Monday, March 31, 2014

KAMISHAN HAMDANI KABLA HUJAWASHUGHULIKIA GAZA ANZA NA CCM NA KISONGE YAO KAMA WEWE KWELI UNAFATA SHERIA LA KAMA NA WEWE NI KAMA MUSSA MAJINO MBAMBAISHAJI TU BASI UMECHELEWA


Kama wewe Kamishna wa Polisi nchini Zanzibar, Hamdani Omar Makame unataka kufuata nyayo za Mussa Mejino basi fuata utaona na wewe, kua ufanye hujuma hapa nchini Zanzibar halafu ukimbizwe Bara kama Mussa Meno au sio...?
Ujuwe ukileta hujumu yoyote basi tutakula na wewe sahani moja na kwenda sambaba na hao vipolisi mkojo wenu gangaja wako, hii sio ile generation tena ya kukubali kutawaliwa kimabavu na viticho au kama na wewe unakutamani THE HAGUE sawa.
Na hao Wasaliti basi wakirudi munataka tuwarushie Asumini,viluwa au Mawardi...? tukiwakosa nyiyi tunakwenda sambaba na familia zenu maana tumechoshwa na utawala wa WAKOLONI WEUSI wanakunenepeshini nyie kwa hivyo vishahara kisha munatudidimiza sisi chini.
Ikiwa Hutuba ya Maalim Seif imewatia kizaazaa ule ndio ukweli na ndio maana unauma mukiambiwa ukweli inawauma nyiee...? mbona UVccm Uingia na Mabango ya Matusi kuwatukana Viongozi wakumbwa wakubwa na matusi makubwa makubwa wa Upinzani na Kutukana katika viriri hamuja washuhulikia.....?
Juzi Juzi katika Luninga ya TBC tulimuona Mbunge wa Magomeni akisema muelekeo wetu Wazanzibar ni kwenda Kwenye Serekali 1 nani kamtuma na Mbona hamuja Mzibiti.....?
Basi kama munaanza kampeni na mapema basi sisi tutazimaliza na mapema musituchokoze.
KILA MOJA ASHIKE ADABU YAKE NA ADABU IMSHIKE NI HAKI YA WAZANZIBARI KUONYESHA NINI WANAKITAKA KATIKA NCHI YAO HAKUNA MTU ALIYE VUNJA NYUMBA YA MTU WALA BASKILI HAO ASKARI WAKO WALIWAMWANGIA WATU MAJI YA KUWASHA PALE MSIKITI WA MCHANGANI TENA WATU WALIKUWA WAKIOMBA DUWA NDANI YA MSIKITI NA KUVUNJA NYUMBA ZA WATU MILANGO NA KUPINGA MABOMU YA MOSHI NDANI YA NYUMBA ZA WATU NA KUIBA VESPA,BASKILI,VISIAO NA VI 50 MBONA HAWAKUCHUKULIWA HATUWA HAO ASKARI WALIO VUNJA SHERIA ZA HAKI ZA BINADAMU..? MUSITULETE UPUMBAVU UMEKUJA KWA AMANI KAA KWA AMANI LA KAMA UNATAKA SHARI BASI KARIBU WAZIO WAKO WAPI....? MAHONDA WANAWAKE WAPINGWA NA KUVULIWA HIJABU NA BENDARA INAJINA LA M/MUNGU WAKAFANYA WALIVYO FANYA MBONA HAWAKUCHULIWA HATUWA NA ULE NI UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU...?
KAONDOKA MIJINO SASA TUNA HAMDANI...........................

KAMISHNA HAMDANI KISONGE HIYO VIPI UPOO ...?

HAMDANI UPOO JE MZEE KARUME ALIUNGANISHA UNGUJA TU NA TANGANYIKA KWELI....? KAMA SIO KWELI JE HAWA HAWAJAVUNJA SHERIA JE UTATOWA POLISI WAKO WAKAWASHUGHILIKIYE....?ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA

MAENDELEO HAYOO YA CCM 2014 BADO WATOTO WA SKULI WANAKA CHINI

UMEME BEI JUU ZIMA WASHA ZIMA WASHA,MAJI SAFI HAKUNA,HOSPITALI SAFI AU MPYA HAKUNA,ELIMU BOVU NA WANAFUNZI WANAKA CHINI CHAKULA BEI JUU NA MICHELE MIBOVU WANASEMA WATOTO WAO WANAZIDI KUWA MASIKINI NA WATOTO WETU WANATAJIRIKA AU WANAKUWA VIONGOZI KAMA SISI N.K. TUFANYEJE JAMANI TUCHEKENI  HAHAHAHAHHAHAHAHAHA AHA HAHAHAHAHAH

MAENDELEO HAYO CCM 2014

KAMISHNA UPOO USHINDI LAZIMA HATA WAKISHINDWA BASI KWA LAZIMA JE UTAWASHUGHILIKIA HAWA WASIHARIBU AMANI.KAMISHNA HAMDANI

KAMSHNA HAMDANI UPOOO AU UNAUMWAAAA UPOOO AU UMELALALALALALA

HILI ABUU JAHALI LA ZANZIBAR HUTUKANA VIONGOZI MPAKA LIKATOKWA NA POVU LA ULEVI MDOMONI MBONA HUJALICHUKULIA HATUWA ZA KISHERIA KAMSHNA HAMDANI...?

MAENDELEO YENYEWE YAKO WAPI...? MIAKA 50 MAJI MPAKA LEO YANATOKA USIKU WA MANANE TU UMEME ZIMA WASHA ZIMA WASHA UTAFIKIRI TUKO KOMBA DISCO UBUYU UBUYU SASA ATI NI SHILINGI ELFU MOJA HATA SOMALIA KUNA VITA MIAKA 27 SASA BASI HAWAJAFIKIA HALI HIYO NDIO MAENDELEO HAYO..?

Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame JE HAWA UNAWAOGOPA AU PIA UTAWACHUKULIA HATUWA ZA KISHERIA...?

KAMISHNA HAMDANI OMAR MAKAME JE HILI BANGO HULIONI...? AU UNAWAOGOPE MAANA WAO NDIO WANAOKUPA TONGE...?

KAMISHNA HAMDANI HAWA WENGINE HATA MAMA ZAO NA BABA ZAO HAWAWAJUWI HAYA KAMA SIO WAZIMU WA AKILI NINI KAMINSHA HAMDANI...? TUPE JIBU

WATU WANATAKA UMEME WA UHAKIKA SIO WA KUZIMWA ZIMWA NA MWISHO WA MWEZI BILI MILLIONI MOJA WAKATI MTU HATA PESA YA MKATE HANA NYINYI MNAMPA JAZI NA MIPIRA WATU WANATAKA MAJI SAFI MNAWAPA JAZI NA MAJI YA KUFULIA HIZO JAZI ZIKICHAFUKA HAWANA KAMA SIO UJUWA NINI...? MAJI MAJI SIO YAKUTOKA USIKU WA MANANE KAMA WACHAWI NINI TUNAKINGA MAJI .HOSPITALI MPYA SIO LILE MNAZIMOJA KAMA JUMBA LA KUEKTIA MICHEZO AU FILAMU ZA KUTISHA

WATANGANYIKA MUSIOGEPE DAINI NCHI YENU KWANZA TANGANYIKA YANU WALIKO IFUKIA WAKAIFUKUWE MUKISHAPATA TANGANYIKA YANU MUCHANGUWE VIONGOZI WAZURI WANAO JALI WATU SIO CCM KILA SIKU NCHI MASIKINI HUKU WAO NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO WANAPONDA MALI ZOTE TANZANIGHT,THAHABU,ALMASI,GASI QATAR IN GASI TU NA WOTE WAMETAJIRIKA,SAUDI ARABIA INA PETROLI TU NA WOTE MATAJIRI KWANINI NYINYI TANGANYIKA MUENDELE KUZA MITUMBA NA KUWA MASIKINI KILA SIKU MUSIKUBALI CCM MUIGOWE TU NDIO MTAFANIKIWA LAA SIVYO NYINYI WANENU WAJUKUZENU WOTE WATAKUWA MASIKINI DAIMA NA WATOTO WA VIONGOZI WANARIDHISHANA KAMA WAFALME VILE BABA AKIONDOKA MTOTO SASA NDIO MBUNGE AU RAISI AMKENI MUSITUCHUKIYE WAZANZIBARI HATUNA NIA MBAYA NA NYINYI ILA VIONGOZI NDIO WABAYA AMKENI AMKENI.

WAZANZIBARI WATANGANYIKA MPAKA LINI MAISHA HAYA MBONA WATOTO WA VINGOZI WAO HAWAWI KAMA HIVI...?

No comments:

Post a Comment