Wednesday, November 30, 2016

VIDEO-MTENDENI! MTENDENI! MTENDENI! WANANCHI WAFURIKA LEO KUJUA KHATMA YA NCHI YAO YA ZANZIBAR

Mtendeni! Mtendeni! Mtendeni! Maelfu ya wafuasi wa CUF wafurika leo kujua khatma ya serikali
Maalim Seif atoa neno baada ya maelfu ya wafuasi wa CUF kufurika Mtendeni kutaka kujua khatma yao

VIDEO-RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR NA KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD KATIKA HUTUBA YAKE NA WANDISHI WA HABARI

Sehemu ya kwanza ya hutuba ya Maalim Seif aliyoitoa kwenye mkutano na waandishi wa habari
Sehemu ya pili ya hutuba ya Maalim Seif aliyoitoa jijini Dar es Salaam

VIDEO-HISTORIA NA MAISHA YA MWANAMAPINDUZI WA NCHI YA ZANZIBAR KASIM HANGA

Historia na maisha ya Mwanamapinduzi wa Zanzibar, Kasim Hanga
Mtazamo wa Kasim Hanga juu ya muungano feki wa nchi Tanganyika wakoloni weusi na Zanzibar tuliokubali kudanganywa kwa miaka 50 na ushaiya kuwa nchi yetu ilivamiwa na masultani

Saturday, November 26, 2016

RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD/CUF NA MADUI NA UWADUI WA MACCM UNAVYO GONGA MWAKA NA KUFA CHALI HUKU MAALIM AKIZIDI KUPENDWA NA KUGHARA

12108217_1510210959291104_9154562405414841033_n
Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, nchini Zanzibar
MIAKA 50 NA MUMATAWALA MBONA HAMJAJENGA HATA
KITUO CHA KUUZA MABUNGO NA MASHELISHELI
MAJI NA UMEME HAMNA MTAJENGA VIWADA 
UCHAGUZI WENU HUU WA MARUDIO HIZI NDIO KURA ZENU
ZA USHINDI
HOTUBA NZIMA YA RAIS DKT MAGUFULI ZIARA YA UNGUJA

Picha: Maalim Seif Sharif Hamad ambaye tarehe 22 Oktoba 2016 alitimiza umri wa miaka 73, alizaliwa tarehe hiyo, mwaka 1943. Maalim Seif ni kipenzi cha Wazanzibari kwa asalimia 79.5 wanoishi ndani na asilimia 91.03 wanaoishi nje ya Zanzibar. Habari iliyopo chini, Julius Mtatiro anaeleza ni kwa kiasi gani Maalim Seif na CUF kwa ujumla wanavyokumbana na changamoto nyingi za uadui zinazotengenezwa na kuratibiwa na Serikali za CCM ya Zanzibar na ya Muungano kupitia viongozi wa awamu zote za serikali hizo. Changamoto hizo bado zinaendelea na kwa dalili zote zimeanza kuonesha kuwa awamu hii ya tano ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano, inayoongozwa na Rais Dk John Magufuli, imefurutu ada na mipaka dhidi ya Maalim Seif na CUF. Ushahidi wa hilo, tizama hotuba za Dk Magufuli, alizozitoa miezi mitatu iliyopita kwenye uwanja wa Kibandamaiti, Unguja na ile ya uwanja wa Gombani, Pemba.
Dk Magufuli ni Rais wa Tanzania, aliyeshindwa kuficha ubaya na chuki zake za moyoni dhidi ya Maalim Seif. Ni dhahiri yanayotokea sasa, kupitia msajili wa vyama vya siasa, kupitia vitendo vya polisi na kadhalika ni maagizo ya Dk magufuli. Wahenga wana msemo kwamba: “Nyota njema huonekana asubuhi” Maalim Seif ni nyota njema iliyoonekana tangu asubuhi. Kwa hivyo, Dk Magufuli na wenzake wote wataendelea kufanya ubaya dhidi ya Maalim Seif na CUF, wakichoka wataangusha manyanga chini. Kwa ufupi ni kwamba, DUNIA itafika mwisho au niseme KIAMA kitawadia lakini CCM kwa Unguja na Pemba haiwezi kuja juu tena, kinachofanyika ni mabavu ya dola. Tangu uchaguzi wa mwaka 1995 mpaka uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka jana 2015 CCM Pemba, imepoteza uwakilishi kutoka kwa wananchi. Hali hiyo inabainisha kuwa, kwa Zanzibar, CCM imebakia ghaito kukata roho. Huo ulikuwa utangulizi wangu, lakini njama, ubaya na uadui vinavyofanywa na serikali za CCM, dhidi ya Maalim Seif na CUF soma KUMBUKUMBU iliyowekwa hapo chini na Julius Mtatiro, Mwenyekiti wa CUF Kamati ya Uongozi Taifa.
Na Julius S. Mtatiro
Ijumaa, Novemba 25, 2016
….NIWAKUMBUSHE wasomaji mwanamama mmoja aliyejulikana kwa jina la Anjelina Levarasi a.k.a ‘Anjelina Mrema. Alivuma sana nchini. Huyu alidaiwa kuzaa na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augsutine Mrema. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilijua fika jambo hilo, lakini ni baada tu ya Mrema kujiengua kwao. Anjelina alitoka na kutangaza hilo hadharani na CCM ikamdaka kuendeleza kampeni chafu hiyo kwa kumtumia ili kumvunjia staha Mrema; wakati huo akiwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi. Mwanamama huyo alikwenda nyumbani kwa Mrema kudai hili na lile. Alifikia hatua ya kuvua nguo zote na kubaki uchi. CCM wakachekelea.
Hata hivyo, Anjelina alifika mwisho bila kupata cha maana kutoka CCM waliomtumia. Mwishowe alikuja kufa kifo cha kusikitisha akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni (guest house) bila ya msaada wowote. Waliokuwa wakimtumia hawakumsitiri. Michael Nyaruba aliyekuwa kiongozi mwandamizi Chama cha Wananchi (CUF), ni mfano mwingine. Hakuwa mali kitu kwa CCM hadi pale alipokosana na viongozi wa CUF. Alihamia CCM ambako alionekana lulu. Akatumiwa kuvuruga CUF. Alijinasibu kujua siri za aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CUF wakati huo, Seif Sharif Hamad, ambaye sasa ni katibu mkuu wa chama hicho na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Siri alizodai kuzijua zikihusisha viongozi wa CUF zikatumika kutengeneza “kesi ya uhaini” Zanzibar. Nyaruba alikuwa anakwenda Zanzibar kama mfalme.
Akikodishiwa hadi ndege na kuandaliwa mikutano ya hadhara uwanja wa Malindi, kwa ufadhili wa iliyokuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) chini ya Rais aliyejipachika jina la Komandoo, Dk. Salmin Amour. Siyo tu alihudumiwa usafiri na matumizi kwa safari za kwenda na kurudi Zanzibar kuandaa ushahidi dhidi ya Maalim Seif ili ashitakiwe mahakamani, bali pia alipewa ulinzi mzito. Hakufika mbali. Aliishia tu mtu wa kutumwa na kazi yake ilipoonekana haina tena tija, akatelekezwa na CCM. Kwa kuwa angali hai, mwenyewe anaweza kueleza haya vizuri zaidi. Mtu mwingine wa mfano huo ni Salum Msabaha Mbarouk, kijana aliyekuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi, jimbo la zamani la Mkunazini, kupitia CUF. Wapinzani wa CUF walipofanikiwa kumlaghai, alidai ametekwa katika tukio ambalo halijawahi kuelezwa bayana mpaka leo.
Alidai amefichwa kusikojulikana na mara moja akamtaja aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ, Idi Pandu Hassan akidai kuwa alihusika. Wakati huo alishatangaza kujiuzulu uwakilishi. Hapo CCM ikaona imepata. Ilimtumia Msabaha ili kuidhoofisha CUF. Hatimaye alijiunga na CCM ili maisha yaendelee kwa kuwa jamii ilianza kumchukulia ni msaliti. Watatu hao wanatosha kuonyesha kuwa CCM ina jadi ya kutafuta watu wa kudhoofisha nguvu za upinzani, lakini baadaye hukwama huku wakikosa walichokitarajia.” Mwandishi wa Makala nzima ni Mbasha Asenga, ilichapwa kwenye Gazeti la Mwanahalisi, Tarehe 30 Mei 2012. Mimi nimenyofoa kipande tu, kwa hisani ya Ali Baraka Kh. JSM..

VIDEO-MASHEIKH WAKIONYESHWA KUTOKA JELA ILA HATUJAWA NA UHAKIKA KAMILI BADO TUNAFUATILI ILA ALHAMDULILAHI.


HII NI VIDEO YA MASHEIKH WETU WAKIONYESHWA KUACHIWA KUTOKA JELA ILA MPAKA SASA HATUJAWA NA UHAKIKA MAANA KWENYE BAADHI YA FACEBOOK WANASEMA WALIPELEKWA JUZI ZANZIBAR HAKAMANI KISHA JELA YA KINUWA MIGUU NDIO WAKAWACHIWA WANGINE WANASEMA KUWA VIDEO HII NI KUONYESHA WALIPOACHIWA KATIKA JELA YA SEGEREA ILI KURUDI ZANZIBAR KATIKA MAHAKAMA YA VUGA ILI WAJIBU SHTAKA LA KUANDAMANA VYOVYOTE ILIVYO IKIWA NI KWELI WAMEACHIWA BASI TUNAPENDA KUSEMA ALHAMDULILAHI ALHAMDULILAHI ALHAMDULILAHI ALLAH AKBAR M.MUNGU AWAZIDISHIE UVUMILIVU MASHEIKH NA FAMILIA ZAO NA KWA WAZANZIBARI WOTE KWA UJUMLA NI FURAHA ILIOJE.

Kwa mujibu wa Salma Said hapo Chini Jana 25/11/2016

Viongozi wa Uamsho wameletwa leo Zanzibar kutoka Dar es salaam kwa ajili ya kesi yao ile ya mwaka 2012 ya kufanya maandamano na kuharibu miundombinu ya nchi kesi inaendelea Mahakama ya Vuga.
Natoa pole kwa wake na watoto wao hebu hesabu hiyo miaka ya kukaa mbali na familia zao. Allah ajaalie salama.

Ahsanteni

Friday, November 25, 2016

WAWAKILISHI WAHOFIA KUFA KWA CCM

tapatalk_1479990808136
WANAO IPENDA CCM WANA SIFA HIZI MWIZI, JAMBAZI, KITIMBA KWIRI, UNAPENDA DHULMA, MUUWAJI, MTESAJI, MNAFIKI, MFINITISHAJI, TAMAA, MBAKAJI, HASIDI, AKILI ZA SAMAKI, MUHARIBIFU, MFUJAJI, MWENDAWAZIMU, MFUPI WA MAWAZO, WAVIVU WA KUFIKIRI, WAJINGA, HAWASHAURIKI, VIZIWI N.K.

VIDEO-VUNJA VUNJA MABANDA YA KIJANGWANI NCHINI ZANZIBAR


Video fupi ya vunja vunja ikiendelea kijangwani, Heee mwaka huu una mambo kweli.. walifikiri watu watakaidi ili wapate kutaifisha mbao wakauze wajilipe mishahara mume chelewaa.

Aaama kweli.

Tuesday, November 22, 2016

SHUKRAN JUU YA MICHANGO YA UJENZI WA SKULI YA KISLAMU KENGEJA PEMBA

kengeja-school
Tunawashukuru wale wote waliochangia michango yao,lakini hata hivyo bado twahitaji michango yenu.Ili kujua hatua tuliofikia katika ujenzi tumia whatsaap namba 0776 563977 au 0777 8419 21.Ili uombe kuungwa na group ya ujenzi upate maendeleo ya kila hatua na kujua nini kimebakia na nini kinahitajika changia ujenzi huu,kwani hii ni sehemu ya Swadaqatul Jariyyah
Unaweza kuchangia kwa ezzy pesa 0776 56 39 77 (jina hamza Yussuf Hamza) na tigo pesa 0719 685964 (jina asya salum) na kwa walioko nje ya nchi wanaweza kutuma kwa western union,money gram ,bakaal au dahabshil jina la mpokeaji ni Hamza Yussuf Hamza.
Au unaweza kufika Kengeja Pemba kwa maelezo zaidi na kujionea sehemu husika ,chochote kinapokelewa ikiwemo ushauri,vifaa vya ujenzi nk
kumbuka chochote utakacho kitanguliza utakikuta kwa allah kikiwa na ujira mara mbili zaidi changia ili kizazi kipate elimu yenye misingi imara kwa maendeleo ya baadae.

Monday, November 21, 2016

VIDEO-CCM,CUF,CHADEMA,NCCR NA VYAMA VINGINE WOTE WANAISOMA NAMBA KWA NJAA NA SHIDA YA PESA ILIVYO INGIA NCHINI

Ndugu wanaukumbi tarifa tulizonazo katika vyanzo vyeti tafauti nikua Bada ya Waziri wa Ardhi wa SMZ Bibi Salama Abuu Talib kutangaza kupokonya viwanja , fance za viwanja na foundetion...?? Tayari wana chama wanaojita wana CCM wameshaanza kuvamia maeneo hayo na kuanza kuyaodhi wao. Visa hivi sasa vimeshaanza kuenea maeneo ya Chukwani Bweni,Tunguu, kuna riport kua wanachama wa CCM wameshaanza kujimilikisha maeneo hayo kabla hata hio februry kufika...?? Haya ni mambo yale yanayolingana na ujengaji makanisa ovyo ovyo katika mashamba ya watu kwa watu wenye asili za Tanganyika kwa kitumia mwevuli wa CCM bila kupewa karipio au kustopiShwa na SMZ.
Kwa hivi sasa tayari kuna wanachama wa CCM wameshaanza kujimilikisha maeneo hayo kwakutumia utashi wa itikadi za chama ili kupata baraka za chama chao cha CCM kua kitawalinda. Kwahio tunataharidhana kua muwe macho kazi ya CCM/SMZ imeshaanza na usishangae kuja kuona kiwanja chako foundation yako imekuja kuchukuliwa na kumililishwa mtu mwengine. Wameweka kipindi kifupi makusudi Feb kua ndio mwisho lakini hata hivyo wameona wanzee kuanzia sasa kufanya hivyo . 
Kwa upande wa Masheikh Miskiti
Mingi wanavyu wameshaanza kutoa tahadhari kua kwa kipindi hichi wananchi wenye kuipenda dini yao na kuogopa dhulma wasije wakanunua kiwanja au foundation ya mtu hata wakauziwa kwa bei poa. Kufanya hivyo nikupandishwa mkenge na mbele ya Allah na wao watashiri kikamilifu katika dhulma hawatokuja kujitetea kua hawakufahamishwa ujumbe ni huo na umesha enea na jaribuni wana ukumbi kuwenezea. Serekali inajua fika hali ya maisha ya Tanzania kwa sasa ni mbaya pesa imepotea na vitu bei juu na kila mtu anakokorea kutokana na ukali wa maisha kula yake mtu ya siku inamshinda hali ilivyo ngumu. Leo Serekali imepokuja na jambo jengine jipya tena angalau wangetoa muda wananchi wakajipanga lakini ni Sept to febrary , jee kuna tajiri gani Zanzibar awezae kujenga nyumba kwa kipindi cha miezi 4...?? Kama si Serekali ya SMZ kuwatia adabu wananchi wake.
Huo ni ujumbe tumeupata sasa hivi katika chanzo chetu.
Kidumu chama cha mapinduzi...?? Kidumu chama cha Mapinduzi...??

Saturday, November 19, 2016

WANZANZIBAR NA WAISLAMU WOTE MLIPO ULIMWENGUNI TUNAOMBA DUA ZENU KWA MASHEIKH WETU

NCHINI TANGANYIKA KWA WAKOLONI WEUSI MAISHA YAMEZIDI KUWA MAGUMU KWA MASHEIKH WETU WAKIWEMO MSELLEM BIN ALLY, FARID HAD AHMED, SHEIKH MUSSA NA WENZAO, HIVYO BASI WANAWAOMBA WAISLAMU WENZAO WAWATAKIE DUA KWA ALLAH HALI HIYO IWAONDOKE SOTE TUNAOMBWA TUWAOMBE DUA NA KILA MOJA AJITAHIDI KUMFIKISHIA MWENZAKE UJUMBE HUU ALLAH ATALETA KHEIR IN SHAA ALLAH.
Afbeeldingsresultaat voor sheikh farid hadi ahmed
Gerelateerde afbeelding
Afbeeldingsresultaat voor sheikh farid hadi ahmed
Gerelateerde afbeelding
Afbeeldingsresultaat voor sheikh farid hadi ahmed
IMG_4051
Afbeeldingsresultaat voor sheikh farid hadi ahmed
Gerelateerde afbeelding
Gerelateerde afbeelding
Afbeeldingsresultaat voor sheikh farid hadi ahmed

