Saturday, February 21, 2015

CCM INAWENYEWE NA PUMZI,ZANZIBAR,DUNIA INAMWENYEWE,KIFO CHA SALMIN AWADHI SALMIN NI ONYO MUNAONYWA CCM ZANZIBAR NA M.MUNGU

IMG_7793
MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMINI NDANI YA JENEZA UKIANGWA KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI NCHINI ZANZIBAR CCM GOGO.

IMG_7780BAADHI YA WAWAKILISHI NA WABUNGE KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI WAKIUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMINI HUKU WAKIWA TUMBO JOTO NA HOFU KUBWA KATIKA NYUSO ZAO.
IMG_7787
BADHI YA WAWAKILISHI NA WABUNGE WAKITAFAKARI KUWA DUUH SIJUWI LINI ITAKUWA SIKU YANGU HUKU WAKIWA TUMBO JOTO.
IMG_7788
BADHI YA WABUNGE NA WAWAKILISHI WAKIWA NA HOFU NA HUZUNI NA TUMBO JOTO
IMG_7775
VINGOZI MBALI MBALI KUTOKA NCHI YA TANGANYIKA WAKIHUDHURIA BARAZA LA WAWAKILISHI KUWANGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMIN CCM GOGO.

ATII KADHI MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR KADHI AU JAAA MSAKA TONGE KHAMISI HAJI KHAMISI KAMA KADHI KWELI MWAMBIE SHEIN NA KIKWETE AWATOWE MASHEIKH KATIKA JELA YA TANGANYIKA AKIONGOZA SALA YA KUUSALIA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMIN, KATIKA MASJID MUHAMMAD MOMBASA KWA MCHINA NCHINI ZANZIBAR,KATIKA SALA HIYO IMEHUDHURIWA NA SHEIN, MAKAMO WA RAISI WA NCHI YA TANGANYIKA GHARIB, RAISI MSTAAF WA NCHI YA ZANZIBAR AMANI KARUME,RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD,BALOZI NDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA IDDI NA VIONGOZI MBALI MBALI WA VYAMA VYA SIASA KUTOKA HAPA NCHINI ZANZIBAR NA NCHI YA JIRANI TANGANYIKA.


SHEIKH OTHMAN MAALIM AKISOMA DUA BAADA YA KUUSWALIA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMIN,CCM GOGO KATIKA MASJID MUHAMMED MOMBASA KWA MCHINA NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI MBALI MBALI NA WANANCHI.


VUAI ALI VUAI AKIWA TUMBO JOTO HUKU AKITIKIA DUWA NA BAADHI YA VIONGOZI NA WANANCHI BAADA YA KUUSWALIA MWILI WA MAREHEMU KATIKA MASJID.

SHEIN TUMBO JOTO HUKU  AKILINGALIA JENEZA VIZURI KABISA NA KUFIKIRI DAAH! IPO SIKU NITAINGIA AU NITAKUWA MIMI MULE SHEIN WATOWE MASHEIKH JELA YA TANGANYIKA NAKUSIA,MAKAMO WA RAISI WA NCHI YA TANGANYIKA GHARIB, AKISALIMIANA NA RAISI MSTAAF WA NCHI YA ZANZIBAR AMANI ABEID KARUME BAADA YA KUMALIZI KUISWALIA MAITI KATIKA MASJID YA MUHAMMED MOMBASA KWA MCHINA NCHINI ZANZIBAR.


WANANCHI BILA YA KINYONGO WAKISHIRIKIANA KUMSINDIKIZA MAREHEMU SALMIN CCM GOGO KATIKA NYUMBA YAKE MPYA NYUMBA AMBAYO SOTE TUTAINGIA NA TUNA MASWALI MENGI TUTAULIZWA NA TUNATAKIWA TUYAJIBU KILA MOJA AJUWE NYUMBA HIYO INAMSUBIRI KWA HAMU.


ASKARI WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAKIBEBA JENEZA LILILOKUWA NA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADHI SALMIN WAKIWA KATIKA KIJIJI CHA MAKUNDUCHI WILAYA YA KUSINI NCHININI ZANZIBAR TAYARI KABISA KUIWEKA MAITI YA SALMIN AWADHI SALMINI KATIKA NYUMBA YAKE MPYA.


SHEIN AKISALIMIANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM NCHINI ZANZIBAR VUAI ALI VUAI WOTE WAKIWA TUMBO JOTO NA HOFO TELE WALIPOFIKA KUTOWA POLE ILIYOKUWA NYUMBA YA MAREHEMU SALMIN AWADHI ILA SASA ANA NYUMBA MPYA YA KABURI HII KAWACHA HAPA.KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment