Monday, May 30, 2016

MARAISI AU MAWAZIRI WANAPO ALIKWA KUSHUHUDIA RAIS WA NCHI FULANI AKIAPISHWA HUPEWA HASHMA KUBWA KWA KUJA KWAKE SHEIN MBONA HUKUPEWA HISHIMA KWENYE KITUO CHA MABASI YAENDAYO KWA KASI KUTOKA DAR TU COMMORO....???


Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Nchi ya Tanganyika Mh.Bernard Membe akimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Sherehe za Kumuapisha Rais Mpya wa Madagasca.

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi pamoja na Rais wa Msumbiji aliyemaliza muda wake Armando Emilio Guebuza katika viwanja vya ikulu ya Maputo baada ya sherehe za kuapisha leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kumaliza Kuapishwa huko nchini Uganda.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Drk.Mohammed Gharib Bilal Akimpongeza Rais Mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika Baada ya Rais huyo Kumaliza Kuapishwa.


Shein Akisubiri Mabasi Yaendayo Kwa Kasi Katika Kimoja Cha Vituo Vya Mabasi Hayoo Hata Bodigadi wako Pia Kanywimwa Kiti cha Kuka Katika Kituo Tu Cha Mabasi Na Magwanda Yake ya KijeCCM.

No comments:

Post a Comment