Friday, November 18, 2011

FREE ZANZIBAR FROM MKOLONI MTANGANYIKA


nyerere-karume-b03
Assalam Alaykum,
Miaka 47, Maraisi 6 kutoka Zanzibar, wameshindwa kuipapatuwa Zanzibar. Nifahamisheni vipi Rais Dkt Ali Mohammed Shein ataweza kuikomboa Zanzibar?NA YEYE MAJUZI TU KATUAMBIYA WAZI WAZI KUWA NILIPOAPISHO KUWA RAISI NILIAPA NITAULINDA MUUNGANO JE HUYU KWELI NI WAKUMTEGEMEYA KUTUKOMBOWA KTK MAKUCHA YA WAKOLONI WATANGANYIKA.....? Hivi sasa Tanzania Bara imekuja na solution moja tu ya kulitatuwa jinamizi la Muungano. Kuifanya Zanzibar igeuke iwe kama Mombasa ndani ya Kenya kwa kupitia Muswada wa Katiba na kwa ridhaa za Wazanzibari. Hakuna njia mbadala isipokuwa Zanzibar kujitenga na kujitangaza Jamhuri ya Zanzibar. Tatizo kubwa ni kuna baadhi ya Wazanzibar wana khofu mishahara italipwa na nani na nafasi zao za baadae zitakuwaje. Hawa ndio wa kutolewa khofu. Kama inavyosema Quran, shetani anamtia binaadamu khofu ya umaskini. Bila ya kuinusuru Zanzibar hapa ilipofika hakutokuwa na fursa nyengine ya kuikomboa ndani ya uhai wetu au hata wa wajukuu zetu. Zanzibar ina utajiri wake wa mali asili na watu wake ambao wametapakaa dunia Zanzibar. Kama hatukufanya hivyo basi tujitayarishe na mikakati ambayo tayari inayafanyiwa kazi na wapangaji kutuvurugia yote tulioyafikia mpaka hivi sasa ili tushindwe kuendelea na Agenda ya Zanzibar ili wao waweze kuendelea na Agenda ya kuulinda Muungano.
Bara wanataka lazima Muungano uhifadhiwe mpaka ifikapo 2015, na mpaka itakapofika 2020, na mpaka itakapofika 2025, na mpaka itakapofika 2030…................................................................................
HAKUNA TENA KESHO WALA MWAKANI WALA KATIBA NCHI ZNZ TUIKOMBOWE KTK MIKONO YA HUU MKOLONI MTANGANYIKA WAKATAKA WASITAKE WAITOWE NCHI
                                                              ZANZIBAR HURU

No comments:

Post a Comment