Wednesday, May 1, 2013

SHEIN ASEMA SEREKALI YANGU HAINA MPINZANI((UNAO NI UAMSHO NDIO MAANA UMEWASWEKA JELA KAMA SIO WAPINZANI WATOWE BASI KULE JELA))


IPO SIKU NA WEWE UTAINGIA HUMU KABURI UMUELEZE VIZURI M/MUNGU HICHI KIBRI ULICHOPOWE NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA KUWAFANYIA WAZANZIBARI

Waziri asiyekuwa na wizara maalum wa Zanzibar, Dk.Kumbi Ali Mohammed Shein, amesema serikali yake haina mpinzani ((inayo ni uamsho ndio maana umewafunga jela)) kwa kuwa muundo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kiutendaji na kiuendeshaji, hufuata utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Dk.Kumbi Shein alitoa kauli hiyo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ndijani Kongo baada ya kuzindua matawi mawili ya chama hicho katika Mkoa wa Kusini Unguja.
Alisema hata kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, zipo kuna pande mbili za Wawakilishi toka vyama vya CCM na CUF hali iliyofanya kukosekana kwa nadharia ya upinzani dhidi ya serikali iliyopo.
“Vyama viwili vimeunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya utekelezaji wa majukumu ya pamoja ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM, hatuna Muungano wa kisiasa ila hufanya kazi kwa pamoja, kila chama kina sera, iitikadi na msimamo wake nje ya serikali,” alisema.
Aliwataka wananchi kufahamu kuwa ushindani uliobaki ni wa kisera kwenye makujwaa ya kisiasa lakini utekelezaji na uendeshaji wa mambo ya msingi ya serikali yanayofuatwa ni yale ya chama kilichotoa Rais aliyetangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar mwaka 2010.
SHEIN SIKU YA KIYAMA PIA UMUAMBIYE M/MUNGU RAISI ALIYETANGAZWA NA TUME YA UCHANGUZI ZANZIBAR 2010 NDIO RAISI NA SIO ALIYESHINDA KWA KURA ZA WANANCHI WA ZANZIBAR PIA UMUAMBIYE M/MUNGU KUWA NI MAPINDUZI MATUKUFU SIKU HIYO YA KIYAMA KAMA UNAVYOSEMA SASA KWENYE MAJUKWA KUWA NI MAPINDUZI MATUKUFU WEWE NA WENZIA WOTE WANAO SEMA MAPINDUZI MATUKUFU.

No comments:

Post a Comment