Sunday, July 13, 2014

VIDEO-WANAWAKE WOTE WANAPENDA MAGARI SIO WA AFRIKA PEKE YAO

mwanamke ni mwanamke tu hata awe mzungu,mchina,muarabu,muafrika,mlatino,muhindi, bado ni mwanamke wanasema kuwa wanawake wa afrika wanapenda wanaume wenye magari tizama video utajuwa kuwa sio wanawake wa wafrican peke yao wapendao magari bali ni wanawake wote ulimwenguni wanapenda wanaume wenye magari. 

No comments:

Post a Comment