Thursday, November 17, 2016

VIDEO-MARAISI WOTE WA ZANZIBAR JINSI WALIVYO IUWAA NA KUANDELEA KUIYUWA NCHI YA ZANZIBAR

Afbeeldingsresultaat voor mzee karume na nyerere wakitia saini
MZEE ABEID AMANI KARUME ALIPO IUWAA ZANZIBAR KWA KUINGANISHA NCHI YA ZANZIBAR NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA KWA KUTI AMRI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA
Gerelateerde afbeelding
MZEE JUMBE ALIPO IUWAA ZANZIBAR KWA KUINGANISHA A.S.P NA TANU KWA KUTIA AMRI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.
Afbeeldingsresultaat voor dokta salmin amour juma rais wa zanzibar
SALMIN AMOUR A.K.A. KOMANDO WA UDONGO ALIPO IUWA ZANZIBAR KWA KUITOWA O.I.M. KWA KUTI AMRI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.
Afbeeldingsresultaat voor amani abeid karume
AMANI ABEID KARUME ALIPO IUWAA ZANZIBAR KWA KULAZIMISHA KUTAWALA ZANZIBAR KWA NGUVU ZA KIJESHI HUKU ANAJUWA KUWA HAKUSHINDA KATIKA UPINGWAJI WA KURA ZA CHAGUZI ZOTE MBILI
SHEIN NAE ASHA IUWAA ZANZIBAR KWA KUTIA SAINI YA SHERIA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILI ZANZIBAR CHINI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

Saturday, November 12, 2016

MWAKA 1964 WALENGWA WALIKUWA NI WAARABU TUKAWAPA JINA (MASULTANI) MWAKA 2017 WALENGWA NI WAFRIKA MAPINDUZI DAIMA KIDUMU CHAMA CHA KUPINDUWA WAZANZIBARI NA KUWAUWA WAZANZIBARI CCM

IMG_3726
Salama Aboud Talib
Waziri wa Dhulma na Madhalim,ardhi makazi maji na nishati na mazingira
Waziri wa ardhi Bibi Salama Aboud Talib ametangaza kiama kua ifikapo febuary 2017 yani miazi 4 tu kutoka sasa kua atazitaifisha viwanja vyote vilivyo kua vimezungumshiwa kuta au viwanja vyenye foundetion ya nyumba bila kulipwa fidia au mkopo wakukopeshwa wahusika kuendeleza majengo yao. Nikimnukuu anasema hio ni kwamujibu wa sheria ya Zanzibar ya 1984 kua ardhi ni mali ya Serekali. Sasa wana ukumbi tujiulize ok ardhi ni mali ya Serekali..? Jee hio Serekali ni akina nani....?? Sisi maskini wazalendo wa nchi yetu tulio hapa nchini Zanzibar ambao kila siku tunasema  tumepindua sasa sisi hatumo katika Serekali hio alio itaja Mh Bibi SALAMA ABOUD TALIB...??

Huwa tunasema kila siku Tumepindua 1964 kwa kuondosha zulma,ubagizi na unyanyasaji ili tuishi kama wananchi walio huru katika nchi yao na ardhi yao. Sasa sheria hii ya ukandamizaji ya wenyewe kwa wenyewe wafrika kwa wafrika wa Wazanzibar tunao jinasibu kua tuko huru ndani ya nchi yetu huyu Bibi kapewa na nani...? Kama ni sheria ya Serekali ya mapinduzi ilipindua kwa lengo hilo hapo juu...?? basi chama cha CCM kimefeli na Serekali yake kuenzi mapinduzi na mazumuni ya mapinduzi. Hii watakayo ifanya ita wa cost sana na litakua ni donda sugu jingine kubwa zaidi tukiachana na lile la 1964, hili litakua kushinda lile maana watatifua chuki baina ya Serekali ya CCM na wananchi wake ambao ni Wafrika sio Warabu kama walivyo sema 1964 mara hii ni Wafrika wenzao. Wako vigogo waliokua nyuma ya msukumo huu wa huyu Bibi Lakini wajuwe likipasuka hili litakua silammoja na CCM Zanzibar itakua haina manusura kwa kukatika vipande vipande’jaribuni tuone...??

Hata kama ni Sheria lakini hio sheria hapa kwa style hii haikuangalia huruma za maskini Wananchi wa zanzibar wa kipato cha chini ambao ndio wengi nchini Zanzibar. ikiwa leo Mzanzibar kajaaliwa angalau hajajipangaa vizuri kupiga foundation lakini kajaliwa tu kuzibia uaa (ukuta) kiwanja chake. unasema mutakitaifisha...? Kama SMZ sikuwatengenezea maradhi ya kichaa (wendawazimu) wananchi wake ni nini lengo...?? CCM kwa hili itafeli tena itafeli sana na wanaichimbia kaburi wenyewe kwa mikono yao vigogo na watu wataazidi kuichukia CCM na kulaniwa mbali ya kuichukia. Sheria gani hio kandamizi eti ardhi ni mali ya Serekali wakati wowote wanaweza kuichukua...?? Ok lakini mumesahau kua ndani ya hio ardhi kuna binadamu wanaishi kwa kipato duni na wenye uwezo tafauti ya kimaisha....?? Sasa na hao ndio muko tayari kuchukua maisha yao kwa kuwanyaganya....??

Hivi sasa tayari watu kwa tarifa yako Bibie BI SALAMA ABOUD TALIB wanakusukumizia Ma Dua makubwa makubwa kwa kukushtaki kwa M/mungu,sasa kama unao ubavu wa sheria na katiba kukulinda. basi muulize Kamandoo Dr Salmini Amour na Balozi Seif Iddo  Baloteli hali yake ilivyo sasa na usisahau kuwa wako walojifanya majabari na kufanya mambo katika nchi hii ya Zanzibar,hivi sasa kwa tarifa yako wanakula mavi yao,na wengine wameshatangulia mbele ya haki kujibu. In shallah Allah atujalie Wazanzibar lenye kheri na sisi na Yarabii Jalia uwalinde na madui masheikh zetu huko waliko na utulinde na wabaya na mabaya wazanzibar wote sisi na nchi yetu.

Wednesday, November 9, 2016

VIDEO-NASAHA KWA VIONNGOZI WOTE MAADHALIM NA WAENDELEZAJI WA DHULMAA NCHINI ZANZIBAR


Uchaguzi Zanzibar . 20~03~2016

Maalim Zuber Juma Khamis ni miongoni mwa walimu wa zamani wa Unguja, aliyesomesha skuli nyingi hasa skuli za mjini.
Maalim Zuber, kitaaluma ni mwalimu wa skuli, baadaye alibadilisha kazi na kuhamia katika kazi ya uhakimu katika mahakama za wilaya. Ni mwenyekiti wa pili tangu Tume ya Uchaguzi ya nchi ya Zanzibar (ZEC) kuanzishwa.
Maalim Zuber, aliteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dk Salmin Amour (awamu ya 5) kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), mapema mwaka 1995 baada ya mwenyekiti wa kwanza wa tume hiyo, Maalim Mwinyiwesa Idarous, kujiuzulu kwa kashfa za kuropokwa.
Maalim Zuber kwa muda wa miaka mingi sana aliishi Hamamni, kwenye nyumba zilizopo Jaws Corner,nchini Zanzibar.
Alihama eneo hili la Jaws Corner baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ambao uliibua utata na shangwe za migogoro kwa muda wote wa miaka mitano.
Maalim Zuber, alidorora sana katika kumtangaza mshindi wa u-rais wa nchi ya Zanzibar, ilhali ilijuilikana wazi kuwa CUF, ilishinda hadi kupelekea Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, kulalamika kwa kusema hawakubaliani na matokeo ya uchaguzi yalivyo.
Uchaguzi ulifanyika siku ya Jumapili, Jumatatu adhuhuri kura zote za urais zilikuwa zimeshahesabiwa, mshindi tayari alishajuilikana na kila mtu. Maalim Zuber, alimwendea Dk Salmin kumueleza kuwa ameshindwa.
Nakumbuka, Maalim Zuber ambaye BARAZA yake kubwa ya mazungumzo ilikuwa ni pale kwenye ukuta wa Skuli ya Mkunazini, kuelekea upande wa barabar ya Darajani.
Pamoja na kwamba alijitahidi kutunza siri lakini, kafa na siri nzito moyoni ya dhulma. Wapo wazungumzaji wake wanajuwa ukweli wa mambo.
Mbali ya Gazeti la Majira kutangaza matokeo siku ya Jumanne, kwamba CUF imeshinda lakini waandishi wengi wa ndani na nje walikuwa tayari na draft zao zinazoonesha kuwa CUF, imeshinda.
Maalim Zuber, alipotangaza mshindi wa u-rais Jumatano, na kumtanza Dk Salmin, mwandishi wa BBC World News, alibishana na Maalim Zuber: “No…No…Noooooo Salmin No…No…Noooo Salmin!. Alipiga mayowe na kwenzi akipinga kuwa Dk Salmin, hakushinda.
Waandishi wa habari wengi walishtushwa na matokeo kumtangaza Dk Salmin badala ya Maalim Seif, hali iliyoonesha wazi kuwa CUF ni mshindi wa u-rais.
Lakini, hata waangalizi la uchaguzi huo wa ndani na wa nje wote walijuwa kuwa CUF imeshinda na baada ya Maalim Zuber, kutangaza matokeo reports za waangalizi wa kimataifa zilieleza kuwa na shaka na utangazaji wa matokeo. Reports za waangalizi wa ndani hadi leo zimebakia kuwa embargo.
Kwa ufupi, Maalim Zuber Juma Khamis, Jecha Salim Jecha na wenyeviti ZEC wengine wote waliyopita na wajao kwa tume ya uchaguzi ya aina ya Maalim Zuber na Jecha, CUF isitarajie kabisa kutangazwa mshindi wa u-rais wa nchi ya Zanzibar. Hilo CUF, wanalijuwa 100 fil 100 isipokuwa ni ‘kuku lalalala kipanga yuwaja’.
Rais wa SMZ wa sasa Dk Ali Mohamed Shein, anajuwa kwa dhati kwamba si rais aliyechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi wa nchi ya Zanzibar.
Ma-Rais wote wa nchi ya Zanzibar waliyopita tangu mfumo wa vyama vingi kuanza 1995, wanajuwa kwa dhati kuwa wanakaa madarakani kwa mabavu ya Mkoloni Mweusi Tanganyika lakini, si kwa ridhaa ya Wazanzibari.
Isipokuwa ma-Rais wa nchi ya Zanzibar, Dk Salmin Amour na waliyofuata wote baadaye wanapaswa kufahamu kuwa kuna siku ya hesabu na hukumu.
Kuiba au kudhulumu ni uamuzi wa mtu mwenyewe kutoka ndani ya nafsi yake. Huko hakuna Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Mkapa, Kikwete wala Magufuli wa kuweza kuwalinda na kuwatete.
Kama ana akili na uwezo wa kusema kwamba hakuna ICC wala UN ya kuweza kumuondoa madarakani basi, akumbuke kuna mauti, kuna siku ya hesabu na kuna siku ya hukumu.
Kwa ufupi, kuna siku ya mwisho ambayo hiyo haina utetezi lakini pia, kuna siku ya hesabu na hukumu. Siku hiyo hakuna king’ora wala Jeshi la Polisi wa FFU na gwaride la uwanja wa Amani.
Siku hiyo hakuna mlinzi wa kumlinda kwa mgangoni wala hakuna uombezi kutoka kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika, kumlinda Rais wa Zanzibar, aliyedhulumu maamuzi ya watu.
Imeteremshwa Qur’an na haitoshi watu (waislamu) wametakiwa kuhudhuria misikitini kusikiliza darsa na mawadha ili kuzidi kujifunza na kujikumbusha kujuwa mazuri na mabaya, kujuwa dhulma na haki, kujuwa dunia na akhera na kujuwa pepo na moto. Viongozi wa Zanzibar, wajuwe hivyo..

