Wednesday, February 20, 2013

SHEIN MAZIKO YA SHEIKH NASSOR BACHU HAKUONEKANA YA PADRI EVAREST MUSHI UMO NDANI YA KANISA HASWA!!!!!!!!

IMG_9500
KWA JINA LA BABA NA LAMWANA NA LAROHO MTAKATIFU AMIIN
DR KUMBI SHEIN,AKIMSWALIA SWALATI MAITI mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la MinaramiwiliNCHINI ZANZIBAR, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijiji cha Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Nchini Zanzibar Augustino Shao,
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitia saini kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Mchungaji Evaristus.G.Mushi katika Kanisa la Minara Miwili liliopo Shangani Mjini Zanzibar,Mchungaji alifariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi na Watu wasiojulikana huko Beitrasi Mjini Zanzibar.
DR KUMBI SHEIN akitia saini kitabu cha Maombolezo

Dr Kumbi Shein akisalimiana na Askofu wa kanisa Nchini Zanzibar 
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mchungaji Evaristus.G.Mushi likipelekwa katika kaburi kwa ajili ya mazishi ambayo yalifanyika huko katika kijiji cha Kitope wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Sanduku lililobebwa Mwili wa Marehemu Mchungaji Evaristus.G.Mushi likipelekwa katika kaburi kwa ajili ya mazishi ambayo yalifanyika huko katika kijiji cha Kitope wilaya ya Kaskazini B  Nchini Zanzibar.  
WAZANZIBARI FUNGUWENI MACHO MUNAPO CHANGUWA VIONGOZI WA KUONGOZA NCHI KIYAMA KUNA MAMBO

No comments:

Post a Comment