Wednesday, April 23, 2014

HAKUNA NCHI ILIYO PEWA UHURU NA MGEREZA IKITWA TANZANIA WALA TANZANIA BARA NI TANGANYIKA MTAKE MSITAKE NI TANGANYIKA

UsdZ4xZM
mbona mmoja wa waasisi wa Muungano, Nyerere, aliwahi 

kusema ikiwa Wazanzibari hawautaki Muungano ---- 

watakuwa na haki ya kujitenga na kwa sababu hiyo Serikali 

ya 

Muungano haitakuwa na haki yoyote kuwalazimisha kubaki 

katika Muungano huo??? maneno hayo yamerudiwa tena na 

tena mara kwa mara na Viongozi mbali mbali na hata 

mwanasheria mkuu wa chadema, tundu lissu, katika bunge la 

katiba mpya, alipomnukuu nyerere aliposema hivyo mwaka 

1968. je nyie Watanganyika mumekuwa sumuuni bukumuni 

umiyuni fahumlaa yarjiuni....?

ni mara nyingi sasa Wazanzibari tumekuwa tukiwasikia 

Viongozi wengi wapumbavu wa kitanganyika wamekuwa 

wakijidai kuwa hawaijuwi Tanganyika na wengine pia kusema 

kuwa wamezaliwa wakati wa Tanzania kwa hiyo wao 

hawajuwi kabisa nchi itwayo Tanganyika je hamusomi vitabu 

je hamuna maintaneti majumbani kwenu je babu zenu 

hawajawahadisia au ni kujitia hamunazo tu au munalioneya 

aibu jina la Tanganyika..? leo ndio nimeona ni bora niwaeke 

hapa hili bendera lenu na jina la nchi yenu na mwaka wa 

uhuru wenu mutokwe na huo upumbavu na ujuha ulio waja 

katika akili zenu na kuanza kuijuwa nchi yenu ni tanganyika 

sio tanzania wala sio tanzania bara bali ni tanganyika ndio 

jina 

la nchi yenu. au hamulipenda kwakuwa wakoloni wenu 

waliokuwa wakiwauza ndio walio wapa..? mjerumani aliwaita 

tang kisha mgereza alipo mtimuwa mjerumani na kuchukuwa 

nchi na kuendeleza biashara ya utumwa akasema sasa sio 

tang tena bali ni tanganyika kwa hiyo jina lenu ni lautumwa 

mlilopewa na mabeberu wenu walio kuwa wakiwauza kwanza 

mjerumani kisha mgereza ndio maana munalichukia sio basi 

ndio jina lenu mtafanya nini..?

2 comments:

  1. Nyie wala ulojo tuta watawala mpaka akili ziwakae sawa pumbavu zenu nyie, na mwakani tunawaongezea wanajeshi wengi zaidi wakati wa uchaguzi

    ReplyDelete
  2. Ni kwa upumbavu wenu ndo mana mnaburuzwa, laumuni nafsi zenu, matusi yako hayatosaidia kitu, muhimu kupambana !

    ReplyDelete