Ndugu wanaukumbi tarifa tulizonazo katika vyanzo vyeti tafauti nikua Bada ya Waziri wa Ardhi wa SMZ Bibi Salama Abuu Talib kutangaza kupokonya viwanja , fance za viwanja na foundetion...?? Tayari wana chama wanaojita wana CCM wameshaanza kuvamia maeneo hayo na kuanza kuyaodhi wao. Visa hivi sasa vimeshaanza kuenea maeneo ya Chukwani Bweni,Tunguu, kuna riport kua wanachama wa CCM wameshaanza kujimilikisha maeneo hayo kabla hata hio februry kufika...?? Haya ni mambo yale yanayolingana na ujengaji makanisa ovyo ovyo katika mashamba ya watu kwa watu wenye asili za Tanganyika kwa kitumia mwevuli wa CCM bila kupewa karipio au kustopiShwa na SMZ.
Kwa hivi sasa tayari kuna wanachama wa CCM wameshaanza kujimilikisha maeneo hayo kwakutumia utashi wa itikadi za chama ili kupata baraka za chama chao cha CCM kua kitawalinda. Kwahio tunataharidhana kua muwe macho kazi ya CCM/SMZ imeshaanza na usishangae kuja kuona kiwanja chako foundation yako imekuja kuchukuliwa na kumililishwa mtu mwengine. Wameweka kipindi kifupi makusudi Feb kua ndio mwisho lakini hata hivyo wameona wanzee kuanzia sasa kufanya hivyo .
Kwa upande wa Masheikh Miskiti
Mingi wanavyu wameshaanza kutoa tahadhari kua kwa kipindi hichi wananchi wenye kuipenda dini yao na kuogopa dhulma wasije wakanunua kiwanja au foundation ya mtu hata wakauziwa kwa bei poa. Kufanya hivyo nikupandishwa mkenge na mbele ya Allah na wao watashiri kikamilifu katika dhulma hawatokuja kujitetea kua hawakufahamishwa ujumbe ni huo na umesha enea na jaribuni wana ukumbi kuwenezea. Serekali inajua fika hali ya maisha ya Tanzania kwa sasa ni mbaya pesa imepotea na vitu bei juu na kila mtu anakokorea kutokana na ukali wa maisha kula yake mtu ya siku inamshinda hali ilivyo ngumu. Leo Serekali imepokuja na jambo jengine jipya tena angalau wangetoa muda wananchi wakajipanga lakini ni Sept to febrary , jee kuna tajiri gani Zanzibar awezae kujenga nyumba kwa kipindi cha miezi 4...?? Kama si Serekali ya SMZ kuwatia adabu wananchi wake.
Huo ni ujumbe tumeupata sasa hivi katika chanzo chetu.
Kidumu chama cha mapinduzi...?? Kidumu chama cha Mapinduzi...??
No comments:
Post a Comment