Tuesday, July 7, 2015

NEC; HAWANA UWEZO WAKUTAMBUWA WAPIGA KURA HARAMU ZANZIBAR TUNAWATAMBUWA NA TUKIWAFICHUWA MBONA MNATUPIGA RISASI....???


Hakuna njia maalum ya kuthibitisha uraia wa watu katika usajili unaoendelea wa wapiga kura kwa njia ya electroniki, Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) imekiri huko nchini Tanganyika. NEC pia imesema kwamba ni jukumu la wananchi wa maeneo hayo kuwatambua na kuwazuia watuhumiwa wa usajili haramu. Katika mahojiano maalum na wandishi jana jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika na (NEC) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius Malaba alikiri kwamba; “Hatuna utaratibu wa kutambua uraia wa mtu kabla ya kujiandikisha” NEC inakusudia kuweka hadharani kuonyesha majina ya wapiga kura waliosajiliwa ili kuruhusu wakazi wa eneo Fulani kuyawekea vikwazo majina wanayoyatilia shaka,(( mbona Zanzibar tukizui mamluki wenu munao waleta kupiga kura mnatupiga risasi Wakoloni nyie Weusi Tanganyika.)) na kwamba watu hao wataitwa ili kuthibitisha utambulisho wao pamoja na ukaazi,” alifafanua. “Umma utambue, usajili sio mwisho wa mchakato, Majina yote yatapitiwa kuthibitishwa na mawakala husika katika maeneo yao,” alisema watu amabao wanatiliwa shaka watahojiwa, watatakiwa kuleta nyaraka kuthibitisha uraia na ukaazi wao.((huku Zanzibar musha wapa ZAN ID ili tusiwatambuwe ila tunajuwa sisi vya kuwauliza wakiweza kujibu sawa wakishindwa tunajuwa ni mamluki wenu))
Hayo yakitokea wiki iliyopita ,imethibitishwa zaidi ya wageni 12,000 wameandikishwa katika usajili wa wapiga kura ( BVR) katika wilaya moja tu ya Kyerwa na takwimu inaonesha kuna idadi kubwa zaidi katika wilyaya nyengine nchini. “Tunafahamu kwamba kuna wageni wamesajiliwa … ndio maana tumeamua kuthibitisha majina kabla ya kukamilisha zoezi,” aliendelea kusema. Ripoti hiyo ilithibitishwa na Katibu wa wilaya ya Kyerwa Josephat Kakuru, ambaye alisema wahamiaji haramu wengi wameingia kutoka nchi jirani za Uganda, Rwanda na Burundi.(( kama nyinyi Watanganyika munavyo ingia Zanzibar kwa njia ya CCM)) Kakuru, alisema wahamiaji haramu waliosajiliwa kiasi cha 8000 wamepokonywa vitambulisho vyao na kufutwa usajili wao. ((sasa mbona na sisi Zanzibar tukiwapokonya watanganyika vitambulisho vya ZAN ID Vuai analalamika...?)) “Polisi na vyombo vingine bado wanaendelea na kazi juu ya suala hili ,ili kuhakikisha kuwa kadi zote walizopewa wahamiaji haramu zinapatikana na kuchukuliwa hatua inayostahili.((Zanzibar polisi wanashirikiana na waficha nyuso wahuni wa Shein na Haji Omar Kheri kuwapiga risasi wazanzibar wanao zui hao mamluki wenu)) “Wale wote waliohusika katika kashfa hiyo watakamatwa na kupelekwa mahakamani kujibu mashtaka yao,”((Zanzibar wanalindwa na kupelekwa na mabasi na kupewa pahali pazuri paa kulala na kula na kuhaidiwa uchaguzi ukimalizika watapatiwa kazi na nyumba za kuishi)) aliongeza akitoa mfano kwamba hata kama awe ni kiongozi yeyote wa serikali za mitaa ambao atasaidia wahamiaji hao haramu.((Haji Omar Kheri,Shein anajuwa kaufyata,Balozi mkazi,kambi ya jeshi ndizo zinazo tumiwa kujiandikisha na kuhifadhiwa hapa Zanzibar))
Katika hatua kama hiyo, wiki iliyopita watu wanne, ikiwa ni pamoja na Wakenya watatu, walikamatwa na polisi kwa ajili ya kuingia Tanganyika kinyume cha sheria na kusajili mara mbili katika BVR.((Zanzibar kuna Watanganyika,Wakenya,Warundi,Wanyaruwanda na Wakongo wote wamejiandikisha na BVR na wanalindwa na polisi na jeshi na waficha nyuso wahuni)) Kwa mujibu wa afisa uhamiaji Wilayani Bunda , Elizeus Mushongi, Wakenya hao walikamatwa kufuatia habari zilizotolewa na wasamaria wema.((Zanzibar wasamaria wema wanapigwa risasi au jela)) Taarifa fupi kutoka wilaya ya Bunda ilisema ,Wakenya hao walikuwa wamejiandikisha katika vituo zaidi ya viwili,wameshakamatwa na watafikishwa mahakamani mara moja uchunguzi utakapokamilika.((Zanzibar tuna ushahidi wa pic na video na hawakamatwi wanalindwa)) Katika hatua nyingine Mwandishi Renatus Masuguliko anaarifu kuwa, kiasi cha watu watano, ikiwa ni pamoja na mwalimu mmoja wamekamatwa na polisi katika Wilaya ya Nyang’hwale , Mkoa wa Geita kufuatia wizi wa mashine ya kujiandikisha wapiga kura.(( hiyo mashine basi labda ndio wanayo tumia hao CCM kuandikisha mamluki wao hapa Zanzibar)) Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Ibrahim Marwa alisema tukio lilitokea mwishoni mwa wiki katika shule ya msingi ndani ambapo mashine ilikuwa imehifadhiwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Polisi wamethibitisha tukio hilo na kazi ya kuipata mashine((iko Zanzibar njoni muje muichukuwe)) hiyo bado inaendelea,kwa mujibu wa polisi,mahali ilipokuwa mashine hiyo ,hakuna dalili zozote za Mlango kuharibiwa.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-7 July 2015 MAFISADI CCM NA MIAKA 50 YAO YA UFISADI HUU NDIO MWISHO WAO WANAVYO THALILIKA NA KUIBIKA


KINANA NA NAPY CCM YENU NDIO MAFISADI NA NDIO MULIO WAFANYA WATANGANYIKA KUWA MASIKINI HALI DUNI HUKU CCM MUKIJZA MATUMBO YENU.

MACHANGU DOWA WASIO SHIBA-WASAKA TONGE WAMAJI



KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-HABARI - JULY.06.2015 | AZAM TV-VUAI RAMADHANI HIYOOO SAUMU UNAYO...??

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Monday, July 6, 2015

ZEC WAMTEGEZEA JIMBO BALOZI SEIF BAADA YA KUONA KASHAKATALIWA KITOPE


Muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Zanzibar (ZEC) kutangaza majimbo mapya manne na kufutwa kwa jimbo la Kitope, Balozi Seif Ali Iddi ametangaza rasmi nia ya kutaka kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi nchini Zanzibar katika Jimbo Jipya la Mahonda ndani ya Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja. Mahonda   ni moja ya Jimbo jipya miongoni mwa Majimbo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchini Zanzibar { ZEC } kutokana atii na mabadiliko ya ongezeko la  idadi ya watu katika kipindi cha miaka kumi iliyopita pamoja na  uhakiki wa mipaka  katika Wilaya na Majimbo mbali mbali hapa nchini Zanzibar. Nia hiyo ameitangaza wakati akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja nchini Zanzibar, Wilaya ya Kaskazini “B”, Jimbo la Kitope pamoja na Kamati Tekelezaji za Jumuiya ya Vijana, Wazee na UWT ambao alifanya nao kazi kwa karibu  Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa iliyokuwa Ofisi ya Jimbo la Kitope iliyopo Kinduni Wilaya ya Kaskazini “B”.
Mjadala mzito wa Viongozi hao ulionyesha kuridhika atii na utendaji wa Balozi Seif uliopelekea kuzaa mawazo mawili yaliyopingana ya kumtaka agombee katika Majimbo mawili tofauti ya Mahonda na Kiwengwa kwa nafasi moja ya uwakilishi.Akitoa uwamuzi wake baada ya mjadala huo mzito Balozi Seif alisema amemua kugombea nafasi hiyo ya Uwakilishi katika Jimbo jipya la Mahonda kwa vile kwa mujibu wa mkato wa majimbo Jimbo jengine jipya la Kiwengwa upo uwakilishi wa nafasi hiyo unaotokana na jimbo la zamani la Kitope. Balozi Seif aliwaeleza Viongozi hao kwamba endapo CCM itampitisha kugombea nafasi hiyo na hatimae kufanikiwa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda ana mtazamo atii wa kuhuisha uimarishaji wa Maabara za Skuli za Sekondari zilizomo ndani ya Jimbo hilo.((siungeli imarisha hilo lakitope limekushinda utaweza hili)) Mapema Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kaskazini Unguja ambae pia ni Mkuu wa Mkoa huo Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa amewaasa wana CCM kuendelea kujenga tabia ya nidhamu katika kugombea nafasi za uongozi wa ngazi mbali mbali.
Kanal Mstaafu Tindwa alisema wapo baadhi ya wanachama wa chama hicho wanashindwa kuheshimu viongozi wao waliyoonyesha atii jitihada kubwa za kuwatumikia Wananchi((yagujuu labda kuwaibia na kuwadhalilisha na kuwanyima haki zao na kuwapa mamluki)) ambapo wanastahiki  tena kuendelea kuzitumia nafasi hizo katika vipindi vyengine.((ili wandele kuiba na kujitajirisha na kuuwa wote wanao wapinga na kuthulumu wanyonge)) Balozi Seif Ali Iddi tayari ameshatumia jumla ya shilingi za Kitanzania Milioni Mia Tisa (900,000,000/-) ((kazitowa wapi pesa zote hizi mshahara wake kiasi gani...??)) ndani ya Jimbo la zamani la  Kitope katika kipindi cha miaka kumi iliyopita mbali ya shilingi Milioni 130,000,000/- alizopewa kwa ajili ya mfuko wa jimbo. Fedha hizo alizielekeza zaidi katika kuimarisha atii miradi mbali mbali ya maendeleo na ustawi wa Jamii ((mawee)) ikiwemo zaidi sekta ya elimu na ujasiri amali ndani ya Jimbo hilo la zamani la Kitope.(( mawee)) Jimbo Jipya la Mahonda limejumuisha shehia Tisa ambazo ni  pamoja na Matetema, Kitope Mangapwani, Fujoni, Mkadini, Kiomba Mvua, Kinduni na Mahonda yenyewe.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Sunday, July 5, 2015

ASKARI/ WAFICHA NYUSO-RISASI ZARINDIMA MAKUNDUCHI-ZEC HAIJUWI IFANYE NINI MPAKA YAWANDANGANYA WATU KUHUSU UKATAJI WA MAJIMBO NA HAWAYASEMI ZEC IMAJI YACHECHEMIYA

Gari linalotumika na watu wenye kufunika uso
pic+risasi

WAHUNI WA SHEIN WAKIONGOZWA NA HAJI OMAR KHERI NDIO MAANA KAUFYATA KIMYA YUWAWACHI WAFANYE WATAKAVYO NA SISI TUKIMPATA MOJA TUKAMSHUGHULIKIA IPASAVYO UTAMSIKIA SHEIN KATIKA TV NA RADIO ZOTE AKIBWABWAJA.
Mmoja wa majeruhi waliyopigwa risasi, Ramadhani Hija Hassan akiwa katika Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Alipigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura cha Shehia ya Nganani, Makunduchi Unguja nchini Zanzibar jana.Jumapili, Julai 5, 2015 (9:41am)Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi nchini Zanzibar, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na mzozo wa mgawanyo wa majimbo.Vurugu hizo zimetokea baada ya watu waliyokuwa wamekusanyika katika Msikiti wa Kubini kwa madhumuni ya kupinga kazi ya uboreshaji wa Daftari la Wapigakura wakituhumu kuwapo kwa watu wasiyokuwa na sifa za kuandikishwa (mamluki wa kutoka nchi ya Tanganyika) waliyokuwa wakiandikishwa, lakini wakajikuta wakivamiwa na kundi la Wahuni wa Haji Omar Kheri mkuu wa vikosi vya SMZ walio jificha nyuso zao na ambao walikuwa na silaha za moto.

Waliojeruhiwa kwa risasi ni Kheri Makame Hassan (42) na Ramadhani Hija Hassan (29) wote wakazi wa Makunduchi wakati Ali Seif Issa (38), Ali Hassa Hassan (70) kutoka Paje akiwa amepigwa kwa magongo na nondo na kuumia vibaya miguuni, na Hassan Ali Ameir (43). Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti wakiwa hospitali, majeruhi walisema walikuwa katika kituo cha Nganani, Shehia ya Nganani Kusini Unguja ndipo walipokuja watu waliovaa vinyago na kuwaamuru waondoke eneo hilo wakati uandikishaji ukiendelea. “Ilikuja gari na watu waliojifunika nyuso zao wakatuambia tuondoke na sisi tukakataa kwa sababu tulikuwa tunazuia kuandikishwa mamluki (wapiga kura bandia) katika eneo letu.”“Baada ya kubishana pale wakaenda kuchukua gari nyingine wakaanza kutupiga,” alisema Kheri ambaye amepigwa risasi ya pajani. “Watu waliojifunika nyuso walikuja mara mbili na kuondoka kabla ya kufanya shambulio na kufanikiwa kuondoka katika eneo la tukio la Nganani kwa kutumia magari mawili,’ alisema Faki huku akilalamika kusikia maumivu. Shahidi wa tukio hilo, Ameir Mussa mkazi wa Makunduchi, alisema kwamba waliamua kukusanyika eneo la msikiti wakitafakari jinsi ya kuzuia uandikishaji wa wapigakura mamluki, ambao ni pamoja na walio na umri mdogo. “Lilikuja kundi la watu mara mbili na kuondoka…Walikuwa wamejifunika nyuso zao na waliporudi kwa mara ya mwisho walitushambulia kwa kutumia silaha za kienyeji na baadaye kufyatua risasi za moto na kuwajeruhi watu wawili,” alisema Mzee Ameir. Daktari wa zamu wa Hospitali, Seif Suleiman alithibitisha kupokea majeruhi na kusema kwamba katika hatua za awali wanazuia damu kuvuja kutoka kwenye majeraha. Alisema wanaendelea na vipimo ili kujua majeraha hayo yamesababishwa na nini: “Tumewafanyia x-ray ili kujua majeraha yao yanatokana na nini lakini yanaonesha wazi kuwa ni majeraha ya risasi,” alisema na kuongeza: “Kwa kuwa risasi jeraha lake linakuwa ni kitobo kidogo inapoingia lakini kitobo kikubwa inapotokea risasi.” alisema Dk Seif Suleiman. Alisema majeruhi hao wanaendelea vizuri baada ya kutibiwa na wengine wataruhusiwa watakapopata nafuu.“Wapo walioumia sana hao wataendelea kuwepo hospitali kwa sababu wametoka damu nyingi sana na kutoka Makunduchi hadi Mjini ni mbali…kwa hivyo wanahitaji kupumzishwa kwanza hadi hapo watakapopata nafuu,” alisema Dk Seif Suleiman.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kusini Unguja, Juma Saadi alisema kuwa katika mkoa wake kuna uandikishaji wananchi kuwaingiza kwenye Daftari la Wapigakura, lakini hana taarifa za watu kupigwa risasi na kwamba anachojua ni risasi hizo kupigwa hewani na hivyo hazijajeruhi mtu.((nyote wamoja hao wahuni na nyinyi makamanda,makamishna maa nani maa nani nyote ndio hao hao wahuni wa Tanganyika kwani mnafikiri hatuwajuwi)) “Taarifa nilizonazo ni kwamba polisi wamerusha risasi juu kwa bahati mbaya wakati wakijitayarisha kuweka sawa vifaa vyao,” alisema Kamanda Saadi.((kamanda weee mwenyewe weee unaporoja tu)) Hata hivyo, Kamanda Saadi aliahidi polisi kufanya upelelezi wa kina ili kujua ni kina nani wanahusika na urushaji wa risasi hizo ambazo zimewajeruhi wananchi waliokuwepo katika eneo hilo la uandikishaji wapigakura. Majeruhi walipelekwa Hospitali na kupatiwa matibabu na habari zinasema hali ya mmoja wao si nzuri na amehamishiwa Hospitali nyengine kwa matibabu zaidi. Wakati huohuo, kikao baina ya ZEC, vyama vya siasa na wadau kilichokuwa kinafanyika jana mjini Unguja, kilivunjika jana baada ya tume kushindwa kuwasilisha ripoti ya mgawanyo mpya wa majimbo ya uchaguzi. Uchaguzi Mkuu umepangwa kufanyika Oktoba 25, lakini hadi sasa ZEC haijaweza kutangaza majimbo mapya, jambo lililozua mzozo kwenye kikao hicho kilichofanyika Hoteli ya Bwawani. Kikao hicho kilivujika baada ya mwenyekiti wa ZEC, Jecha Firauni Jecha kumaliza kutoa utangulizi kuhusu hatua zilizofikiwa katika kazi ya kutayarisha mipaka ya majimbo.

