Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Seif Ali Iddi amewataka
viongozi wa CUF atii kuacha kuchochea fujo na iwapo
wataendelea watakiona cha mtema kuni kwani dola
haichezewi. Vuai Ali Vuai nae anasema hawatakubali kuiitiwa
kiongozi wao msaliti au Balozi Mkaazi wa Tanganyika. Na
Shaka Hamdu Shaka Kipofu wa Akili anasema Maalim Seif
atii aache kuhatarisha serikali ya umoja wa kitaifa na hoja
binafsi ya kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa ipo pale pale na
Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salum Al Jazirah ndio
atakayekwenda kuwasilisha hoja hiyo barazani naye
akapanda jukwaani kukubali dhamana hiyo ya kupeleka hoja
binafsi waulizwe wananchi iwapo wanataka kuendelea na
mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa au laaa.
Lakini wakati huo huo Shaka kasema wao kama umoja wa
vijana hawako tayari kuona serikali ya umoja wa kitaifa
inawafia mikononi mwao na ndio alipomlaumu Maalim Seif
atii
kwa kutoa lugha hatarishi ambazo zinapelekea kudhoofisha
umoja nchini. Huku akitoa mifano ya nchi ambazo ziliungana
na kuunda serikali ya umoja na baadae zikarudi katika
mfumo
wa awali hivyo sio ajabu kwa Zanzibar kurudia mfumo
waliotoka kwani serikali za kitaifa huundwa kwa muda tu. Huo
ndio Shaka Hamdu Shaka. In biological
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO
No comments:
Post a Comment