kaghembe”) alifariki mwaka 2009.
45) Guntram Amani Itatiro (marehemu)
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la Ifakara. Baada ya sakata lile la kudai Tanganyika, Mzee Ruksa alimteua kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro kwa ule utaratibu wa kofia mbili.
46) Captain (mstaafu) Paschal Kulwa Mabiti
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la Mwanza. Kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Simiyu.
47) Edith Mallya Munuo (mama) 
Huyu alikuwa mbunge wa Taifa akiwakilisha umoja wa Wanawake wa CCM (UWT). Katika uchaguzi uliofuata miaka 2 baadaye (1995) CCM ilimtosa, akaamua kujiunga na NCCR Mageuzi na kugombea jimbo la Kawe ambako hata hivyo alishindwa. Aliteuliwa kuingia kama mbunge wa viti maalum kupitia NCCR Mageuzi, na baada ya hapo kwa sababu zisizoeleweka akatangaza kubadilisha jina lake kuwa “Edith Lucina”. Hivi yuko wapi siku hizi..?
48) Raphael Shempemba
Wa Lushoto. Yuko wapi..?
49) Lt Col (mstaafu) John Mhina
Wa Lushoto. Yuko wapi..?
50) Balozi George Maige Nhigula (marehemu)
Huyu alikuwa Mbunge wa Kwimba, Mwanza. Alikuwa muumini kwelikweli wa utanganyika maana alikuwa miongoni mwa maofisa wa mwanzo wa ubalozi za Tanganyika huru Ulaya miaka ya mwanzo ya uhuru. Alitumikia serikali miaka mingi kwa nyadhifa mbalimbali hadi alipostaafu mwaka 1985 na kuchaguliwa kuwa mbunge wa Kwimba kwa vipindi viwili. Alistaafu siasa 1995 na kufariki mwaka 2011.
51) Captain (mstaafu) Theodos James Kasapira (marehemu)
Huyu alikuwa mbunge wa Ulanga magharibi, na kabla ya hapo alishakuwa mkuu wa wilaya mbalimbali. Capt Kasapira alifariki mwaka 2005.
52) Charles Kinuno
Alikuwa mbunge wa Nyanghwale. Yuko wapi..?
53) Christian Fundisha
Wa Tabora Kusini. Yuko wapi..?
54) Samuel Ruangisa
Alikuwa mbunge wa Bukoba Mjini kwa muda mrefu. Baadae CCM walimtosa kwenye ubunge lakini akabakia kwenye chama na kugombea udiwani na kuchaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba. Mwaka jana Mhe Ruhangisa akiwa diwani wa kata ya Kitendaguro, alikuwa miongoni mwa wale madiwani wanane ambao CCM iliwafukuza uanachama kwa madai ya kumuunga mkono Kagasheki katika ugomvi wake dhidi ya aliyekuwa meya Anatoly Amani.
55) Dr Maria Josephine Kamm (mama)
Huyu alikuwa mbunge wa taifa, na alipata umaarufu mkubwa akiwa headmistress wa secondary ya wasichana Weruweru ambayo pia ilikuwa maarufu sana enzi hizo. Kwa sasa Mama Kamm ni mstaafu, na ni mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Mama Clementina Foundation, asasi inayojishughulisha na elimu kwa wasichana.
KIKWETE HAYUMO HUMU KWA HIYO TUSISTAJABU KUWA YEYE HATAKI TANGANYIKA IRUDI WALA IWEPO.

BALOZI SEIF ALI IDDI ALAZIMISHA KUWA MZANZIBARI MZAWA WAKATI HAKUNA ANAE MJUWA WAKATI WA UTOTO WAKE HAPA NCHINI ZANZIBAR


ANAPENDA SANA KUREJESHA NA KUPANDIKIZA UBAGUZI NCHI KWETU ZANZIBAR SASA TUNAKULIZA WEWE SIUNAJIDAI NI MZANZIBARI JE BABA YAKO NI MASAI NA MAMA YAKO MUOMANI...?

AU BABA YAKO NI MUOMANI NA MAMA YAKO NI MAASAI...?
KWA MUJIBU WA BALOZI NDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA ALIYE KUWEPO HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR ANASEMA KUWA YEYE ALIZALIWA KITOPE NA AMEHUSU MKWAJUNI NA CHAANI NA MAMA YAKE ANATOKEA WAWI KWA AKINA HAMAD RASHID JE HAMAD RASHID ULIPOKUWA MDOGO ULIMUONA BALOZI..? MAANA KITOPE YOTE WANASEMA HAWAMJUWI HUYU JAMAA WALA HATA HAWAJUWI KATOKEA WAPI NA HUKO MKWAJUNI CHAANI PIA WANASEMA HAWAJAWAHI KUMUONA ALIPOKUWA MDOGO SASA WEWE UMEKUWA JINI NDIO LISILO ONEKANA LAKINI KAMA NI BINADAMU BASI KITOPE,MKWAJUNI CHAANI NA HATA HUKO WAWI WATU LAZIMA WAWE WAMEKUONA ULIPOKUWA MDOGO UKIENDA SKULI AU HATA KUCHEZA NA WATOTO WENGINE LAKINI HAKUNA ALIYEKUONA KISHA UNAJIDAI WEWE NI MZANZIBARI WAWAPI BASI....? ACHA UBAGUZI WAKO UTAUMBUKA NA USHIKE ADABU YAKO NA ADABU IKUSHIKE KUENEZA CHUKI NA UBAGUZI NCHINI KWETU AU UTARUDI ULIKO TOKEA KAMA NI UGANDA,MALAWI,MSUMBIJI AU KOKOTE KULE UTARUDI AU KAA NA ADABU ZAKO.
BAATHI YA WAZEE TULIO WAHOJI WANA HAYA YA KUSEMA TENA NI CCM
MZEE NAMBA1. Ushahidi tulionao kutoka kwa Wananchi wa Mkwajuni, Chaani na Wawi, wanasema, Balozi Mkaazi wa Tanganyika ( Seif Ali Iddi), Ubini wake wala utoto wake haujulikani kwa hizo sehemu 3 za Unguja alizojinasibisha nazo. Sasa tujiulize kwaninini ” TING TONG” ameanza kumtilia Mashaka Mh. Jussa ambae ni Mzaliwa wa Visiwani ?… Na hata Kwamba awe Mh. Jussa sio Mzaliwa wa Visiwani, lakini amekuja Mchanga na amekulia nchini Zanzibar na Wazee wake Kuchangia katika ulipaji kodi wa nchi ya Zanzibar…na watoto wengi wanamjuwa na wamecheza nae yeye balozi kacheza na nani au kenda skuli ngani na watoto wa wapi alihoji mzee huyo.
MZEE NAMBA 2. Kuna kundi la Wazanzibari kutoka Jimbo la Kitope, ambao wana uchungu na Nchi yao wametufikishia reporti kwamba Seifu Ali Idi hakukulia Kitope kama anavojidai hivo. Wazanzibari hao hao wakaenda Chaani, kama tunavojua kwamba Zanzibar ni Visiwa vidogo sana ambavyo kila mtu anamjua mwenzake au familia zote zinajuana au zimeingiliana. Hivo kwa mtu aliezaliwa na kukulia Unguja au Pemba, ukienda katika kijiji hicho anachodai amezaliwa , huwa anajulikana. Kinachoshangaza baada ya Utafiti wakutafutwa Ubini wake kule Chaani na Mkwajuni, Sefu Ali Iddi “TING TONG hajulikani na watu hawa… Na wanasema wao wameshangaa kuliona zee hilo likiendele kudai kuwa ni Mzanzibari na kuwabaguwa wazawa wa nchi hii wazee hao walituchekesha na kusema ameletwa kama Radi wala hawajui ametokea wapi…?
MZEE NAMBA 3.Mimi mwenyewe nimezaliwa mika ya 1965 na nimekulia Zanzibar yaani Unguja na Pemba, lakini sijawahi kumsikia Mzee huyu wala kumuona .. mara yangu ya kwanza kumsikia na kumuona ni baada ya uchaguzi wa 2010. Nimejaribu kumuuliza Shemegi yangu ambae ni Sheha na kada wa CCM katika jimbo la Rahaleo. Amenambia pia hamjuwi Mzee huyu wala hajui alipotokea.. Sasa Hao Wana CCM hawakujui wewe ni nani, unapataje uhalali wakumuuliza mtoto wetu Mh. Jussa amabe tUmemlea wenyewe na kumsomesha pale Ben-Mbella na Lumumba ALIHOJI MZEE HUYO...?

Tuesday, May 6, 2014

ALIKUWA SHEIKH NASSOR BACHU MWAKA JANA MWAKA HUU SHEIKH ILUNGA AMERUDI KWA ALLAH S.W.T.


M/MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI IN SHAA ALLAH

MAZISHI
UMATI WA WATU IKISHIDIKIZA JENEZA LA SHEIKH ILUNGA M/MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI.

