KWA JINA LA BABA NA LAMWANA NA LAROHO MTAKATIFU AMIIN
DR KUMBI SHEIN,AKIMSWALIA SWALATI MAITI mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili. NCHINI ZANZIBAR, Padri Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijiji cha Kitope
Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Nchini Zanzibar Augustino Shao,
DR KUMBI SHEIN akitia saini kitabu cha Maombolezo
Dr Kumbi Shein akisalimiana na Askofu wa kanisa Nchini Zanzibar
Sanduku lililobebwa Mwili wa Marehemu Mchungaji Evaristus.G.Mushi likipelekwa katika kaburi kwa ajili ya mazishi ambayo yalifanyika huko katika kijiji cha Kitope wilaya ya Kaskazini B Nchini Zanzibar.
WAZANZIBARI FUNGUWENI MACHO MUNAPO CHANGUWA VIONGOZI WA KUONGOZA NCHI KIYAMA KUNA MAMBO
No comments:
Post a Comment