Monday, August 24, 2015

MAENDELEO YA MIAKA 50 YA CCM HILI NI JENGO LILILOKUSUDIWA KUWA OFISI YA WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI PEMBA NCHINI ZANZIBAR


JENGO la Ofisi ya Wizara ya Fedha na Uchumi Pemba, ambalo ujenzi wake haukufikia mwisho baada ya ukuta wa nyuma wa jengo hilo kuinama, huku likiwa limeekewa nguzo kuzuwia ukuta huo ili lisianguke. Jengo hili limegharimu mamilioni ya fedha, likiwa karibu na Ofisi ya ZSSF Tibirinzi Chake Chake faidi za CCM za miaka 50 na ushaiya hizo zinaendelea unambiwa jengo lima harimu mamilioni lakini hebu litezame hilo jengo lenyewe lililo harimu mamilioni vichekesho oktoba hiyo uchaguzi mpya ulaji mpya wananchi umasikini mpya CCM oyeee.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-MSIKILIZE 2 PAC KWA MAKINI KISHA ANGLIA PICTHA HAPO CHINI JINSI CCM ANAVYO WADANGANYA WANANCHI KUWA NI NCHI MASKINI


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

KWA KUWA MATAIFA MAKUBWA KAMA UNAVYO SEMA WEWE HAYASHUGHULIKIWI NA ICC NDIO IWE SABABU YA VIONGOZI WA MATAIFA MADOGO KUNYANYASA WATU,KUTESA WATU,KUFUNGA MASHEIKH JELA NA KUUWA WATU.....???


Rais Jakaya Kikwete, anayemaliza muda wake wa uongozi katika nchi ya Tanganyika baada ya uchaguzi mkuu wa Okotoba mwaka huu.
KATIKA kile ambacho kwa wakati huu kinaweza kuonekana kama kimemshtua Rais Jakaya Kikwete wa nchi ya Tanganyika, ni hatua yake ya kurejea kauli ambayo imekuwa ikitolewa na viongozi wa Afrika dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Kwamba viongozi wa Afrika hawafurahii kwa namna ambavyo mahakama hiyo atii inavyofanya kazi zake kwa kuwashughulikia zaidi viongozi wa Mataifa ya Afrika. Kauli hiyo ya Rais Kikwete ambayo aliitoa jana mjini Dar es Salaam nchini Tanganyika, wakati akifungua mkutano wa 16 wa Umoja wa Wanasheria wa Jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini mwa Afrika-SADC, imekuja siku moja baada ya ICC kueleza kwamba inafuatilia mwenendo wa uchaguzi nchini humo Tanganyika.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda amekaririwa na vyombo vya habari vya Aljazeera na Gambia Today akisema kuwa Mahakama hiyo inatazama kwa umakini mkubwa yanayotokea nchini Tanganyika kuelekea Uchaguzi Mkuu. Bensouda amesema ICC, inafatilia kwa karibu kama ilivyofanya katika nchi za Kenya, Ivory Coast na Congo na kwamba itachukua hatua za haraka kama kutakuwa na uvunjaji wa haki za binadamu. Kauli hiyo ya Bensouda ilitanguliwa na ile iliyotolewa siku chache zilizopita na mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa. Wiki iliyopita akiwa katika ziara ya kutafuta wadhamini katika mikoa ya Arusha na Mwanza, Lowassa alilitahadharisha Jeshi la Polisi juu ya uwepo wa Mahakama ya ICC kutokana na kitendo chake cha kutumia nguvu dhidi ya wapinzani kwa kuupiga mabomu msafara wake.
Zaidi Lowassa pamoja na viongozi wa Ukawa walisema endapo vyombo vya dola vitakiuka haki za binadamu hawatasita kumshtaki Rais Kikwete katika mahakama hiyo, huku wakisema tayari wameanza kukusanya ushahidi wa kwenda kushitaki. Hata hivyo, Rais Kikwete akizungumza na wanasheria hao wa SADC, aliutaka umoja huo kuwa imara katika kuzungumzia atii uonevu unaofanywa na ICC dhidi ya viongozi wa Afrika. “Kuna hizi kauli zinazotolewa na viongozi wa Afrika kwamba, Mahakama ya Kimataifa inazionea nchi za Afrika na kuyaacha mataifa mengine ambayo yanaonekana kabisa kuwa na machafuko lakini viongozi wake hawashughulikiwi,” alisema Rais Kikwete. 
Alisema atii mfumo  wa Mahakama hiyo unaonekana kuwa ni wa kibaguzi na hivyo kushindwa kutenda haki. “Kuna viongozi katika sayari hii wanafanya makosa lakini mahakama hizi haziwashughulikii. Mahakama hizi zinatakiwa kutenda haki,” alisema na kuongeza: “Haiwezekani viongozi wa mataifa madogo ndio wanaonekana kufanya uhalifu lakini wale wa mataifa makubwa wanaachwa.” Alisema Kikwete huku akitolea mfano wa Rais wa Syria, Bashir Al-Asaad, ambapo alisema aliwahi kuzungumza na Luis Ocampo kipindi akiwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC kuhusu kushughulikia mataifa haya makubwa. “Nilimuuliza Ocampo mbona mataifa makubwa yanaonekana waziwazi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu lakini ICC haifanyi kitu…lakini cha ajabu alinijibu itafanya nini…hii inaonyesha hakuna usawa,” alisema Rais Kikwete. Pamoja na hayo, Rais Kikwete alisema ataachia madaraka kwa amani na kwamba baada ya hapo atarejea kijijini kwake kujishughulisha na kilimo na ufugaji.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Friday, August 21, 2015

TUME YA UCHAGUZI YA NCHI YA TANGANYIKA NEC IMESEMA ITATANGAZA MATOKEO YA URAISI NDANI YA SIKU TATU


Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi ya Tanganyika (NEC), imesema itatangaza  matokeo ya urais ndani ya siku tatu kwa sababu watatumia Mfumo wa Kusimamia Matokeo (RMS) ambao utawawezesha kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo.

Licha ya kutakiwa kisheria kutangaza matokeo hayo ndani ya siku saba, NEC imebainisha kuwa mfumo huo utasaidia kuongeza kasi ya ukusanyaji wa matokeo kutoka sehemu mbalimbali nchini na kuyatoa ndani ya siku hizo.

Akizungumza na viongozi wa dini jana jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva alisema maandalizi ya uchaguzi yanaendelea vizuri na muda wowote vifaa vya uchaguzi vitawasili nchini.

Jaji Lubuva aliwataka viongozi wa dini kuwasukuma waumini wao kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi na siyo kuwaelekeza mtu wa kumpigia kura. Alisema wao wana wajibu mkubwa katika kujenga umoja kwa sababu wanaaminiwa na wananchi.

Alisema uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura lilifanyika kwa mafanikio na NEC imeandikisha karibu watu milioni 24. Alisema kazi inayoendelea  sasa ni uhakiki wa taarifa kwenye daftari hilo.

“Jana (juzi) nilikuwa Angola kwenye mkutano, viongozi wenzangu walitupongeza kwa kuandikisha watu wengi kwa BVR ndani ya miezi mitatu licha ya kuwa na mashine chache,”alisema 
 
“Kenya waliandikisha watu milioni 14 kwa kutumia mashine 30,000 walizokuwa nazo, kwa hiyo tumefanya jambo kubwa, tunawataka nanyi viongozi wa dini muwahimize waumini kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi,” alisema mwenyekiti huyo.

Uhakiki wa Daftari la Wapigakura
Jaji Lubuva alisema uhakiki wa daftari la wapigakura ulioanza Agosti 7, unalenga kutoa nafasi kwa wapigakura kuhakiki taarifa zao ili kuondoa kasoro mbalimbali zilizojitokeza wakati wa uandikishaji.

Alikanusha taarifa zinazoihusisha tume hiyo na njama za kuficha taarifa za baadhi ya wapigakura.

Alisema baadhi ya taarifa bado hazijaingia kwenye mfumo, kwa hiyo zile ambazo hazijaonekana sasa zitaingia kwenye mfumo huo baada ya siku chache. “Wananchi wataweza kupata taarifa zilizoko kwenye database (rekodi) kwa kutumia simu zao kupitia ujumbe mfupi. Namba hiyo ni *152*00#,”

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

WAGOMBEA URAIS WA NCHI YA TANGANYIKA NA WAGOMBEA WENZA WAO NA BAADHI YA WAGOMBEA URAISI WA NCHI YA ZANZIBAR


Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika  na Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwa kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya Tanganyika, Jaji Suleiman Said Komu (mbele) wakati wa kusaini fomu za hati ya Kiapo, leo Agosti 19, 2015. Kulia ni Mwanasheria wa CHADEMA, Mh. Mabele Marando.

