Monday, March 30, 2015

VIDEO-RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD AMTEMBELEA SHAMIS ALI MOJA KATIKA WALIO JERUHIWA JANA KATIKA MSAFARA WAKITOKEA MKUTANONI MAKUNDUCHI

mgonjwaRais wa nchi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amtembelea kijana Shamis Ali Khamis nyumbani kwao Mwembemakumbi. Shamis ni mmoja kati ya watu waliojeruhiwa na Janjawidi na Ubayaubaya wakati msafara wao ukiwa njiani kutoka mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) katika jimbo la Makunduchi, Unguja Kusini nchini Zanzibar. Kijana huyo aliyejeruhiwa jicho la kulia anasafirishwa leo kuelekea jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika kwa matibabu zaidi.

MUNGU ALIUMBA DUNIA NA NCHI YA ZANZIBAR TANGU NA TANGU

Wanamzalendo,Wazanzibari wote Mulio ndani ya nchi na nje ya nchi ipo haja ya kuwapigia Harambee waliofikwa na masiba haya ili wajihisi nasi tupo pamoja nao na ziwasaidie katika matibabu.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

VIDEO-RAP-HALI HALISI YA MAISHA YA WAZANZIBARI NA VIONGOZI WAO WANAVYO JAZA MATUMBO YAO NA KUENDELEA KUWADANGANYA KUWA WANAWALETEA MAENDELEO

SIKILIZA KWA MAKINI RAP HII KISHA ANGALIA PIC HAPO CHINI
MIAKA 50 NA USHAIYA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA BADO MPAKA LEO MWANANCHI ANAISHI HIVI MAJI HANA UMEME HANA KISHA WANGALIE HAO VIONGOZI HAPO CHINI WANAO JIDAI WANAWALETEA MAENDELEO WAZANZIBARI NI KWELI AU WANAJILETEA MAENDELEO WAO NA FAMILIA ZAO NA MAHAWARA WAO...??
WANGALIE WAO KISHA ANGALI NCHI WANAYOITAWALA ILIVYO
WANGALIE WAO KISHA ANGALI NCHI WANAYOITAWALA ILIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIO NAYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
ATI HII NDIO BARABARA YA NCHI WANGALIE WAO NA HII BARABARA MIAKA 50 NA USHYAA SASA BARABARA NDIO HII KISHA WAONA WANANCHI WANAVYO PIGA MGUU
ANGALIA BARABARA NA HAO VIONGIZI HAPO KATIKA PICHA YA CHINI KISHA JIULIZE JE NCHI MOJA AU HII BARABARA NA HAWA VINGOZI NI NCHI TAFAUTI
WANGALIE VIONGOZI NA HII PICHA HAPO CHINI YA WANANCHI WAO KISHA JIULIZE HAWA VINGOZI WANAO JIDAI MAENDELEO YAKO WAPI IKIWA BADO WANANCHI HALI ZAO NDIO HIZI
WANANCHI WA ZANZIBAR WANAISHI HIVI KISHA ANGALIA JII VILLA LA KIONGOZI MOJA HAPO CHINI ANAVYO ISHI YEYE NA FAMILIA YAKE
HII NI NYUMBA YA KIONGOZI MOJA HAPA ZANZIBAR
HII NDIO HALI YA KATIKATI YA JIJI AU MJI DARAJANI KAMA KUSEMA CAPE TOWN,PARIS,MOSCOW,DUBAI,TOKYO SI AIBU HII
MUANGALIE SAMIA AMBAYE NDIO ATI AMECHAGULIWA KUWATUMIKIA WANANCHI  KISHA MUANGALIE HUYU MAMA AMBAYE NDIO MWANANCHI
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WANGALIE WAO KISHAWATIZAME NA WANANCHI WAO HALI WALIVYO
WATOTO WACHANGA WALIO ZAMA NA MELI VIONGOZI HAWAJALI WAO WANAJALI MATUMBO YAO
Afbeeldingsresultaat voor shaka hamdu shaka zanzibar
JUU POLISI WANATULA ROHO KISA BASKILI HAINA PANKA AU TAA CHINI KINAMAMA ZETU WATABIKA NA MAJI
ANGALI WAKINA MAMA WALIVYO CHOKA KISHA MUANGALIE VUAI AMBAYE NDIO KIONGOZI ATII ANATAKA KUWALETEA MAENDELEO HATA HABARI HANA ANAPIGA MAJI TU
HII NDIO GARI YA ABIRI ANAVYO JAZANA NA VUAI ALI VUAI HANA HABARI ANAPIGA TU MAJI
HII NDIO GARI YA ABIRI ANAVYO JAZANA PESA VIONGOZI WANAZIFUJA KATIKA STAREHE ZA TARAAB
WANANCHI WANAKUFA KWA KUZAMA NA MAMELI MABOVU WAO PESA WANAFUJA KUSKILIZA TAARAB
WANANCHI WANAKUFA KWA KUZAMA NA MAMELI MABOVU WAO PESA WANAFUJA KUSKILIZA TAARAB
WANAKULA TUU ULUWA KWA MAJI YA CHUPA NA TARAAB KWENDA WAKATI WANANCHI HATA TONE LA MAJI HAWANA
WAKE WA WANANCHI WATAFUTA MAJI HAWAYAONI WAKE WA VINGOZI WANAKULA TU MAVYAKULA
PESA ZA KULA MAVYAKULA MAZURI MAZURI ZIPO ILA ZA KUNUNULIA VIFAA VYA KUOKOWA WANANCHI WANAPO ZAMA NA MELI HAKUNA.
PESA ZA KUNUNULIA VIFAA VYA KUOKOWA WANANCHI WANAPO ZAMA NA MELI HAKUNA.
WANGALIE WAO KISHA MUANGALIE HUYU MZEE AMBAE NI MWANANCHI
MUANGALIE MWANANCHI PIC JUU NA KIONGOZI PIC YA CHINI JE UTAMINI NI ZANZIBAR MOJA AU UTAFIKIRI NI NCHI TAFAUTI....??
WANANCHI WANAKUFA WAO POROJO 
UTAONA SURA ZA VIONGOZI KILA SAMPULI LIKINI HAKUNA MOJA LIWALO LA KUOKOWA MAISHA YA WANANCHI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

VIDEO-ATI WANATAKA KUSHINDANA NA KOMPYUTA NA TEKENOLIGIA AMAA KWELI MUMEISHIWA

HILI NDIO JIBU LA HAO WANAOTAKA KUZIBA MIDOMO BLOG NA WANDISHI WA HABARI TUNAWAJUWA NYOTE WEZI WAKUBWA

WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.
Miongoni mwa miswada ya sheria utakaowasilishwa bungeni na Serikali wiki hii mjini Dodoma, ni Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 ambayo imeainisha makosa mbalimbali yanayofanywa na wananchi katika kipindi hiki ambacho matumizi ya mtandao wa kompyuta yameongezeka.
Baadhi ya makosa yaliyoainishwa kwenye sheria hiyo ni kughushi kunakohusiana na masuala ya kompyuta, udanganyifu unaohusiana na kompyuta, ponografia za watoto, picha za utupu, matusi na ngono, makosa yanayohusiana na utambuzi, uwongo, ubaguzi, matumizi ya kibaguzi, mauaji ya kimbari na unyanyasaji kupitia mtandao wa kompyuta.
Katika sheria hiyo, mtu atakayesambaza ponografia ya watoto kupitia mtandao wa kompyuta atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50 au mara tatu ya faida iliyopatikana kinyume cha sheria au kifungo kisichopungua miaka saba jela au vyote kwa pamoja.
Mkosaji pia ataamriwa kumlipa mwathirika fidia. Kwa upande wa kusambaza picha za ngono, matusi, uasherati atalipa faini isiyopungua Sh milioni 30 au kwenda jela miaka 10 au vyote.
Lakini mtu atakayesambaza picha za utupu atalipa faini isiyopungua Sh milioni 20 au kwenda jela miaka saba au kutumikia adhabu zote kwa pamoja.
Pia kweye muswada huo mtu ambaye atatoa taarifa, data au maelezo kwa njia ya picha, maandishi, alama au aina nyingine yoyote zikiwa ni za uongo akipatikana na hatia atalipa faini isiyopungua Sh milioni 3 au kutumikia kifungo jela kisichopungua miezi sita au vyote.
Kwa upande wa ubaguzi, sheria hiyo inakataza mtu kutumia mtandao wa kompyuta kutozalisha vitu vya kibaguzi kwa madhumuni ya kuvisambaza na iwapo atatiwa hatiani atalazimika kulipa faini ya Sh milioni tatu au kifungo cha mwaka mmoja jela.
Pia mtu akimdhihaki mtu mwingine kwa kupitia mfumo wa kompyuta kwa mwelekeo wa ubaguzi wa rangi, kabila, asili, utaifa au dini fulani akitiwa hatiani atatozwa na Mahakama faini ya Sh milioni tatu au kifungo cha mwaka mmoja jela au vyote kwa pamoja.
Pia sheria hiyo inakataza mtu kuchapisha au kusababisha kuchapishwa vitu vinavyochochea au kuhalalisha matendo yanayopelekea mauaji ya kimbari na makosa dhidi ya binadamu kwa kupitia mtandao wa kompyuta.
Mtu atakayefanya hivyo atakuwa ametenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh milioni 10 au kutumikia kifungo kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.
Pia muswada huo wa sheria unakataza mtu kutoanzisha usambazaji wa taarifa zinazotumwa bila ridhaa na ukitiwa hatiani utatozwa faini ya Sh milioni 3 au mara tatu ya faida iliyopatikana kinyume cha sheria au kutumikia kifungo kisichopungua mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

R.I.P. ABDULLAH SHABBAN TALETALE

Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdull Bonge amefariki dunia ghafla.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Sunday, March 29, 2015

VIDEO-GARI LA MAJANJAWIDI LAVAMIA MSAFARA WA WANANCHI CUF NA KUSABABISHA MAJERUHI

Miongoni mwa majeruhi wa mkasa wa kushambuliwa na ‘watu wasiojuilikana’ wakati wakirudi mkutano wa CUF Makunduchi tarehe 29 Machi 2015.

MUNGU ALIUMBA DUNIA NA NCHI YA ZANZIBAR TANGU NA TANGU

Jioni ya tarehe 29 Machi 2015, msafara wa wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakitoka Makunduchi, kusini Unguja, kuelekea Mjini Magharibi, ulishambuliwa njiani na ‘watu wasiojulikana.’ Hilo neno ‘watu wasiojuilikana’ tuliwache hivyo hivyo kwenye alama za mashaka, maana ni mtazamo wangu kwamba ni kinyume chake, yaani ni ‘watu wanaojuilikana’ na wale wanaopaswa na wenye wajibu wa ‘kujuwa’ mambo kama haya.
Kwa mujibu wa mmoja wa watu waliokuwamo kwenye msafara huo “gari ya ‘majanjawidi’ ikiwa katika mwendo wa kasi iliupita msafara wao na kisha kuwarushia watu waliokuwemo katika gari hiyo visu na nondo.”
Tunajaribu kufuatili kwa kina habari ili tuzidi kujuwa kunani....?

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

TUNDA LILILO SUBIRIWA LEMEWIVA MAKUNDUCHI

Maalim Seif Sharrif Hamad akihutubia huko Makunduchi Mkutano ulio fanyika leo

Ummati ukimsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad huko Makunduchi.

Umati uliendelea kufurika katika kilakipembe cha Makunduchi na pembe za nchi nzima kuja kumsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad akihutubia.

Wananchi wa nchi ya Zanzibar wapenda amani na utulivu wakimsikiliza Maalim Seif Sharrif Hamad.

Mkutano wa Chama Cha Wananchi (CUF) Makunduchi 

wananchi zaidi 580 wameorodheshwa kuchukua 

za kadi Chama Cha Cuf hivi sasa.. Na wengine hawajawahi 

kutokana na kuwa muda hautoshi. Watu wa Makunduchi leo 

ni sherehe kwao.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

SHAKA KIPOFU WA AKILI SEIF IDDI BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA VUAI ALI VUAI WOTE WAANZA KUHARIBIKIWA NA AKILI

Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi amewataka 

viongozi wa CUF atii kuacha kuchochea fujo na iwapo 

wataendelea watakiona cha mtema kuni kwani dola 

haichezewi. Vuai Ali Vuai nae anasema hawatakubali kuiitiwa 

kiongozi wao msaliti au Balozi Mkaazi wa Tanganyika. Na 

Shaka Hamdu Shaka Kipofu wa Akili anasema Maalim Seif 

atii aache kuhatarisha serikali ya umoja wa kitaifa na hoja 

binafsi ya kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa ipo pale pale na 

Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salum Al Jazirah ndio 

atakayekwenda kuwasilisha hoja hiyo barazani naye 

akapanda jukwaani kukubali dhamana hiyo ya kupeleka hoja 

binafsi waulizwe wananchi iwapo wanataka kuendelea na 

mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa au laaa.

