Sunday, October 12, 2014

VIDEO-WAZANIBARI SI WA KULALA NA NJAA - SHEIKH ABEID KARUM-WAZANZIBARI WANALALA NA NJAA CCM INAVIMBA CHAMA CHA MKOLONI MWEUSI

MSIKILIZE MZEE KARUME ANAVYO HIMIZA KUHUSU WAZANZIBARI
WAPEWE KULA NYUMBA WAJENGEWE CCM IKO MADARAKANI
IMEWATIA WAZANZIBARI UMASIKINI WA HALI YA JUU
WAZANZIBARI WAMEKUWA MAYATIMA NDANI YA
NCHI YAO

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-MUUNGANO NI JINA TU LA KUPAMBA UKOLONI WA TANGANYIKA KWA KUWATAWALAA WAZANZIBARI.

MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU
MZANZIBARI AMKAA AMKAA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD-MPAA UKWELI KIKWETE

ATI WANALIMA VITUNGU MBONA KIKWETE HASEMI MAMILLIONI WANAYO KUSANYA KWA WAFANYA BIASHARA ANAJUWA VITUNGU TUU.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Friday, October 3, 2014

EID MUBARAK KWA WAZANZIBARI WOTE BILA YA KUWASAHAU NDUGU ZETU WALIO FUNGWA JELA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HUKO HUKO WALIKO JELA EID MUBARAK

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-MBUNGE WA DIMANI HUYO AKIMWAGA RAZII BAADA YA KUIPITISHA KATIBA YA KII CCM

FREE FREE FREE ZANZIBAR FREE FREE FREE ZANZIBAR FREE FREE FREE ZANZIBAR
WAMEWAFUNGA JELA VIONGOZI WAKWELI WAKOMBOZI WA KWELI WA ZANZIBAR
WAMETUBAKISHA NA HAWA MASEPWERE MNADAA YAKATIKE
MAUNOO

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

HAMAD RASHID AWAKEJELI WAZANZIBARI WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO KUMEZWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ASEMA KATIBA HAIPO KUBANDA MAITI

Mjumbe wa Bunge la Katiba Hamad Rashid alizidi kujipalilia msumari wa moto zaidi ya  Wazanzibari jana baada ya kupitishwa kwa katiba iliyopendekezwa na Bunge. Hamad Rashid alichaguliwa mahsusi kuwa mjumbe wa kwanza kutoa maoni yake kabla ya wabunge wengine,na hivi ndivo hali ilivokuwa ili azidi kuwatukana Wazanzibari na kuwakejeli:
BAADA YA KUMALIZA KUJITEKINYA WENYEWE KWA WENYEWE
Walitangaza matokeo hayo, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe, vifijo na vigelegele, huku wabunge wengi wakiinuka kutoka kwenye viti vyao na kujimwaga katikati ya ukumbi kushangilia, wakiimba na kucheza nyimbo na mitindo ya aina mbalimbali.
Hali hiyo ilisababisha shughuli za BMK GININGI kusimama kwa zaidi ya dakika 20 ambapo wajumbe walikuwa wakikumbatiana kwa maana ya kupongezana kwa kupitisha katiba isiyo takiwa na wananchi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar lakini matumbo yao watakula vizuri na familia ndicho wanacho kijali wabunge hawa,ndipo wapoanza kucheza na kuimba nyimbo mbalimbali hususan taarab. Baada ya wajumbe hao kutulia, Mwenyekiti wa BMK, alimwita Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ili atoe hoja ya kupitisha Katiba inayopendekezwa na wao sio wananchi.
Baada ya hoja kutolewa na Chenge, kabla ya kuwahoji wajumbe, Mwenyekiti alitoa nafasi ya kusema neno kwa baadhi ya wajumbe na nafasi ya kwanza akapewa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid awakejeli Wazanzibari na naam alifanya hivyo.
Mjumbe Hamad Rashid alisema kuna baadhi ya watu walisema wao wana kura za Wazanzibari na kuwa walipendekeza Serikali ya mkataba. Hata hivyo, alisema, matokeo yaliyotolewa ndiyo yamebainisha nani ni Wazanzibari na Serikali gani wanaitaka.“Katiba inapatikana kisheria, ndiyo maana tumekuwa hapa kuifanya kazi hiyo. Sasa hawa wenzetu waendelee kupiga kelele wenyewe. Sasa ni wazi kuwa sauti ya watu wa Kibanda Maiti imesikika katika matokeo haya,” alisema Rashid.
Rashid alisema kuwa kwa mara ya kwanza katika historia ya ((Tanzania)), ((watanzania)) wamepata fursa ya kukaa pamoja kuandika katiba, hivyo akawaomba watanzania kutumia fursa hiyo kuipokea na kuikubali Rasimu ya Katiba ili kudumisha amani na utulivu wa taifa. Alisema kuwa wapo baadhi ya watu waliosema kuwa katiba haitapatikana wakidhani kuwa wanamiliki kura za wazanzibar, lakini kwa ushindi uliopatikana umeonyesha kuwa kura za wazanzibar ni wale waliokuwa ndani ya Bunge.
“Wako watu walisema kuwa wao ni wazanzibari kuliko wazanzibari wengine, waliwataka wazanzibar hao wapate mafuta yao, lakini waliwatetea Kibanda Maiti, walitaka wazanzibari wapate mikopo wakope bila matatizo, lakini waliwatetea kibanda maiti, walitaka wazanzibar rais wetu atambuliwe katika Jamhuri ya Muungano kama ilivyokuwa kwenye hati ya Muungano lakini walifanya hayo Kibanda Maiti, lakini nawambia wazanzibar halisi wanaowatetea wapo ndani ya nyumba hii na wataendelea kuwatetea mpaka mwisho,” alisema Hamad Rashid.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Thursday, October 2, 2014

VIDEO-SIO WAZANZIBARI PEKE YAO WANAO DAI NCHI YAO NA USHAHIDI HUU HAPA GAME OVER CCM NA SITTA WENU

TUNISIA
KAMA TUNAITAKA KWELI NCHI YETU YA ZANZIBAR
BASI HII NDIO NJIA ILIYO BAKIA LA KAMA TUNASUBIRI
TUENDELE KUDAGANYWA NA KURA HAYA
MISRI
HATUTAKI LOLOTE TUNATAKA NCHI YETU YA
ZANZIBAR BASI
TUNISIA,MISRI,JORDAN NA YEMEN
ZANZIBAR KWANZA NCHI KWANZA
THAILAND
HAKUNA CHA KURA YA MAONI WALA KATIBA
WAZANZIBARI KILICHO BAKI NI KUDAI NCHI YETU TU
UKRAIN
TUME YA UCHAGUZI NI YAO POLISI NI WAO IKIWA MTU KAPIGA KURA
YA HAPANA NA WAO WAMEIGAUZA KUWA NDIO JE KURA YA MAONI
MNAJUWA WATAFANYA NINI HAWA...?
HONGKONG
DAWA YAO NI HII TU MPAKA WATUPE NCHI YETU
YA ZANZIBAR KATIBA WATAITUMIA WAO TANGANYIKA
AMBAO HAWANA KATIBA SISI NCHI YETU YA ZANZIBAR INA
KATIBA YAKE