Sunday, February 17, 2013

WAZANZIBARI MNATAKA NCHI YANU ZANZIBAR AU VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA..?


HICHI NDIO KITAMBULISHO CHA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

NA HICHI NDIO KITAMBULISHO CHA NCHI YETU YA ZANZIBAR.

JE WAZANZIBARI MTA HADAIKA NA KITAMBULISHO CHA KITANGANYIKA NA KUSAHAU KUDAI NCHI YENU..? KAANI MKIJUWA KUWA KITAMBULISHO SI LOLOTE SI CHOCHOTE KAMA HUNA NCHI NCHI ZA WALIO ENDELE HATA MBWAA ANAKITAMBULISHO SASA NINI CHA KUTUPANGAWISHA SISI WAZANZIBARI KWANZA TUDAINI NCHI KISHA VITAMBULISHO PASPOTI VITAKUJA TU TUSIWE NA PAPARA KUKUMBATIYA VITAMBULISHO VYA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MAANA TUKIFANYA HIVYO NI KUWA TAYARA TUMEKUBALI KUWA WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI MILELE TUTAKUWA HATUNA CHA ZANZIBAR BALI NI TANGANYIKA TU JIONE MWENYEWE HAPA CHINI KUWA KITAMBULISHO SI KITU WASIWATOWE ROHO BURE.

KITAMBULISHO CHA MBWAA HICHO NATAKA MUJUWE WAZANZIBARI KUWA KITAMBULISHO NA PASPOTI SIO MUHIMU KULIKO NCHI.

WAZANZIBARI MUNAONA MAMBO SASA TUNAKUJA KUZUZULIWA NA VITAMBULISHO VYA KITANGANYIKA NA KUSAHAU KUDAI NCHI YETU NCHI KWANZA VITAMBULISHO BAADAYE.

HAYA KWELI KITAMBULISHO KINATHAMANI HAPA IKIWA HATA MBWAA ANACHO ..?

PASPOTI HIYO YA PAKA

PASPOTI YA PAKA HIYO
HATA UKIWA NA KITAMBULISHO CHA KITANGANYIKA BADO WAZANZIBARI MAMBO NI YALE YALE MAANA MKOLONI NI MKOLONI TU WACHENIKUDANGANYIKA KWA VITU VIDOGO VIDOGO NCHI KWANZA PASPOTI,KITAMBULISHO,KATIBA,MUUNGANO BAADAYE ZANZIBAR NCHI KWANZA WAZANZIBARI.

No comments:

Post a Comment