Wednesday, August 17, 2016

VIDEO-MOUDLINE CASTICO ACHAKUTUTUKANA WAZANZIBARI KUMBUKA WEWE MWENYEWE SIO RAI WA NCHI YA ZANZIBAR UWAZIRI UMEUPATA KWA KUWEKWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

Waziri%20Uwezeshaji,%20Wazee,%20Vijana,%20Wanawake%20na%20Watoto,%20Moudline%20Castico
Waziri aliyeletwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika na kufanywa ati waziri wa uwezeshaji, wazee, vijana, wanawake na watoto, Moudline Castico nchini Zanzibar anza na haya matusi kututukana sisi na dada zetu CCM oyeee CCM oyeee
SERIKALI ya Haramu ya Shein na Gengi lake imekiri kuwa vijana wanaokwenda kufanyakazi nje ya nchi, wamekuwa wakikutana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. (nyinyi wenyewe munawafanya nini siku za uchaguzi nyinyi si ndio wa mwanzo munao wadhalilisha kijinsi kisa hawajaipigia kura CCM leo mnasema nini nyinyi.)
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ati ‘Siku ya Vijana Duniani’,Waziri aliyeletwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika na kufanywa ati Waziri Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Moudline Castico alisema Serikali ya Zanzibar imeshakaa na Ubalozi wa Oman na nchi zingine kuondoa matatizo yaliyojitokeza ya udhalilishaji. (mbona umeitaja Oman tu hizo nchi nyengine hukuzitaja au ndio mnaendelea na kasumba zenu za uwarabu na utwana ili watu waendele kuichukia Oman.)
Alisema vijana wengi wanaokutana na matatizo ya udhalilishaji ni wale wanaondoka kwa njia za panya bila ya kufuata taratibu za safari kutoka serikalini, hivyo kuwataka vijana kuhakikisha wanaondoka nchini kwa kufuata taratibu ili wanapopatwa na matatizo, serikali iwasaidie. (kwanza nyinyi mumeshindwa kuwajiri vijana,pili kunavijana wangapi walio hapo hapo Zanzibar munashindwa hata kuwapa mkate wa asubuhi na chai kavu wachilimbali kuwapa kazi mtaweza kuwasaidia walio anje ya nchi hebu wacheni kasumba na upumbavu kani mule haramu ya hiyo miaka mitano ikiwa m.mungu atawawacha muimalize musiwazidishe machungu watu kwa kubwabwaja kwenu kusiko na maana yoyote njia zapanya kila kijana anahaki ya kuwa na paspoti akitimia miaka 18 hamuwapi kwa uhasidi ulivyo waja mnatarajiwa wakae hapo wafe njaa..??)
“Ni kweli baadhi ya vijana hasa wanawake wanaokwenda kufanya kazi za ndani Oman na Muscat, huwa wanafanyiwa vitendo vya udhalilishaji na waajiri wao huwanyang’anya hati za kusafiria ili wasiweze kurudi wanapodhalilishwa. ”(nyinyi na MAZOMBI wenu mushawadhalilisha wanawawake wa kizanzibari mara ngapi...?)
Aidha, alisema licha ya kudhalilishwa na kunyanyaswa kijinsia, alisema vijana kutoka Zanzibar ni wavivu wa kufanya kazi na kuwapa wakati mgumu waajiri wao. (wavivu wavivu lini serikali lenu la kijambazi liliwapa kazi wasichana wa kizanzibari wakafanya uvivu...? wewe Mzambi umekimbia kwenu umekuja hapa umekuwa waziri unakula mshahara wabure wa kodi za hao hao unao waita wavivu ambao mumewavunjia mabanda yao,mamatilie,kina dada wauza chapati ndio unakula kodi zao kisha unawaita wavivu mbwa mkubwa wee utarudi zambia ukalime mahindi subiri tu.)
Alisema Wizara yake kwa kushirikiana na Kampuni za Uwakala wa Ajira Zanzibar, imewaunganisha vijana 498 kwenda kufanya kazi Oman, Qatar, Kuwait na Saudi Arabia. (simnasema warabu watu wabaya sasa kwanini serikali lenu la kijambazi halianzishi kazi hapo hapo zanzibar mukawajiri mummo tu kuwapeleka huko huko kwa warabu munavyo waita nyinyi masultani kwa nini....?)
Alisema vijana hao wameajiriwa kwa nafasi za kazi za udereva, saluni, hoteli, upishi, kazi za nyumbani, ubaharia, taasisi za fedha, viwandani na ulinzi katika sekta binafsi. (OH Zanzibar si tuliajiri wenyewe hapa kisha nyinyi mkasema marufuku kufutarisha kuuza chakula, chips mishkaki, urojo, juice, hata kahawa, serikali inawavunjiya wafanya biashara sehemu zao za kutafuta risk. Acheni undumi la kuwili kama hamna hoja kakayeni maskani ya kisonge mcheze bao.
Hata hivyo, alisema bado kuna wimbi kubwa la vijana wa Zanzibar ambao hawana ajira pamoja na juhudi za serikali za kuwajengea uwezo wa kujiajiri kupitia sekta isiyo rasmi. Castico alisema serikali chini ya mpango huo, imefanikiwa kutoa mikopo 337 yenye thamani ya Sh. milioni 523.4 na kuwanufaisha wananchi 1,907 Unguja na Pemba. (Kama serikali ya madikteta uchwara ya Tanganyika na Zanzibar imeshindwa kuwapa ajira wananchi na sasa mnajidai ati kutoa mikopo nyinyi wenyewe mishahara yenu ni ya kubangaiza mtawapa rai mikopo porojoo tu semeni kweli munawapa watu wa maskani za CCM hapo tutakubali lakini sio wananchi.)

No comments:

Post a Comment