Tuesday, November 8, 2016

VIDEO AFARIKI-JAJI ZUBEIR MAULID ALIYE WAHI KUWA MWENYEKITI (ZEC) AFARIKI DUNIA


Mh Jaji Zubeir Maulid,amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC), alikuwa ni mwalimu na aliwahi kushika nyadhifa mbali mbali Serikalini.Marehemu amefariki nyumbani kwake kwa nchini Zanzibar mjini, na maziko yanatarajiwa kufanyika kwao Mbuzini Unguja kesho.

VIDEO-ZA KOMANDO WA UDONGO ANZI ZILEE KIBRI KILIPO MJAA

KOMANDO WA UDONGO ENZI ZILEE
KOMANDO WA UDONGO ALIVYO MOMONYOKA MAANA NI UDONGO
KOMANDO WA UDONGO ENZI ZILEE
KOMANDO WA UDONGO ENZI ZILEE

VIDEO-SHEIN AJINATA NA KEJELI JUU KUHUSU ICC

HEBU ANGALIA HUU UCHAFUZI WAKO

SIKU YA KIYAMA KUTAKUWA NA MAMBO SIO MCHEZO
HIZI NDIO KURA UNAZO JINATA NAZO KUWA ATI UMEPIGIWA
KATIKA UCHAFUZI WAKO HEBU ANGALIA  HII VIDEO
KISHA JIULIZE HAWA KWELI WAMEKUPIGIA KURA...??

VIDEO-YULE SAMUEL SITTA AFARIKI DUNIA NA KUIWACHA NCHI YA ZANZIBAR HAPA HAPA KAMA ALIVYO IWACHA NYERERE NA WENGINE WANAO TAKA KUIMALIZA NA KUIDIDIMIZA NCHI YA ZANZIBAR.

HE: SITTA MEETS DIASPORA UK [PART 3]
HE: SITTA MEETS DIASPORA UK [PART 4]
Dar es Salaam. Spika wa Bunge Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.
Mtoto wa marehemu, Benjamin Sitta amesema baba yake amefariki saa 10:00 usiku wa kuamkia leo.
‘’Nikweli mzee amefariki nchini Ujerumani akiwa anapatiwa matibabu, alipelekwa Alhamisi iliyopita na alikuwa anasumbulia na saratani ya tezi dume ambayo ilisambaa na kuathiri miguu na mwili mzima.
Benjamin amesema kuwa taarifa za mipango ya kusafirisha mwili zitatolewa baadaye.
Sitta alikuwa Spika wa Bunge tangu mwaka 2005 hadi mwaka 2010 na pia mbunge wa Urambo Mashariki.
Pia, alikuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na aliwahi kuwa waziri katika wizara mbalimbali kwa vipindi tofauti.

Friday, November 4, 2016

VIDEO-RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ALICHOKISEMA KWENYE ZIARA ZAKE ZA KICHAMA.

Alichokisema Maalim Seif kwenye ziara zake za kichama kwenye Wilaya mbali mbali kisiwani Unguja nchini Zanzibar
UCHAFUZI WA SHEIN HUU HAPA WANGALIE HAO
WALIO KUPIGIA KURA KATIKA UCHAFUZI WAKO
TUNDU LISSU A.K.A. RONALDO

VIDEO-MAZRUI:TUMEFIKIA HATUA NZURI

Mazrui: Tumefikia hatua nzuri, nawaahidi siku chache zijazo haki yetu itapatikana

Thursday, November 3, 2016

VIDEO-RAIS WETU MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD SIMBA WA NYIKA KIPENZI CHA WAZANZIBARI

Kume kuchaaa mambo yashaiva mambo ya Buhri ayooo na kila mtu ajuwe anaekata tamaa siku zote uyo Desh desh ....Nasema eka like kwa wingi mwisho amalizie kipenzi chetu Rais wetu MAALIM SEIF SHARIF HAMAD simba wa nyika mambo yote soon In Shaa Allah.

RAOD SQUAD feat AT KIKOMBE CHA KAHAWA

WATANGANYIKA HATUTAKI TENA WAZANZIBARI TUNATAKA KIKOMBE CHETU CHA KAHAWA HATUOGOPI UJIRAANI WALA UDUGU WA DAMU HATUTAKI TENA MUUNGANO.
NAJUWA MUME NI MISS ILE MBAYA ILA TUMERUDI TENA KATIKA GAME MAANA UCHANGUZI UNAKUJA KAMA MNAKUBUKA NILIWAMBIA TUTAPIGA KURA TUTASHINDA UCHAGUZI ILA CUF HAITARUHUSU VIJANA KUIKOMBOWA NCHI MTAPINGWA SOGA MPAKA UCHANGUZI MPYA NDIO HUO UNATUNYEMELEA NA CCM YA BABUALI IKASEMA NA BABUALI MWENYEWE KASEMA ATAIFANYA ZANZIBAR IWE DUBAI TUMEIONA DUBAI HALI NGUMU MPAKA ZANZIBAR MLO MOJA HAUPATIKANI.

