Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mh Ali Keissy (CCM)
FREE ZANZIBAR INAKUPOGEZA SANA MH ALI KEISSY
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Mh Ali Keissy (CCM), ‘ameiweka hali ya hewa kuwa safi kabisa ndani ya bunge’ bungeni, akisema bila muundo thabiti wa Muungano wa Serikali tatu, Zanzibar itaendelea kuinyonya Tanganyika na ni kweli maana ile mibunge iliyo jaa kutoka Zanzibar inakula bure tu.
Kauli hiyo ambayo ni kinyume na msimamo wa chama chake cha CCM, inayopigania muundo wa serikali mbili, jana ililitikisa Bunge Maalum la Katiba, ambako wajumbe kutoka Zanzibar watapia mlo wasio shiba wasio juwa karaha wala vibaya walichachamaa wakimvurumishia maneno ya kejeli na kutaka kumpiga baada ya kuona Mh Ali Keissy anataka kuwatowa tonge mdomoni, hatua iliyosababisha atolewe ukumbini chini ya ulinzi mkali hadi nje ya eneo la Bunge ili kumnusuru.
Sambamba na tukio hilo, pia wajumbe wengi walipoteza muda mwingi wa mjadala kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakisema kuwa hotuba yake ya kutaka kuitisha maandamano ya kupinga Bunge la Katiba ni uchochezi na hivyo kuomba uongozi wa Bunge utoe kauli.
Kama vile sinema, Mbunge wa Mbinga Mashariki, Kapteni mstaafu John Komba (CCM), alisahau kauli yake kwamba atakwenda msituni kupindua Serikali ikiwa muundo wa Serikali tatu utapita, badala yake akamshambulia Mbowe kwamba kauli yake ya kutangaza maandamano na migomo ni kuingilia jukumu la Amiri Jeshi Mkuu kwa kutangaza vita, halafu serikali inakaa kimya.
Licha ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuwabeba dhahiri baadhi ya wajumbe waliyokuwa wakimshambulia Mbowe kwa kuwaacha wazungumze hata baada ya dakika kumi zao kuisha, tukio la Keissy lilionekana kumkera na kuingilia kati kuwapa nafasi baadhi ya makada wa CCM kusafisha hali ya hewa.
ALIVYOANZA KEISSY KIBOKO YA WAZANZIBARI WATAPIA MLO WALIO BAKI BUNGENI NA KULA BURE
Mjumbe huyo ambaye msimamo wake uko wazi kwa kutokubaliana na serikali mbili zinazopigiwa chapuo na chama chake, alianza kwa kumsifu Mwenyekiti wake wa kamati namba moja, Ummy Mwalimu, akisema ni mwanamke jasiri anayefaa kugombea hata urais kwa jinsi alivyowaongoza vizuri.
Hata hivyo, wakati wajumbe wanawake wakimshangilia kwa makofi, Keissy aligeuka na kugusia muundo wa muungano, akisema kwamba huwezi kuzungumza katiba bila kujadili msingi wa muungano ili kuweka bayana ukweli.
“Ukweli lazima uwekwe wazi ili vizazi vijue na kila mtu abebe mzigo wake. Tanganyika imekuwa ikibebeshwa gharama za Zanzibar, tuna wabunge 83 wa Bunge la Jamhuri wanagharamiwa kila kitu wao, wake zao, waume zao familia zao na Serikali ya Tanganyika,” alisema.safi sana Keissy
Keissy aliongeza kwamba, jambo baya zaidi ni kwa serikali ya Zanzibar kutoweza kuchangia hata senti katika mfuko wa fedha wa pamoja na hivyo kusisitiza kwamba, muungano lazima uwekwe wazi kila mtu agharamie kadiri anavyotumia.
“Hili la Wazanzibari kutochangia gharama za muungano katuambia Gavana Beno Ndullu alipokuja kwenye kamati yetu, sasa tuache kujenga nyumba juu badala ya kuimarisha msingi, huu ni mfumo wa vyama vingi sio kama wakati ule wa chama kimoja wakati wa Nyerere,” alisema Keissy.
Alihoji kwamba, hata katika muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na CCM, ni vigumu Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa kwanza wa Rais atakayekaimu nafasi endapo rais hayupo, kwani hakuchaguliwa na Tanganyika na Wazanzibari ((Watanzania)) wote.
Hata hivyo, wakati Keissy akiendelea kujenga hoja zake, wajumbe wengi kutoka Zanzibar wenye njaa wasio shiba walafi walipo ona tonge inawatoka waliinuka na kuomba kumpa taarifa huku wengine wakiomba mwongozo wa kiti, wakidai mjumbe huyo anapotosha na kuwatusi kwa kauli za kibaguzi.((zakibaguzi anawapa ukweli murudi nchini kwenu mkalime karafu na mashelisheli wacheni kula bure huku mukiwanyonya wananchi wa nchi hizi mbili na nyinyi mukivimbiana na kucheza upatuu bungeni))
Keissy alipangua hoja zao hata kabla ya kiti kutoa mwongozo, akiwataka watulie huku akisema subirini subirini nimalize huku akisema kwamba, hata Bunge hili la Katiba Zanzibar haijachangia, kauli iliyozidisha jazba za waroho wakubwa hao wa kutoka Zanzibar kwa ukweli alio kuwa akiwapa Mh Keissy Wazanzibari walichanganyikiwa na wakanza kumuita ‘chizi’ na wengine kudai akapimwe.((hawajuwi kuwa machizi ni wao na wakupimwa ni wao mwanasheria mkuu wa nchi ya Zanzibar ashatoka nyinyi mnasubiri nini kama sio njaa isiyo isha nyinyi ndio wakupimwa hayo matumbo yenu.
“Mimi sio chizi bali machizi ni nyie Mh Keissy aliwajibu na kuendelea mnaokubali kubebwa tu bila kuchangia,” alisema Mh Keissy, kauli ambayo ilimfanya mjumbe mmoja kusimama na kumpa taarifa kwamba muungano umedumisha umoja na kwamba licha ya mbunge huyo kuwa na asili ya Kiarabu ya Pemba bado habaguliwi.
Kabla hata mjumbe huyo kumaliza taarifa yake, Mh Keissy aliendelea tena na kumjibu akisema, asimtukane kwani naye asili yake ni Kongo. Kauli hiyo ilimwinua mjumbe mwingine aliyesema lugha yake inaudhi, inakera na kwamba anapaswa kupimwa akili.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment