Monday, January 12, 2015

SHEIN UNAMKUMBUKA GADDAFI,BEN ALI,SALEH,BAGBOW,IDDI AMINI,FIRAUNI,HAMAN N.K. WAKO WAPI LEO ITAKUWA WEWE


Rais wa Maskani ya Kisonge nchini Zanzibar,  Shein, amesema hakuna kikundi chochote chenye ubavu wa kuiondoa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile ya Mkoloni Mweusi Tanganyika inayo taka kuigauza nchi ya Zanzibar kuwa KITONGOJI cha NCHI ya Tanganyika ((Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)) na kuonya kuwa atakayethubutu kupanga suala hilo atakiona cha moto.(unajitisha shein hata bado tayari unajitisha mwenyewe)
Aliyasema hayo juzi wakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambao walitembea siku sita ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Kupinduliwa nchi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964. Dk. Shein alisema hakuna mtu wala kikundi kitakachoweza kuzipindua serikali hizo mbili na kwamba wale wenye mawazo hayo wanatakiwa kuyaondoa, kwani zinaongozwa chini ya vyombo vya ulinzi na usalama.((shein weeee unajidanganya na jeshi la machongo wao wenyewe wonga ile mbaya vita vya uganda viliwatowa mavi mpaka wakaja kutuchukuwa sisi wazanzibari tukawakombowe wewe ndio tumaini lako ama kweli mwenye macho hambiwi tizama))
“Nimesikia lugha za kejeli kwenye majukwaa. Wayapime matamshi yao kabla ya kuongea. Hao ambao wanasema wanataka nchi yao waonyeshe nchi yao iko wapi na je walimpa nani.......?”alihoji Dk.Shein.
NAMNUKU SHEIN.....njia pekee ya kuingia madarakani, ni kupitia uchaguzi mkuu kwa kufuata demokrasia. JE WEWE UCHANGUZI WA 2010 ULIFUATA DEMOKRASIA....?? BAADA YA KUSHINDWA NA SOTE TUNAJUWA HILO NA WEWE UNAJUWA NA PIC HII USHAHIDI.
Alisema njia pekee ya kuingia madarakani, ni kupitia uchaguzi mkuu kwa kufuata demokrasia bila hivyo hakuna mwenye jeuri ya kufanya lolote na Mapinduzi hayawezi kuvunjwa. Rais Shein alisema Zanzibar ni nchi ya wananchi wote na siyo ya kikundi, hivyo viongozi wa kisiasa wanaotoa matamshi ya vitisho na kejeli waache kufanya hivyo.
SHEIN UMEWAFUNGISHA JELA WAZANZIBARI BILA YA KOSA LOLOTE ILI UMFURAHISHE MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KAA UKIJUWA SALMIN COMANDO WA UDONGO YUKO WAPI..? MZEE KARUME YUWAPI...? HUYO BABA YAKO NYERERE YUWAPI..? KAA UKIJUWA HAYAISHI HAPA DUNIANI KUNA AKHERA INAKUSBIRI.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment