Sunday, July 31, 2016

PICHANI ALIYEVAA SHATI LA DRAFTI NI SAYYID JAMSHID ALIYEKUWA MFALME WA NCHI YA ZANZIBAR












Pichani aliyevaa shati la drafti ni aliyekua mfalme wa nchi ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Mauwaji ya Wazanzibari ya mwaka 1964 Sayyid Jamshid.
Hapo amehudhuria maziko ya marehemu Nassor Marjeb yaliyofanyika siku ya Ijumaa tarehe 29/07/2016 mijini Portsmouth Uingereza.
Marehemu alikua afisa mkuu wa upelelezi katika jeshi la polisi kabla na baada ya Mapinduzi,Na baadae akakamatwa kama walivyo kamatwa Wazanzibari wengine na kuwekwa kuzuizini katika gereza la Bamkwe baada ya kuachiwa alikimbilia Uingereza hadi kifo chake.Mungu amlaze mahali pema peponi-Ameen.Sasa yukumbushani jambo moja 
Kuna msemo unasemwa ukitaka kumtawala mtu fanya mambo matatu.mtie ujinga .mnyime elimu .mtie umaskini.na hilo ndilo walilofanya Wakoloni,Makaburu,Masultani Weusi Tanganyika juu ya Zanzibar na kwa Wazanzibari kwa ujumla wametiwa ujinga,wakanyimwa elima na wanaendelea kunyimwa elimu maana majuzi tu tumeona jinsi maskuli yalivyo feli vibaya vibaya na sasa tumetiwa umasikini mpaka Wazanzibari tunakula ugali asubuhi na chai kuna watu mpaka leo atii wanaambiwa na kuamini musimpe kura maalim seif atamrudisha JAMSHID zbar.huyo aliyevaa shati nyeupe ya drafti ni mfalme aliyetawala zanzibar anaitwa JAMSHID kabla ya hayo yanayoitwa mapinduzi.sasa watu wanaambia eti atarudi kuja kutawala tena zbar na atawafanya watumwa na ukoloni utarudi Zanzibar hebu muangaliene huyu kweli anahaja ya kuwa Sultani...?

Ukweli hausemwi hii ni nyimbo tu ili Wazanzibari tuzidi kulala na Mkoloni Mweusi Tanganyika azidi kutumaliza.Wazanzibar tubadilikeni hakuna muarabu atakaekuja zanzibar hebu angalieni nchi zao Oman,Qatar,Dubai, n.k. kama hamuwezi kufika huko hebu ingieni katika youtube muangalie video za nchi zao kisha mujiulize kweli mtu kama huyo iwache nchi yake aje kungangania kuishi kitope,mwera,bumbwini,tumbatu kwa lipi haswa....? hii ni bla bla bla tu ya Chama hichi cha Mkoloni Mweusi Tanganyika CCM kuendelea kuitawala nchi yetu ya Zanzibar na kuimaliza na sisi bado tu ati tumejipanga mwaka huu wataisoma nani anae isoma wao wanamaji ndani ya majumba yao sisi maji hayatoke nchi zao zina umeme sisi hatuna tulilo nalo,nchi zao wanakula wanavyotaka sisi ukipata mlo moja basi siku hii ni Eid Mubaraka hospitali zao madokta na manasi na madawa kila kona sisi mnazimoja mpaka glavis na pamba uje nazo mwenyewe hii sisi wazanzibari tuna nini kuwa hatuoni haya Mkoloni Mweusi Tanganyika anaitawala Zanzibar na kuwatawala Wazanzibari wanagaiwa mapande mapande kwa kutumiwa nano hizibu na hao vibaraka wao vijibwa koko vimo vinaendelea uhizbu na watamleta muarabu hatujaskia Tanganyika kuambiwa musimchaguwe mbowe au chadema atamrudisha Mjerumani au Muengereza aje atawale Tanganyika. Ila Zanzibar.mabalaa yote yanasukumizwa Zanzibar muarabu mara hizibu.mara huyu nani..wazanzibar wote ni wamoja na Zanzibar ndio pao hawana pakwenda achenu upumbavu na tumtimuwe Mkoloni Mweusi Tanganyika kisha tujenge nchi yetu ya Zanzibar au ashike adabu yake na adabu imshike kisha tutamuambia ni nini tunachotaka kushirikiana nae ili tuishi kwa salama na majirani zetu lakini huyu Mkoloni Mweusi Tanganyika lazima nchi hii aiteme akitaka asitake ataitema tu wareno walitema waingereza walitena masultani walitena na huyo Mkoloni Mweusi Tanganyika na vijibwa vyake hapa Zanzibar lazima waiteme.

PART 11 MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ANAENDELEA NA ZIARA YAKE HUKO NCHINI MAREKANI JIJINI BOSTON












Friday, July 29, 2016

TV KITANGI MBONA HAMTUONYESHI ZIARA YA SHEIN HUKO U.K WALA HAMTUONYESHI ZANZIBAR INAVYO GEUKA KUWA DUBAI


ccm uchwara vipi mbona hatuionii hiyoo ziara ya dr ali mohd shein huko UK na wala hilo tivii kitangi halijaonesha masifa yakee juu ya mtawala huyo wa zanzibar
kulikoniiiiiiiiii? ........................

Thursday, July 28, 2016

VIDEO-Blind Muslim Trust Experiment - Los Angeles


MIMI AU SISI NI WAISLAMU WATU WAMETUBANDIKA JANA LA KUWA
SISI NI MAGAIDI NAZIMA MACHO YANGU NAKUAMINI WEWE JE
WEWE UNA NIAMINI MIMI KAMA UNANIAMINI NIKUMBATIE.

VIDEO-"I Am a Muslim" Project. I AM A MUSLIM THAT MAKE ME.....???


MIMI AU SISI NI WAISLAMU JE WEWE UNATUONAJE...?

VIDEO-MEET A MUSLIM - ENGLAND / "I Am a Muslim" Project. I AM A MUSLIM THAT MAKE ME...???


ULIMWENGU UMETUBADIKA JINA KUWA SISI NI MAGAIDI
DINI YANGU YA KISLAMU INATUFUNDISHA KUWA YOYOTE
ATAKAYE UWA MTU ASIYE NA HATIA ATAKUWA KAMA KAUWA
WATU WA ULIMWENGU MZIMA QURAN 5.32
JE WEWE UTANIPA JINA GANI MIMI...??

Wednesday, July 27, 2016

DIKTETA UCHWARA MKOLONI MWEUSI ANZA KUVIKONTROLO VYOMBO VYA HABARI ALISHINDWA FIRAUNI UTAWEZA WEWE DIKTETA UCHWARA



Press Conference imeanza. ITV, Chanel Ten na Azam Tv waliokua warushe Live mkutano huu, wote wamesema wana matatizo ya kiufundi. Inaonekana fundi mitambo wao ni mmoja anaromote yake akibofya tu TV nchi nzima zina zima.!

VIDEO-DUBAI YA SHEIN HIYOOOOOO


CCM TUMEJIPAGA MWAKA HUU WATAISOMA
Dubai ya Dokta imeanza kuimarisha sekta gani....??
1. ELIMU...? Mbona juzi tu matokeo yameonesha Zanzibar imeboronga zaidi kielimu...??
2.AFYA...? Mbona hata chanjo za watoto hakuna tena hospitali.....??

3.BARABARA...? Mbona kule Fuoni bado tunakula vumbi, tunalala kwenye vumbi....??
4. AJIRA...? Mbona vijana na wasomi tunahangaika tunazunguka na CV zetu bila mafanikio...??
5. BIASHARA...? Mbona wafanyabiashara wanalalamika kila kukicha kuwa mambo magumu....??
6. USTAWI WA MAISHA...? Mbona wananchi wanazidi kudhoofu wanalia kila siku afadhali ya jana....??
KWELI SISI TUNAISOMA NAMBA ILA NA NYINYI MUNATIA IABU

Tuesday, July 26, 2016

PART 10 MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ANAENDELEA NA ZIARA YAKE HUKO NCHINI MAREKANI

Chaguo la Wazanzibari Maalim Seif akiwa na aliekuwa Rais wa Zambia Rupia Banda , pamoja na aliekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kwenye Mkutano wa Chama cha Democrat jijini Philadelphia Marekani.


Nitakuwa na mazungumzo na Bw. Vital Kamerhe, Kiongozi wa Upinzani nchini Kongo-Kinshasa. Mazungumzo kuhusu Siasa za Maziwa Makuu na haswa suala la Amani nchini Kongo. Vital ni mmoja wa wanasiasa wanaotarajiwa kuongoza DRC iwapo kutakuwa na uchaguzi Mkuu nchini humo kwa mujibu wa Katiba. Kabila anapambana kubadilisha Katiba ili aendelee kuongoza Kongo Kinshasa




Maalim Seif Sharif Hamad akihojiwa na timu ya waandishi wa Voice of America (VOA) waliopo kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Democrats nchini Marekani.

VIDEO-WACHE WAISOME NAMBA SASA MAANA CCM MBELE KWA MBELE SOMENI NAMBA SASA

NI NANI SASA ANAE SOMA NAMBA..? HAWA
WANAIMBA KABISA CCM NI ILE ILE WATU BADO TU
HAMJAELEWA KUWA NI ILE ILE HAINA JIPYA
CCM NI ILE ILE CCM ILEE ILEE SISI WAZANZIBARI TUSHAIJUWA
KUWA NI ILE ILE TABARA LILILO CHOKA HALINA FAIDA
ZAIDI YAKUTUTIA UMASIKINI NA NDIO MAANA TUIKATA NA TUNAENDELEA
KUIKATA MAANA NI ILE ILE NA ROHO LA CCM NI LILE LILE YA KUUWA WATU
NA KUFUNGA WATU JELA NA KUTESA WATU CCM NI ILE ILE WATESAJI NI WALE WALE






CCM IKIJA KUOMBA KURA PIC YA JUU CCM IKISHA PATA KURA PIC CHINI


"Mtumishi yeyote Wa Serikali Ninayoiongoza Mimi Akishindwa Kuitambua CCM Ajiandae Kuondoka Kazini" Maneno Ya Baba Jesca....Maana Yake Ni Ipi>Usipokuwa Mwanaccm Huruhusiwi Kuwa Mfanyakazi Wa Serikali>Hili Hajawahi kutokea Dunian Kote Ila LEO Limetokea Tanzania.