Saturday, November 26, 2016

VIDEO-MASHEIKH WAKIONYESHWA KUTOKA JELA ILA HATUJAWA NA UHAKIKA KAMILI BADO TUNAFUATILI ILA ALHAMDULILAHI.


HII NI VIDEO YA MASHEIKH WETU WAKIONYESHWA KUACHIWA KUTOKA JELA ILA MPAKA SASA HATUJAWA NA UHAKIKA MAANA KWENYE BAADHI YA FACEBOOK WANASEMA WALIPELEKWA JUZI ZANZIBAR HAKAMANI KISHA JELA YA KINUWA MIGUU NDIO WAKAWACHIWA WANGINE WANASEMA KUWA VIDEO HII NI KUONYESHA WALIPOACHIWA KATIKA JELA YA SEGEREA ILI KURUDI ZANZIBAR KATIKA MAHAKAMA YA VUGA ILI WAJIBU SHTAKA LA KUANDAMANA VYOVYOTE ILIVYO IKIWA NI KWELI WAMEACHIWA BASI TUNAPENDA KUSEMA ALHAMDULILAHI ALHAMDULILAHI ALHAMDULILAHI ALLAH AKBAR M.MUNGU AWAZIDISHIE UVUMILIVU MASHEIKH NA FAMILIA ZAO NA KWA WAZANZIBARI WOTE KWA UJUMLA NI FURAHA ILIOJE.

Kwa mujibu wa Salma Said hapo Chini Jana 25/11/2016

Viongozi wa Uamsho wameletwa leo Zanzibar kutoka Dar es salaam kwa ajili ya kesi yao ile ya mwaka 2012 ya kufanya maandamano na kuharibu miundombinu ya nchi kesi inaendelea Mahakama ya Vuga.
Natoa pole kwa wake na watoto wao hebu hesabu hiyo miaka ya kukaa mbali na familia zao. Allah ajaalie salama.

Ahsanteni

No comments:

Post a Comment