VIDEO-RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD MSIKITI WA BIZRED


ALICHOKISEMA RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD
KWENYE MSIKITI WA BIZRED BAADA YA KUKAMILIKA KWA SALA YA IJUMAA
ALICHOKISEMA MAALIM SEIF LEO TAREHE 21/10/2016 KATIKA MSKITI WA KWA BIZIREDI BAADA YA SWALA YA IJUMAA.
CCM WAPANGA KUMUUA.
MWENYEWE ASEMA NJAMA HIZO HAZIJAANZA LEO.
MIPANGO YA KUKAMATWA NA KUPELEKWA BARA KAMA WALIVYOFANYWA MASHEKHE YAANDALIWA.
MWENYEWE ASEMA YUKO TAYARI KUKAMATWA LAKINI KATU HATORUDI NYUMA.
ASISTIZA KUA KISIWA CHA FUNGU MBARAKA NI MALI YA ZANZIBAR.
ASEMA CCM KUTWA WAKO KWA WAGANGA WAKIOMBA MAALIM SEIF ASIPEWE NCHI KWASABABU SURA ZAO WATAKUA HAWANA PA KUZIWEKA.
Ndugu Waislamu kwanza nachukua fursa hii kumshukuru M/Mungu kwa kutujaalia siku hii ya leo kuwa wazima na kuisali sala hii.
Pia nimshukuru Khatib kwa khutba aliyoitoa ambayo imeeleza kila kitu. Bila ya shaka sote hapa hakuna anaejua kama atafika kesho lakini M/Mungu atujaalie kheri na atulinde na kila shari.
Tatu niushukuru uongozi wa Mskiti kwa kunipatia fursa hii ya kuwasalim Waislam wenzangu na Wazanzibari kwa ujumla.
Mimi leo sitaki kutoa khutba bali nataka nitoe salamu tu.
Tarehe 7/10/2016 nilisali katika msikiti wa Hurumzi lakini inaonekana watawala hawapendi hivi nikizungumza na Wazanzibari baada ya sala.
Tarehe 14/10/2016 nikasema nisali katika mskiti wa Kihinani lakini alienda mtu na kujitambulisha kua yeye ni Afisa wa Usalama na akawambia Viongozi wa Msikiti kua baada ya Sala hakuna ruksa ya kupewa Maalim muda wa kuongea watu wote wanatakiwa wachawanyike mara tu baada ya Sala.
Basi Viongozi wa Msikiti wakaniambia na mimi nikawambia mimi hao wananijua ni nani na kama wanataka kunizuia mimi basi kwa nini hawakuniambia mimi mwenyewe?
Kwa hiyo nikawambia hilo tena ni juu yenu mimi ni ndugu yenu sasa mukiamua kunipa fursa ni sawa na kama mukiona si vyema kuniruhusu na ni vyema kumskiliza huyo aliejitambulisha kua ni Afisa wa Usalama japo kua hakuwaonyesha kitambulisho chake basi pia ni sawa.
Uongozi wa Mskiti ukakaa shura na wakaamua kunipa fursa ya kuwasalimia Wazanzibari sasa sijui nyinyi hapa kama mulifuatwa na nyinyi au laa.
Na humu leo wamo hao Maafisa wa Usalama wingi wametumwa waje waniskilize halafu waende wakaseme nimesema nini lakini mimi hua najiuliza kwani mimi nimesema nini katika msikiti wa Hurumzi na Mskiti wa Kilimani?
Hurumzi nilisema vitu viwili tu ambapo kimoja ni swala la Katiba ambayo CCM baada ya tume kukusanya maoni ya Wananchi wao waliamua kuyatupilia mbali maoni yale na kuja na Katiba yao wao wenyewe na nikasema kua tunazo habari kwamba CCM wanapanga kuimaliza Zanzibar kwasababu wanataka kubadilisha sheria ya kura ya maoni ya Muungano ili watu wote ambao ni Wazanzibari na wasiokua Wazanzibari (Watanganyika) wapige kura Zanzibar na sasa hivi wanaleta watu wao kwa wingi ili waje wapige kura na ionekane kua Zanzibar imekubali.
Pili nikazungumzia swala la Kisiwa cha Fungu Mbaraka ambacho enzi na enzi kisiwa hicho ni milki ya Zanzibar na kila mwaka Viongozi wa Zanzibar walikua wakienda kupachika bendera ya Zanzibar katika kisiwa hicho. Mimi nilipokua Waziri Kiongozi pia nilienda kupachika bendera na Katiba ya Zanzibar inatamka wazi kua mipaka ya Zanzibar ni ile ile iliyokua kabla ya Ukoloni lakini Watanganyika hili hawalitaki na sasa hivi wanasema Kisiwa cha Fungu Mbaraka ni chao.
Kwa nini wanasema hivi? Wanasema hivi kwasababu kile Kisiwa ndicho Kisiwa chenye mafuta mingi ndio maana wanasema ni chao na ziko meli za kijeshi sasa hivi zinazotembea katika kisiwa hicho.
Katika Mskiti wa Kilimani nikasema pia mambo haya mawili na nikaongeza moja ambalo ni Sheria ya mafuta iliyopitishwa katika baraza la Wawakilishi na nikasema kua Wazanzibari tusidanganywe swala la Mafuta ni swala la Muungano kwasababu sheria ya Muungano iko vile vile haijabadilishwa na sheria imesema wazi kua swala la mafuta na swala la kukusanya kodi (mapato) ni swala la Muungano na Kikwete kabla ya kumaliza muda wake wa uraisi alipitisha sheria mbaya zaidi Bungeni tena haraka haraka ili kuibana zaidi Zanzibar na hii Serikali yao batil imeekwa kusudi ili kufanikisha hayo kwasababu wanajua kua hakuna kiongozi anaeweza kuyasemea haya katika Serikali hii. Asaivi wameambiwa huko kua wawe na Serikali moja (nchi moja) wengine wamekataa wengine wamekaa kimya kama kawaida yao.
Kwa hiyo nikasema tusidanywe kua Mafuta ni swala la Zanzibar na nikatoa tahadhari kwa Wazanzibari.
Sasa leo hapa nitaongeza na jengine na wale waliotumwa naomba waniskilize vizuri sana ili wakapeleke taarifa kama walivyotumwa.
Kwanza nakwambieni kawambieni hao waliowatuma kua Balozi Sefu ndie mbaya na ndio kikwazo cha Zanzibar.
Tunazo taarifa za uhakika kua CCM wanataka kuondosha nafasi mbili za wajumbe wa tume ili wabaki peke yao wafanye vile wanavyotaka.
Pia juzi alikuja
Naibu Waziri wa Mambo ya
Ndani na akasema katika vikao vyao kua wafanye haraka iwezekanavyo Serikali ya Umoja wa Kitaifa iondoshwe katika
Katiba ingawa hilo ni gumu kwasababu ili Serikali ya Umoja wa Kitaifa iondoke ni lazima iitishwe kura ya maoni na Wazanzibari washiriki katika kura hiyo kukataa mfumo huo, lakini wenyewao wakasema kua wajitahidi kufanye vyovyote ili waiondoshe.
Sasa mimi najiuliza kwa nini haya yote yanakuja muda huu haraka haraka hivi kuna nini huko ndani?
CCM wanajua kua Katiba ya Zanzibar inataka muda wote pawepo na Serikali ya Umoja wa Kitaifa na wao kupitia Serikali yao hii batil hawakukizi matakwa ya Katiba kwa hiyo na Serikali ya Umoja wa kitaifa haipo sasa wanafanya hivi wakiamini kua mipango hii itawasaidia lakini mimi najua wanahangaika tu.
Pia tunazo taarifa kua eti wamepanga wanikamate na wanipeleke Bara kama walivyowapeleka Mashekh wetu kwa kusingizia eti wanataka kunifanyia mahojiano.
Lengo lao kwanza eti ni kuniua na wanasema watanieka katika chumba maalum ambacho watapuliza madawa yao halafu wataniachia lakini huku afya yangu itakua inaathirika siku hadi siku mpaka mwisho wake nitaondoka duniani. Sasa Ikiwa Mungu kapanga iwe hivyo itakua lakini mimi ninavyoamini ni kwamba hakuna anaeweza kuniondosha duniani zaidi ya mwenyewe M/Mungu na kama wanadhani kua wakifanya hivyo ndio nitalegeza misimamo yangu basi kawambieni kua kurudi nyuma kwangu mimi ni mwiko. Sitorudi nyuma mpaka haki yetu ya tarehe 25 irudi mikononi mwetu.
Pia wanapanga hivi eti nisipate kusafiri kwenda nje wanasema nawachafua lakini ivi mtu asiekua na uchafu anachafuka? Ivi bila ya wao kufanya uchafu wao mimi ningeenda nikaileza dunia kua huu ndio uchafu ulioko Zanzibar na wakaniamini? Wamefanya uchafu na dunia nzima imeona sasa wasimsingizie Seif mimi sie niliewachafua wamejichafua wenyewe.
Lakini pia wanafanya hivi ili kuwarudisha nyuma Wazanzibari wasidai haki yao lakini mimi najua na wakubwa wao wanajua kila kitu na najua kua wanakwenda mbio sana na wengine wanaenda kwa waganga Muambe kule wanasema “tujaalie Maalim Seif asipewe nchi akipewa n chi sisi wengine tutakua vipi?” Sasa kama M/Mungu kapanga huyu awe raisi atakua rais na kama hakupanga hivyo basi hatokua.
Kwa hiyo ninachosema ni kwamba mimi niko tayari waje wanikamate lakini pamoja na yote hayn mimi nasema kwamba SI MTUTU SI BUNDUKI KUIDAI HAKI YETU HATUCHOKI.
Assalaam Alaykum!
MAALIM SEIF: NIA YA NYERERE 
ILIKUA NI KUIMEZA ZANZIBAR

VIDEO-RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD, MWANASHERIA AWADHI, PROFESA ABDUL SHERIFF, OTHMAN MASOUD-KISIWA CHA FUNGU MBARAKA NI MALI YA NCHI YA ZANZIBAR

RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD
KISIWA CHA FUNGU MBARAKA NI MALI YA NCHI YA ZANZIBAR.
MWANASHERIA AWADHI AKICHAMBUWA MIPAKA 
YA NCHI YETU YA ZANZIBAR KWA MUJIBU WA KATIBA
PROFESA ABDUL SHERIFF AKITOWA USHAHIDI WA KIHISTORIA
JUU YA NCHI YA ZANZIBAR KUMILIKI LATHAM ISLAND
OTHMAN MASOUD AKITOWA UFAFANUZI WA SHERIA
YA MAFUTA NA GESI NA UMILIKI WA KISIWA CHA FUNGU MBARAKA

Wednesday, November 2, 2016

SOTE TUNAWAPENDA MAANA NYINYI NI BINADAMU KAMA SISI MUMEUMBWA NA M.MUNGU NA NIWAZURI SANA

Je unafikiri sisi ni wazuri..?? FRE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUNAJUWA KUWA NYINYI NIWAZURI TENA SANA NA NDIO MAANA M.MUNGU AMEWAUMBA ILI ATUONYESHE SOTE JINSI GANI YEYE NI MUWEZA WA KUUMBA NA YOTE YALIO MBINGUNI NA ARDHINI KWA UJUMLA M.MUNGU AWALINDE NYOTE NA FAMILIA ZENU PIA.
shea mara nyingi kadri uwezavyo kupinga mauwaji ya albino,usipite bila kushea jamani inauma sana.

RAIS WETU MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD SIMBA WA NYIKA KIPENZI CHA WAZANZIBARI


Kume kuchaaa mambo yashaiva mambo ya Buhri ayooo na kila mtu ajuwe anaekata tamaa siku zote uyo Desh desh ....Nasema eka like kwa wingi mwisho amalizie kipenzi chetu Rais wetu MAALIM SEIF SHARIF HAMAD simba wa nyika mambo yote soon In Shaa Allah.