Friday, May 16, 2014

NCHINI ZANZIBAR 1964 HAYA NDIO MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU NYIEE...??

MAITI ZA WAZANZIBARI WALIO PINGWA RISASI 1964 LEO HII WANASEMA YALIKUWA MAPINDUZI MATUKUFU ASTAHAFIRU ALLAH
JOHN OKELLO NA WAUWAJI WENZAKE WAKIPIGA PICHA ZA KUFURAHIA KUWAUWA WAZANZIBARI SIO NA HATIA NA KUWAPINDUWA KATIKA NCHI YAO
JOHN OKELLO AKIENDELEA KUPINGWA PICHA YEYE NA WAUWAJI WENZAKE NCHINI ZANZIBAR BAADA YA KUWAUWA WAZANZIBARI
HAWA NI BADHI YA WAZANZIBARI WALIO KUSANYWA NA KUONGOZWA KWENYE MAFICHO AMBAYO WALIPINGWA RISASI NA NDIO ITAKUWA MWISHO WA MAISHA YAO M.MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI KWA KUDHULUMIWA ROHO ZAO
HAWA NI BADHI YA MAMIA YA WAZANZIBARI WALIO ULIWA KATIKA HAYOO LEO YANAITWA MAPINDUZI MATUKUFU.... ASTAHAFIRU ALLAH KISHA MUNAJITA WAISLAMU.
HAWA NI BADHI YA MAMIA YA WAZANZIBARI WALIO ULIWA KATIKA HAYOO LEO YANAITWA MAPINDUZI MATUKUFU.... ASTAHAFIRU ALLAH KISHA MUNAJITA WAISLAMU.
MTAKWENDA MWAMBIA NINI NYINYI M,MUNGU....?
MNAKA MUKIHARIBU MAPESA CHUNGU MZIMA ATI MNAFURAHI KULIWA KWA WATU
WAZANZIBARI WALIO ULIWA NA KUFUKIWA KATIKA KABURI MOJA MWAKA 1964 AMBAYO LEO WATU WANASHEREHEKEA NA KUYAITA MAPINDUZI MATUKUFU.
HIVI KWELI NYINYI MNA AKILI KWELI..??
HAWA NI WAZANZIBARI WANAO JARIBU KUKIMBIA KWA JIA YA BAHARI NA VIBOTI NA NGARAWA ILI WASIULIWE NA HAO WAWAJI LEO WANASEMA NI MAPINDUZI MATUKUFU ASTAHAFIRU ALLAH
HIZI NI MAITI ZAWAZANZIBARI KATIKA FUKWE ZA BAHARI AMBAO HAWAKUWAHI KUKIMBI NA MABOTI  WALA NGARAWA NA KUULIWA KATIKA FUKWE  HII M.MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI
JOHN OKELLO BAADA YA KUMALIZA MAUWAJI YAKE NA UKIRITIBWA WAKE AKIWA TAYARI KUMKABIDHI NCHI MZEE KARUME NA BABU HAKUJUWA KUWA NA YEYE ATATIMULIWA KAMA KUKU
JOHN OKELLO BAADA YA KUWAUWA WAZAZI WETU NA KUWANAJISI MAMA,DADA,ANTI ZETU AKAMKABITHI MZEE KARUME NA BABU NAO WAKAMGEUKA MAANA WALIKUWA HAWANA HAJA NAE TENA NA KUMDANGANYA ANAITWA NA NYERERE ALIPOFIKA DAR ES SALAAM AKISHIKWA NA POLISI WA TANGANYIKA NA NYERERE KUMPA MASAA ATOKE KABISA KATIKA NCHI YAKE YA TANGANYIKA HII NI PICHA KUONYESHA SIKU HIYO ALIYO SHIKWA NA KUTIMULIWA NJE YA NCHI YA TANGANYIKA
BWANA MKUBWA ANAYE YAITA MAPINDUZI MATAKUFU HUYO KULA ULUWA WAKO TU WA HARAMU NA KUSHEREHEKEA MAUWAJI YA WAZANZIBARI WASIO NA HATIA KISHA SIKU YA IJUMAA UNAJIDAI KUFUNGA SWALA.
M.MUNGU ANAKUTIZAMA TU FIRAUNI YUKO WAPI..? HITLER YUKO WAPI..? MZEE KARUME MWENYEWE YUKO WAPI....? ITAKUWA WEWE.
SIKU YA MSIBA WAO WANASEMA NI SIKU YA FURAHA NA KUSHEREHEKEA KULIWA KWA WAZANZIBARI WASIO NA HATIA SIKU MUKINGIA MAKABURINI MWENU MTASHEREHEKEA VIZURI KABISA NA SIKU YA KIYAMA NDIO KABISA.
AKITOWA HUTUBA YA KUYASIFU MAUWAJI YA WAZANZIBARI AMBAYO YEYE ANAYEITA MAPINDUZI MATUKUFU UTUKUFU KUUWA WATU WASIO NA HATI..?? UTUKUFU KUWANAJISI WANAWAKE..? UTUKUFU KUWACHUKUWA WARI WAWATU BILA ITHINI ZA BABA ZAO NA KUJIDAI NI WAKE ZENU..? UTUKUFU KUIBA MALI ZA WATU NA KUWAUWA..? UTUKUFU KUNYANGANYA MASHAMBA YA WATU NA KUYAKATA HEKA..? UTUKUFU KUWAVUWA WATU NGUO NA KUWANIKA BARABARANI..? UTUKUFU KUWANYOWA WATU NDEVU NA NYWELE NA KUWAPIGA MIKWAJU BARABARANI UCHI WA MNYAMA AU UCHI MBELE YA FAMILIA ZAO NDIO NYINYI MUNAITA MAPINDUZI MATUKUFU..?No comments:

Post a Comment