Thursday, December 12, 2013

VIDEA-SMZ NA FAIDA ZAO ZA MIAKA 50 YA MAUWAJI YA WAZANZIBARI

Asalamu alaikhum Wazanzibari wa Ndani na Nje ya NCHI YETU ZANZIBAR  Adhimu.
Mimi sina budi ila kufikisha ujumbe huu wa You Tube Video hiyo hapo juu ambao unaonyesha jinsi Huduma za Jamii kama vile hopital, life standard na Equipment zilivo adimu katika hospital zetu za Serikali hii ya WAUWAJI WAMEUWA WATU 1964 NA WANAENDELEA KUUWA WATU MPAKA LEO. …..Kwa kisingizio kwamba Serikali yetu haina pesa za kununulia Vifaa vya Hopital mpaka igaiwe Misaada…. Wakati huo huo SMZ WAUWAJI wanapoteza mamillioni kwa mamillioni ya fedha kufanya Sherehe za MAUWAJI YA DUNGU ZETU WALIO WAUWA 1964 NA KUWANAJISI WANAWAKE MAMA ZETU DADA ZETU ANTI ZETU WAO WAMEIFANYA NDIO SIKU YA KUSHEREHEKEA…
Jee Status ya Kuwauwa Wazanzibari ni Bora kuliko Maisha na huduma za Jamiii…??
Hivo ni lini Serikali ya CCM SMZ WAUWAJI itaanza kuvipa kipa umbele maendeleo na huduma za jamii NCHINI ZANZIBAR.......????
Angalieni hiyo website . www.youtube.com/watch?v=B891oKE7n8 ………Au kama mutapata tabu kufungua link hiyo ya U-Tube munaweza kuingia www.greeniland.pemba
Jioneeni jinsi watu wanavyoosha Nguo za Damu chini…. KWELI WEWE DR SHEIN MKE WAKO AU MWANAO AKIUMU UNAMPELEKA KATI HOSPITALI HII..? MAALIM SEIF JE WEWE..? MZEE DUNI..? ALI VUAI..? N.K.
NA SISI WAZANZIBARI HASWA TUMEZIDI KUWA MIPUMBAVU KILA KUKICHA TUNADIDIMI TUMO TU KIDUMU KIDUMU MPAKA LINI HEBU JIULIZE MWANAO ATAKWENDA SKULI JE ATAMALIZA JE ATAPATA KAZI MAANA WATOTO WOTE WA VIONGOZI HATA KUWAONA HATUWAONI KATIKA MASKULI YA KAWAIDI BADO TU HATUJIULIZA MBONA HAWA VIONGOZI KAMA HIZI SKULI,HOSPITALI,MAHAKAMA, N.K. NI NZURI MBONA BASI WAO HATUWAONI WALA WAKE ZAO WALA WATOTO WAO LAKINI WAPI WAZANZIBAR TUMO TU KISHA PEWA UPANDE WA KANGA NA WANAUME KAPEWA PANGA AU MPIRA NDIO TUNAONA MAENDELEO YAGUJUUUUU MPAKA LINI HII NI 2013 INAKWENDA 2014.
Allah atujaghalie tuwe wamoja tuitetee Nchi yetu tuipendayo ya Zanzibar. Pamoja tunaweza kuleta mabadiliko … Mungu ibariki zanzibar na Wazanzibari popote walipo… Ameen.

No comments:

Post a Comment