Wednesday, May 25, 2016

KUTOWA NI MOYO NA WALA SI UTAJIRI TUMSAIDIYA MAMA ASHA KWA TULICHO NACHO

13241374_10154200180517640_8419347913105318379_n
Assalaam alaykum wana mzalendo na Waungwana wote waliojaaliwa chochote ambao wana nia ya kumsaidia Mama Asha katika matibabu yake.
Tunapenda kuwataarifu kwamba Wawakilishi wetu katika Diaspora ni hawa wafuatao:
Ndugu Haji Jingo, kwa walioko Marekani +1(818)493-0815,
Ndugu Hassan Mussa Khamis kwa walioko Uingereza +447588550153,
Ndugu Mohammed Khalef Ghassani kwa walioko Ujerumani +491787622458,
Ndugu Ali Masoud Al Mughery kwa walioko Oman +968 9780 8154 ,
Wengine ambao mko nje ya Tanzania mnaweza kutumia pia huduma ya World Remit kwa kutuma pesa kwenye Account no. 041206015912 Jina ni Dhamir Ramadhan Yakout. Benki ni PBZ. Swift code ni PBZATZTZ.
Naomba yeyote atakayetuma aote taarifa kwa namba ya whatsapp hii hapa: +255777870004. Shukran sana
Tunafanya utaratibu wa kuwapatia line ya Vodacom M-Pesa mtaweza kutuma pesa kwa kutumia sytem ya Moneygram inshaa Allah.
Kwa waliopo Tanzania, munaweza kutumia contacts hizi hapa kwa michango yenu:
+255 714 870 004 Jina ni Dhamir Yakout na
+255 713 187 733 Jina ni Maryam Marshed.
Kwa ambao watapenda kwenda kumuona Bi Asha, wawasiliane na watu hawa:
+255 776 041 420 Anaitwa Bwana Khatib, huyu ndio anaemshuhulikia Bi Asha huko Kawe Dar es salaam.
Mwengine ni Bi Hadia mwenye nambari +255 777 877 920.
Tafadhali sambaza ujumbe huu.
Chochote mtakachokitoa mtakikuta mbele ya Allah in shaa Allah.

No comments:

Post a Comment