HAWA NDIO WACHIMBA MADINI YA ZIMBABWE WAONA HALI WALIYO.
HII NI MOJA YA NYUMBA YA RAISI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE HAWA NDIO MARAISI WA AFRIKA WOTE NAMANISHA AFRIKA YOTE HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI NA KUTUWACHA SISI RAI TUKIFA NA NJAA NA HATUNA HATA MADAWA.
HICHI NDICHO CHUMBA NA KITANDA CHAKE ROBERT MUGABE
HII NDIO LIVING ROOM AU UKUMBINI WATU WATANGANYIKA WANASEMA SEBULENI
HAPA HATA SIJUWI NISEMI NI WAPI ILA SWALI NI RAISI YUKO KWA KUTUMIKIA WATU WAWE NA MAISHA MAZURI AU KWAKUJITUMIKIA YEYE NA WAKE ZAKE NA WANAWE WAWE NA MAISHA MAZURI..??

MEZA YA CHAKULA CHA RASI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE HIYO RAI WAKE HATA MKATE HAWANA
HAYA MAMBO HAYO YA RAISI ROBERT MUGABE BAFUNI HUKO PIA TV NA SIMU

HUMU PIA NI BAFUNI KWA RAISI ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE KUKU KWA MRIJA SODA KWA UMA NDIO HII BABA MARAISI WA AFRIKA HAO SISI RAI HATA MKAA WAKUPIKIA HATUNA NA HII NI 2013 BADO WATU WANAPIKIA KUNI
KAONA AFRIKA JUWA KALI KAJIJENGEA BONGE LA POOL HILO LAKUTULIZA MWILI USIWE MOTO HUYU SIO MUGABE TU NI MARAISI WOTE WA AFRIKA TUMEMUONA BEN ALI,GADDAFI,MUBAROUK,NA HATA HAWA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR PIA HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI NDIO MAANA MAADA YA KUBWA WAKIWA MADARAKANI NI AMANI NA UTULIVU MAANA YAO POA BILA YA AMANI HAWAWEZI KUJEGA HIVI HUONI SOMALIA WEEE WAFRIKA AMKENI MUSIBURUZWE NA MARAISI WEZI WAKUBWA HAWA.
No comments:
Post a Comment