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi cha kutia watu umasikini na ufukara kwa miaka 50 na kuuwa watu wasio na hata kwakuwa tu hawakubaliana na wao wanavyosema, Dk. John Pombe akisaini hati ya Kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika .Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakamani hapo jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika.  Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini na kufurahia cheo hicho kwa kuwaulisha wazanzibari kwa jia ya katiba lanalopandikizwa kwa lazima sote tunajuwa umepewa cheo hicho kama asante kwa Masultani Weusi Tanganyika kwa kazi nzuri uliyo wafanyia ya katiba bovu linalotaka kupandikizwa nchini kwetu Zanzibar ili Muiyuwe Ile Katiba yetu mumechelewa mumechanguliwa ili muendelea kuwalinda mafisadi wenzenu.

Huyu Ndo Mgombea Urais nchini Tanganyika kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya Kitila Mkumbo Kukataa

fom
Mgombea wa Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AFP) Bw. Said Soud Said akionesha fomu za uteuzi wa wagombea baada ya kukabidhiwa na Tume ya Uchaguzi ya hapa nchini Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo tarehe17.08.2015 huko hoteli ya Bwawani Malindi Nchini Zanzibar.
DSC01128
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi ya Zanzibar Mh. Jecha Firauni Jecha akimkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombania Urais wa nchi ya Zanzibar Nd. Juma Ali Khatibu ambae ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama cha TADEA, makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 17.08.2015 katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Nchini Zanzibar .

Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia Chama cha UPDP Mhe Mwajuma Ali Khamis akionesha Fomu yake ya Kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hapa nchini Zanzibar Mhe Jecha Firauni Jecha katika Afisi za Tume Bwawani Ukumbi wa Salama.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

MGOMBEA WA CUF ASEMA ATEKWA NA KUPORWA FOMU ZAKE NCHINI ZANZIBAR


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, Mkadam Khamis Mkadam. ((usipate tabu...namba RB/6085/2015 aliyo pewa na polisi hiyo nishakuwekea kama mfuatiliaje kweli fuatili tuone laa kama ni wenzi ndio maana wameficha nyuso zao basi utaufya kimya na sisi tutakuwa tushajuwa kuwa ni wenzio ndio maana umeufyata.
Mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kuwa watu wamejaribu kumteka, kutishwa na kuporwa fomu za kugombea katika jimbo la Shaurimoyo, Unguja nchini Zanzibar. Mgombea huyo, Abdi Seif Hamad alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 17, mwaka huu majira ya asubuhi katika maeneo ya jimbo hilo. Alisema akiwa maeneo hayo wakati akitafuta wadhamini, ghafla kikatokea kikundi cha watu wapatao wanane wakiwa wamejifunika nyuso na kumteka, kumtisha kisha kumnyang’anya fomu ambazo alikuwa ametoka kuzichukua kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). “Namshukuru Mungu hawakunijeruhi wala kunipiga, waliniambia wanachokihitaji ni fomu ambazo nilizokuwa nimebeba mfukoni,” alisema Abdi.
Alisema kuwa baada ya kumnyang’anya fomu hizo walimuachia na kwenda kuripoti kituo cha polisi cha Ng’ambu na kupewa namba RB/6085/2015 kisha kuripoti NEC na jana alipewa fomu nyingine. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja nchini Zanzibar, Mkadam Khamis Mkadam alisema hajapata taarifa za kuripotiwa kwa tukio hilo((utalipata vipi na wewe ni mkereketwa wa ccm)). “Watu wangu waliopo katika doria siku ya mkutano wa CHADEMA uliongozwa na mgombea wa urais kupitia chama hicho, Edward Lowassa, ndio walipata taarifa hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alitoa taarifa ya tukio hilo akiwa juu ya jukwaa akiwahutubia wananchi,” alisema Mkadam.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Thursday, August 20, 2015

VIDEO-UTAMADUNI WANGU NI KULIZA WHY...WHY...WHY..KATA KUWA MTUMWA JITUME MNA VYETII MITAANI NA HAMNA KAZI

KATA KUWA MTUMWA JITUME
POLENI

POLENI

KATA KUWA MTUMWA 

HAMNA AJIRA NA NYOTE NJAA TUPU MASKINI ONENI
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.