Thursday, March 6, 2014

MZANZIBARI POPOTE ULIPO DUNIANI WAJUWE VIONGOZI WANAO TETEA NCHI YETU YA ZANZIBAR ITOKA KATIKA MAKUCHA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA


MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA,WAHAFIDHINA MSITAKE KUSHINDANA NA WATU WALISHIKANA NA KAMBA YA M/MUNGU MTAUMBUKA KAMA ALIVYO UMBUKA FIRAUNI.ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA

SHEIKH MSELEM

SHEIKH MUSSA-TUACHIWEEEE TUPUMUWEEEE

SHEIKH AMIR FARID-NCHI KWANZA VYAMA BAADAYE MSIMAMO NI ULE ULE MPEKA KIELEWEKE.

SHEIKH AZZAN-MUSITUKERE AU PATAKUWA HAPATOSHI HAPA

TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR HATUTAKI USANI WA VYAMA VYA SIASA NCHI KWANZA VYAMA BAADAYE WAZANZIBARI TUMSHUKURU M/MUNGU KWA NGUVU ZAKE KUWATOWA MASHEIKH WETU JELA NA TUWAPONGEZE MASHEIKH WETU KWA UJASIRI WAO.
WALE WOTE WASIO TAKA MUUNGANO FEKI NA KUWA WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WANYOSHE MIKONO JUU


WAZANZIBARI HATUTARUDI NYUMA MPAKA TUPATE NCHI YETU YA ZANZIBAR

WAKINA MAMA,KINA DADA WOTE WANATAKA ZANZIBAR YETU MKOLONI MWEUSI HUFAHAMU LUGHA AHAA KWELI KISWAHILI SIO LUGHA YAKO NDIO MAANA HUMUFAHAMU.

SISI WAZANZIBARI TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA HATUTAKI KATIBA WALA MUUNGANO FEKI TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR NCHI KWANZA NCHI KWANZA

MZEE MOYO AU BABU-NI NANI ANASEMA KUWA ZANZIBAR HAIWEZI KUJILIDA EEBOOO

MAALIM SEIF-SAWA SAWA SAWAAA NGANGARI TU

AMANI KARUME-MWENZAKO AKIWA NA MAWAZO TAFAUTI MVUMILIYE NDIO DIMOKRASIA SIO UKASIRIKE UTAKE KUPIGANA MSIWE NA VICHWA VYA SAMAKI

JUSAA-2015 HAKUNA CHA NINI WALA NINI TUNACHUKUWA TU WALA MUSITUTAFUTE

EDDIE RIYAMA-KAMA KIONGOZI HATETEI MAMLAKA KAMILI YA NCHI YETU YA ZANZIBAR AKIRUDI TU DELETE FUTAKABISA HATUFAI HATUFAI.

MIMI NDIO MANSOUR YUSUF HIMID MSINIPE POLE BALI NIPONGEZENI


M/MUNGU AWALINDE NA ATULINDE SISI WAZANZIBARI SOTE NA MADUWI,WANAFIKI,VIBARAKA,WAHAFIDHINA,VITUMWA WA MKOLONI MWEUSI NA WANAO SHIRIKIANA NA MKOLONI MWEUSI KUTAKA KUIANGAMIZA NCHI YETU YA ZANZIBAR M/MUNGU AWAFEDHEHESHE HATHARANI KILA ALIYEKUWA ADUWI WA NCHI YETU YA ZANZIBAR NA VIBARAKA WAO M/MUNGU ATUPE USHINDI WA NCHI YETU NA TUISHI NA VIZAZI VYETU SALAMA USALAMINI BILA YA THULMA,UNYANYASAJI,UBABE,UTAWALA WA MAGUVU NA KUWA HURU KUABUDU M/MUNGU BILA YA HOFU WALA VITISHO WALA MASHARTI AMIIIN.

3 comments: