Monday, July 6, 2015

ZEC WAMTEGEZEA JIMBO BALOZI SEIF BAADA YA KUONA KASHAKATALIWA KITOPE


Muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Zanzibar (ZEC) kutangaza majimbo mapya manne na kufutwa kwa jimbo la Kitope, Balozi Seif Ali Iddi ametangaza rasmi nia ya kutaka kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi nchini Zanzibar katika Jimbo Jipya la Mahonda ndani ya Wilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja. Mahonda   ni moja ya Jimbo jipya miongoni mwa Majimbo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchini Zanzibar { ZEC } kutokana atii na mabadiliko ya ongezeko la  idadi ya watu katika kipindi cha miaka kumi iliyopita pamoja na  uhakiki wa mipaka  katika Wilaya na Majimbo mbali mbali hapa nchini Zanzibar. Nia hiyo ameitangaza wakati akizungumza na Viongozi wa Kamati za Siasa za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja nchini Zanzibar, Wilaya ya Kaskazini “B”, Jimbo la Kitope pamoja na Kamati Tekelezaji za Jumuiya ya Vijana, Wazee na UWT ambao alifanya nao kazi kwa karibu  Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa iliyokuwa Ofisi ya Jimbo la Kitope iliyopo Kinduni Wilaya ya Kaskazini “B”.
Mjadala mzito wa Viongozi hao ulionyesha kuridhika atii na utendaji wa Balozi Seif uliopelekea kuzaa mawazo mawili yaliyopingana ya kumtaka agombee katika Majimbo mawili tofauti ya Mahonda na Kiwengwa kwa nafasi moja ya uwakilishi.Akitoa uwamuzi wake baada ya mjadala huo mzito Balozi Seif alisema amemua kugombea nafasi hiyo ya Uwakilishi katika Jimbo jipya la Mahonda kwa vile kwa mujibu wa mkato wa majimbo Jimbo jengine jipya la Kiwengwa upo uwakilishi wa nafasi hiyo unaotokana na jimbo la zamani la Kitope. Balozi Seif aliwaeleza Viongozi hao kwamba endapo CCM itampitisha kugombea nafasi hiyo na hatimae kufanikiwa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda ana mtazamo atii wa kuhuisha uimarishaji wa Maabara za Skuli za Sekondari zilizomo ndani ya Jimbo hilo.((siungeli imarisha hilo lakitope limekushinda utaweza hili)) Mapema Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kaskazini Unguja ambae pia ni Mkuu wa Mkoa huo Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa amewaasa wana CCM kuendelea kujenga tabia ya nidhamu katika kugombea nafasi za uongozi wa ngazi mbali mbali.
Kanal Mstaafu Tindwa alisema wapo baadhi ya wanachama wa chama hicho wanashindwa kuheshimu viongozi wao waliyoonyesha atii jitihada kubwa za kuwatumikia Wananchi((yagujuu labda kuwaibia na kuwadhalilisha na kuwanyima haki zao na kuwapa mamluki)) ambapo wanastahiki  tena kuendelea kuzitumia nafasi hizo katika vipindi vyengine.((ili wandele kuiba na kujitajirisha na kuuwa wote wanao wapinga na kuthulumu wanyonge)) Balozi Seif Ali Iddi tayari ameshatumia jumla ya shilingi za Kitanzania Milioni Mia Tisa (900,000,000/-) ((kazitowa wapi pesa zote hizi mshahara wake kiasi gani...??)) ndani ya Jimbo la zamani la  Kitope katika kipindi cha miaka kumi iliyopita mbali ya shilingi Milioni 130,000,000/- alizopewa kwa ajili ya mfuko wa jimbo. Fedha hizo alizielekeza zaidi katika kuimarisha atii miradi mbali mbali ya maendeleo na ustawi wa Jamii ((mawee)) ikiwemo zaidi sekta ya elimu na ujasiri amali ndani ya Jimbo hilo la zamani la Kitope.(( mawee)) Jimbo Jipya la Mahonda limejumuisha shehia Tisa ambazo ni  pamoja na Matetema, Kitope Mangapwani, Fujoni, Mkadini, Kiomba Mvua, Kinduni na Mahonda yenyewe.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment