
Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na watendaji wengine katika chakula alichokiandaa, baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake

Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akijumuika pamoja na baadhi ya watendaji katika chakula alichokiandaa baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake

Baadhi ya watendaji wa ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar, wakijipatia chakula katika dhifa maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake
MABEMBE, MIHOGO, MAJIMBI, N.K YAMETUCHOSHA WANANCHI.
No comments:
Post a Comment