UMATI WA WAISLAMU UKIENDELEA NA MAZISHI YA SHEIKH ILUNGA

MAKAMO WA PILI WA RAISI NCHINI ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD PIA ALISHIRIKI MAZIKO YA SHEIKH ILUNGA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewaongoza maelfu ya waislamu katika mazishi ya sheikh maarufu wa Mkoa wa Mwanza na mwanaharakati wa dini ya Kiislamu marehemu sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Sheikh Ilunga amefariki dunia mjini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni.
Katika uhai wake sheikh Ilunga Kapungu alikuwa mwanaharakati ambaye mara nyingi alikuwa akiendesha mihadhara ya wazi ya dini ya Kiislamu, ambapo mwishoni mwa mwaka 2013 alikamatwa kwa tuhuma za kusingiziwa na serekali hii ya madhalimu kuwa ni mchochezi mkoani Tabora na baadaye kuachiwa huru.
Kwa mujibu wa taarifa za kimtandao, kabla ya kukamatwa kwake na kuachiwa huru Disemba mwaka 2013, marehemu sheikh Ilunga alikwenda nchini India kwa matibabu baada ya kusumbuliwa na matatizo ya figo pamoja na sukari.
Akizungumza katika mazishi hayo sheikh Basaleh wa Dar es Salaam, amesema marehemu sheikh Ilunga alikuwa mwanaharakati imara na ni mfano mzuri wa kuigwa katika harakati za dini ya Kiislamu.
Mazishi yake yameweka historia baada ya maelfu ya waislamu kujitokeza kushiriki kwao, hali iliyopelekea mchanga wa kaburi lake kufukiwa kwa mikono badala ya kutumia mapauro na majembe kama ilivyozoeleka.
Masheikh kutoka Mikoa mbali mbali ya nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar wameshiriki mazishi hayo akiwemo sheikh Kishki.
(HAKIKA YA SISI NI WAJA WA ALLAH NA NI KWAKE YEYE TU MAREJEO YETU)
Allah tunakuomba umsameh madhambi yake na umjaalie kuwa ni miongoni mwa waliofuzu na umjaalie makaazi katika JANNAH TUL FIRDAUSi

WAZANZIBARI POPOTE MLIPO WAJUWENI HAWA BAADHI YA MADUWI NA MAHASIDI WA NCHI YETU YA ZANZIBAR


WAZANZIBARI KWA PAMOJA WAKIOMBA DUWA KUMUMBA M/MUNGU ATULINDE SISI NA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA MADUWI,MAHASIDI,WANAFIKI,MAKUWADI,WAHAFIDHINA,WAUWAJI,WAZAB ZABINA,WASAKA TONGE,MITUMBO MIKUBWA KWA KULA HARAMU,MATAPELI,MADUWI WA DINI NA WAFITINISHAJI,MATHALIM,WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA,VIBARAKA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA,WENYE KUJALI MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO NA KUWAWACHA WAZANZIBARI KATIKA HALI MBAYA NA KUENDELEA KUTAKA KUTUMALIZA EWE MOLA ENDELEA KUWAIBISHA HAPA NCHINI ZANZIBAR NA WAKIENDE HUKO DODOMA GININGI WAJALIE WAZIDI KUPAYUKWA ILI WANANCHI TUWAONA WANAVYO PAYUKWA KAMA MASHETANI YALIYO FUNGULIWA EWE MOLA WANYIME USINGIZI WAWE MACHO KAMA MICHAWI ISIDI KUNENEPA MPAKA IPASUKE KWA KULA KHARAMU,NASI WAZANZIBARI NA TANGANYIKA NA UKAWA TUPE MSHIKAMANO WA THATI NA MASIKILIZANO USIMRUHUSI SHETANI KUTUFITINISHA SHETANI CCM TOKA TOKA TOKA SHETANI CCM TOKA TOKA TOKA.

MAMA ZIMA OVYOOOO

NJAA ITAKUWA WALA USIJIDAGANYI KUWA UTAKUWA RAISI KWA TAMA YAKO

HICHI NDICHO KINACHO WAFANYA WABWEKE KAMA MBWA MWENYE KICHA KULA NA KUENDEKEZA TUMBO HAWAJUWI KUWA TUMBO HALISHIBI HATA ULE VIPI,WAKO TAYARI WAIUZE NCHI YETU YA ZANZIBAR LAKINI WAENDELE KULA HARAMU

ZAMA ZA FITINA ZISHAKWISHA BADALIKA KAMBLA HUJAUMBUKA

NCHI HATA COAST GUARDI HAINA KISHA MNASEMA MAENDELEO YAKO WAPI..?

BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA MKOLONI MWEUSI MBAGUZI KABURU MWEUSI.

ENDELEA KULIKOROGA TU


HUYU EMMANUEL NCHIMBI SINDIO ALIYE WAITA WAZANZIBARI MAGAIDI LEO YUKO PEMBA ANATIA FITINA AMAKWELI CCM IMEISHIWA HAWANA SERA FITINA TUUUUUUUUUUUUUU SISI SIULITUWITA MAGAIDI SASA UNATAKA NINI NCHINI KWETU ZANZIBAR...?

HAHAHAHAHAHAHAHAHAH BORA NI CHEKE KWANZA MUUWE WATU MUTESE WATU MUWABAKE WAKE ZA WATU NA BINTI ZA WATU MUWAWEKE NA NJAA KISHA SASA MAJI YAMEWAKA NA SHINGO NDIO MNAKUJA PEMBA NA KUJIDAI KUOMBA DUWA UCHAWI UMEWASHINDA...? HAHAHAAHAHA HAHAHAHAHA HAHAHAHAAH

MGANGA WA CCM HUYO

MZANZIBARI WATAMBUWE MADUWI NA MAHASIDI WA NCHI YETU YA ZANZIBAR

HEBU SOMA HAPA KISHA JIULIZE HILI NI KIONGOZI LENYE BUSARA AU JUHAA
SEFU KHATIBU AZITAJA ANAVYO FIKIRI YEYE NI FAIDA
1)TANGANYIKA KUNA VYUO VIKUU ZAIDI YA 50 VS ZNZ VITATU YEYE AONA NI FAIDA.
2)TANGANYIKA KUNA HOSPITALI ZAIDI YA 100 VS ZNZ KUNA MOJA YA MNAZI MOJA YEYE AONA NI FAIDA.
3)ASEMA NCHI YA TANGANYIKA INATUPA MABATI,CEMENTI,MISUMARI,NONDO,BAWABA,MBAO ZINATOKA TANGANYIKA (FAIDA ZA MUUNGANO) JE SEFU TANGANYIKA WANATUPA BURE AU TUNA NUNUWA....? MPUMBAVU WEWE.



SOTE NCHINI ZANZIBAR TUNAMJUWA MKAPA NA PINDA WALIVYO KWA WAZANZIBARI.


MAKAMO WA PILI WA RAISI KISONGE MGANGA NJAA

AKIJA ZANZIBAR KIBARAKASHI AKIRUDI TANGANYIKA

VIPI AMII KINANANANANANA
31
WAMECHOKA,WAMERUWA,WATABANI WASAKA TONGE MILELE HAMUSHIBI MIAKA 50 MUNAWAIMBIA RAI NA KUFURISHA MATUMBO YENU LAKINI WAPI BADO TU MUNATAKA KUWANYONYA WANANCHI JITAZAMENI MATUMBO YENU SIO UNENE HUWO NI MARADHI YA KUTHULUMU WANYONGE UNAWASUMBUWA


SITTA SABA NANE UNAF.......SAMIA

SITTA NA SAMIA KUNANI......?

MVUWA IKINYESHA KUBWA MAJI HAYENDI KATIKATI YA MJI SIO KIJIJINI HALI HUWA HIVYO NDIO MAENDELEO YA CCM YA MIAKA 50 HAYO WANAJIVUNIA

ABUU JAHALI WA ZANZIBAR HUYOO

ALITHANI ATAKUWA RAISI WA TANGANYIKA WAMEFUKUZA SASA ANAGANGA NJAA

HAWA NDIO WATATULETEA MAENDELEO HAWA

ANA LALA OVYOO BUNGENI HAYO MAENDELEO ATAYALETA VIPI MTU HUYU NA YEYE AKINGIA TU BUNGENI AMELALA...?





ENDELEA KULIKOROGO TUUUU

HII NI KWA WALE WOTE WANAO JIDAI HAIWAIJUWI TANGANYIKA

HAWA NDIO TAIFA LA KESHO LA ZANZIBAR MUMEWAUWA KWA KUZAMISHA MELI NDIO MAENDELEO YA CCM YA MIAKA 50 AU SIO..?


HII NI PIC YA NCHI YETU YA ZANZIBAR ENZI HIZO

HII NI SASA MIAKA ZAIDI YA 50 NA HIYO 50 CCM MAENDELEO HAYA HAPA VIJANA WAME KAA TU HAWANA KAZI WALA BAZIII MAENDELEO HAYO YA CCM

MIAKA 50 CCM MUMESHINDWA HATA KUUNDA MUUDO MPYA WA BOFLO BADO NI ULELE WA MATOFALI YA MZEE MAREHE ABEID KARUME MTAWEZA KUJENGA NCHI YAGUJUUUU 50 NCHI INANUKA.