Alisema kimsingi ZEC tayari imeshamaliza kazi ya kufanya mapitio ya mipaka ya majimbo ya Zanzibar na kwamba wanatarajia kutoa taarifa rasmi wiki ijayo na kuwataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuwa na subira wakati wakikamilisha kazi hiyo. Jecha Firauni alisema kwamba kazi ya kupitia mipaka ya majimbo ilianza kufanyika Juni 9, mwaka jana na kuwapa nafasi wadau wa uchaguzi kutoa maoni yao na hatua iliyobakia ni kutangaza mipaka ya majimbo. Hata hivyo, mwenyekiti wa chama cha AFP, Said Soud alisema kwamba anashangazwa na ZEC kushindwa kukamilisha kwa wakati mwafaka kazi hiyo na badala yake kuendelea kutoa ahadi. “Wakati umefika wa kumshauri Rais wa Zanzibar kuvunja uongozi wa ZEC kwa sababu wanaonekana bado wanavutana na ndiyo maana wanapiga danadana katika kutoa taarifa ya ugawaji wa mipaka ya majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar,” alisema Said Soud.
Mwakilishi wa CCM, Rashid Ali alisema kitendo cha ZEC kuendelea kuchechemea kutoa taarifa ya mabadiliko ya mipaka kimeendelea kuathiri vyama vya siasa kwa wagombea kushindwa kuanza kufanya matayarisho ya wagombea ubunge na uwakilishi katika majimbo ya Unguja na Pemba.
“Kama majimbo ya uchaguzi ni ya wananchi, kwa nini ZEC mnashindwa kufanya kazi ya kupitia majimbo kwa muda muafaka wakati nyie ndiyo wasimamizi wa uchaguzi?” alihoji Rashid Ali wa CCM.

Mkurugenzi wa uenezi na mawasiliano ya umma wa CUF, Ismail Jussa alisema wameshachoshwa kudanganywa na ZEC kuhusu taarifa ya mapitio ya mipaka ya majimbo ya uchaguzi, akielezea kuwa kitendo hicho ni usanii. Alisema kwamba ZEC walitoa ahadi ya kutoa taarifa ya mipaka ya majimbo ifikapo Machi, mwaka huu lakini walishindwa na kuendelea kutoa ahadi nyigine bila ya utekelezaji wake kuonekana, jambo ambalo halionyeshi umakini wa utendaji kazi wa tume hiyo. Akizungumzia mkasa huo Katibu Mkuu wa Tadea alisema kwamba inasikitisha muda wa uchaguzi umekaribia lakini hadi sasa hawajui mgawanyo wa majimbo. Miongoni mwa wadau waliyoshiriki Kikao hicho ni vyama vya siasa, na asasi za kiraia, vikosi vya ulinzi na taasisi za serikali.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Saturday, July 4, 2015

ASKARI WAFICHA NYUSO NA WAHUNI WA HAJI OMAR KHERI NA SHEIN WAWAPIGA RISASI WAZANZIBARI WAWILI MAKUNDUCHI


4

Gari linalotumika na watu wenye kufunika uso

2
Mpaka sasa habari zilizo tufikia nikuwa waficha uso au ninja au wahuni wa Haji Omar Shari na Shein Wamewapiga Risasa Wazanzibar wawili ambao ni Wanachama wa chama cha CUF mchana wa leo wakati wa kuandikisha kupiga kura huko Makunduchi nchini Zanzibar na kukimbizwa hospitali hatuta itaja hospitali kwa jili ya usalama wao Wazanzibari hakuna kulala hawa jamaa wakipita mtaa wowote ni Kunadiwa Wezi tu na kupewa kipigo cha nguvu watakimbia wenyewe warudi huko kwao Tanganyika ila tukika kimya basi mambo yatazidi wanapo pita si Mjini si Mashamba ni Kunadiwa Wezi tu na kupiwa kipigo tukimaliza Haji Omar Shari atakuja kubeba mili ya wahuni wao kisha atampigia simu Shein amueleze wangapi washashughulikiwa na wazenji na wangapi wamebaki.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.