Lakini wakati huo huo Shaka kasema wao kama umoja wa 

vijana hawako tayari kuona serikali ya umoja wa kitaifa 

inawafia mikononi mwao na ndio alipomlaumu Maalim Seif 

atii 

kwa kutoa lugha hatarishi ambazo zinapelekea kudhoofisha 

umoja nchini. Huku akitoa mifano ya nchi ambazo ziliungana 

na kuunda serikali ya umoja na baadae zikarudi katika 

mfumo 

wa awali hivyo sio ajabu kwa Zanzibar kurudia mfumo 

waliotoka kwani serikali za kitaifa huundwa kwa muda tu. Huo 

ndio Shaka Hamdu Shaka. In biological

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Saturday, March 28, 2015

BALOZI MDOGO WA NCHI YA TANGANYIKA SEIF ALI IDDI AINGIA KITOPE NA KUWADANGANYA KWA MIPIRA NA JAZI SERA ZA MIAKA YA TISINI WAPE MAJI NA SABUNI KWANZA WAFUWE NGUO ZAO.

Balozi ndogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi akimkabidhi Seti za Jezi na Mipira Mmoja wa Viongozi wa timu 60 zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope hapo Kijiji cha Kipandoni Upenja Wilaya ya Kaskazini “B”.
Aliyepo kati kati yao ni Mke wa Balozi wa Balozi huyo wa nchi ya Tanganyika Seif Mama Asha Suleiman Iddi.

Baadhi ya Timu za Mitaa zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope zilizopata vifaa vya Michezo vilivyotolewa Balozi ndogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi sibora ugewapa sabuni na maji safi kwanza wakafuwa nguo zao.Mambo yale yale toka miaka ya tinsini jazi,mipira,jembe,panga,shoka,kanga,vitenge kila baada ya miaka 5 wanakuja tena mchezo ule ule.... jazi,mipira,jembe,panga,shoka,kanga,vitenge na hawa watu sijuwi wataerevuka lini.

Kocha na Kepteni wa Timu ya Soka ya Kipandoni Star Jeilan Omar Jeilan akipokea mchango wa shilingi 500,000/- Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi kwa ajili ya kununulia Posi na Nyavu kwa ajili ya Kiwanja chao.

Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi leo amekabidhi vifaa vya michezo kwa makocha na viongozi wa timu hizo zinazo thaniwa atii ni  Timu 60 za Mpira wa soka zilizomo ndani ya Jimbo hilo ili kusaidia nguvu na chachu ya kuimarisha Michezo katika Jimbo la Kitope.swali kwa nini hakuwaba baada ya uchanguzi wa 2010 ulipomalizika anawapa leo....? kwa kuwa mwezi wa oktoba unakuja sio....?

Vifaa hivyo ambavyo ni seti za Jezi na Mipira vyenye Thamani atii ya shilingi Milioni Nane, Laki Nne na Hamsini Elfu { 8,450,000/- }  vimekabidhiwa kwa timu hizo hapo Kipandoni Wadi ya Upenja Wilaya ya Kaskazini “B”. na Balozi huyo mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi.

Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif akiambatana na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi pamoja na baadhi ya Viongozi wa Wadi ya Upenja na Jimbo la Kitope akikabidhi Seti za Jezi na Mipira kwa Timu za Jimbo hilo zinazoshiriki Ligi ya Kanda ya Unguja,Daraja la Pili na daraja la Tatu.

Na pia akakabidhi mipira kwa 36 ya Mitaani pamoja na timu mbili za watoto wadogo wa  Kijiji cha Kipandoni na kuahidi kuonyesha nia ya kusaidia kuwatengenezea Kiwanja watakachokichaguwa ili kiwe na hadhi ya michezo ya Kitaifa  ndani ya Wilaya ya Kaskazini “B”.

Akizungumza na Wanamichezo hao Balozi huyo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi  aliwataka Vijana hao kujiepusha na makundi ya baadhi ya watu wanaojaribu kuwashawishi wajiingize katika mambo yaliyo nje ya Sekta ya Michezo.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

Wednesday, March 25, 2015

VIDEO-WAKISHINDWA KISERA NDIO HUANZA SIASA ZA MAKABILA UDINI NA MATUSI CCM WA ZANZIBAR MSIKILIZENI NYERERE NYINYI MAANA MUMEKUWA WABAGUZI,DINI NA MATUSI JUU HAMNA TENA SERA.

CCM HAMNA TENA SERA SASA MNALETA UBAGUZI NA MATUSI MSIKILIZENI NYERERE

CCM MUMEISHIWA KISERA NDIO MAANA MNAKUJA NA SIASA ZA KUWAGAWA WATU